Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

💨 NOTHING PHONE (Non Active)

▪️CMF Phone1 (8+256) - 850K
▪️Phone2a (8+256) - 1.2m
▪️Phone2a Plus (12+256) - 1.35m
▪️Phone 2 (12+256) - 1.58m
▪️Phone 2 (12+512) - 1.75m
▪️Phone 3a (12+256) - 1.25M
▪️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨Asante kwa kutuamini
@NjiwaFLow
@Njiwa_Store
Tunakufikia popote kwa uaminifu mkubwa sana
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨 Baba na Mama Yamal waliachanaga ona namna walivyo na furaha kuyaishi pamoja maisha ya mtoto wao.
5. 🦻 Sound & Mic Quality

Original zina bass safi, ANC (Active Noise Cancelling), Transparency mode, na mic ya kiwango cha juu.

Feki hazina ANC halisi, na sauti huwa ndogo au chafu.
2. 📱 iPhone popup detection

Ukifungua box na kufungua lid karibu na iPhone, original AirPods huonesha animated popup yenye jina na charge.

Feki hazifanyi hivyo au hutoa popup isiyo sahihi.
Feki mara nyingi box linakosea fonts, picha au linaloonekana ‘cheap’.
︎ Teknolojia

💨NJIA SABA (7) ZA KUTAMBUA AIRPODS ORIGINAL NA FAKE.

Shuka🧵🧵👇

Usisahau repost 🔄

1. 📦 Kifurushi (Packaging)

AirPods original huja na box lenye maandishi yaliyopangwa kwa usahihi, laini ya sealing haijafunguliwa.
4. 🎧 Build Quality

Original: plastiki ni laini, joints hazionekani, hakuna kelele ukiitikisa.

Feki mara nyingi zina plastiki nyepesi, gaps, na huweza kutoa sauti ukiitikisa.
6. 📶 Bluetooth Behavior

Original zina fast pairing na zinatumia Apple’s H1 chip (kwa baadhi ya toleo).

Feki huchukua muda, mara nyingine hujionyesha kama “TWS_...” badala ya AirPods [your name].
AirPods Pro original zina mesh (kitundu kidogo cha mic juu), lakini feki mara nyingi haina au si sahihi.
7. ⚙️ Find My App & Settings

AirPods original huonekana kwenye app ya Find My (ikiwa imeunganishwa).

Pia unaweza kuzikontrol kwenye Bluetooth settings – mfano rename, ANC, mic control.

Feki hazina hizi options.
Kumbuka: Soko lina feki zenye uwezo wa kuigiza kila kitu – lakini Apple’s serial number check na build quality ni silaha kuu zako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Kama unajua hii ni simu gani tuambie kwenye comments mwanakitaa...
︎ Teknolojia

💨iPhone wametoa list ya rangi za iPhone 17 series.
Kwa wale wanaotaka kujua hizi simu zinafananaje kwa muonekano
Kwa iphone 17 plain kaangalieni tecno pop 10
17 air mkaangalie tecno spark slim ( wametofautiana kidogo sana)
Na iPhone 17pro mkaangalie tecno spark 40.
︎ Teknolojia

💨Hata mimi nimeshtuka kumbe ni cover za nothing phone 3
︎ Teknolojia

💨 Kwa Tanzania hazipandishi hata Oppo/Oneplus zilikuwa hivyo ila wao kwasababu wana service center zao hapa TZ watu walikuwa wanazipeleka simu zao pale kuna file zinaongezewa na kupanda 5G.