Teknolojia
133 subscribers
3.79K photos
4.47K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
6️⃣
🧠 Firmware Bugs
AirPods zina firmware (OS ya ndani) ambayo huweza kuwa na glitch kama:

– OTA update haijakamilika
– Compatibility issues na Android
– ANC bugs (kwa AirPods Pro)
7️⃣
🧼 Earwax / Vumbi la speaker grill
Mara nyingine si tatizo la system – bali blockage ya mesh.
→ Sauti inakuwa midogo upande mmoja au inakata-kata.
Kwa Android:
Settings > Accessibility > Hearing > Audio Balance.

Hii setting ikiwekwa vibaya – upande mmoja hauleti sauti.
5️⃣
🔄 Auto Switch Feature (iPhone)
AirPods hujaribu kubadilisha device yenyewe bila kukwambia.
Mfano: Kama una iPad karibu – inaweza ku-switch ghafla na sauti kutoweka.
Tumia toothbrush kavu, au sticky tack kuondoa uchafu (USIOSHE na maji au alcohol!).
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Whatsap::0758288727 Location:Mafiati mbeya,,Mikoa mingine tunatuma malipo ya sim unayafanya baada ya kupokea Mzigo wako(unalipa nauli ya mzigo TU)
︎ Teknolojia

💨Tofauti ya hizi kwa nyuma ni sticker na jina tu😂
︎ Teknolojia

💨 XIAOMI REDMI (Brand new) 💥

▪️Redmi A5 (3+64) - 250K
▪️Redmi A5 (4+128) - 280K
▪️Redmi 14C (4+128) - 300K
▪️Redmi 14C (8+256) - 350K
▪️Note 13 (6+128) - 450K
▪️Note 13 (8+256) - 530K
▪️Note 13 Pro 4G (8+256) - 680K
▪️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
▪️Note 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
▪️Redmi Note 14 (6+128) - 480K
▪️Redmi Note 14 (8+256) - 580K
▪️Redmi Note 14 5G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
▪️Redmi Note 14 Pro+ 5G (8+256)
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Kamwe usinunue simu hizi za iPhone japo bei zake ndogo (UTAJUTA)
Hii ni video yenye ushauri kuhusu iphone za bei rahisi za kununua ili usije kuwa na simu ambayo haitokuwa na ubora baada ya muda mfupi na kushindwa kuitumia ipasavyo
︎ Teknolojia

💨 USED DUBAI (Original Display)👇

▪️Pixel 7 (8+128) - 550K
▪️Pixel 7a (8+128) - 550K
▪️Pixel 8 (8+128) - 850K
▪️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.15M

PIXEL MPYA (Non Active)💥
▪️Pixel 9a (8+128) - 1.45M
▪️Pixel 9a (8+256) - 1.7M
▪️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
▪️Pixel 9 (12+256) - 2.1M
▪️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.35M
▪️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.65M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.4M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.65M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 NOTHING PHONE (Non Active)

▪️CMF Phone1 (8+256) - 850K
▪️Phone2a (8+256) - 1.2m
▪️Phone2a Plus (12+256) - 1.35m
▪️Phone 2 (12+256) - 1.58m
▪️Phone 2 (12+512) - 1.75m
▪️Phone 3a (12+256) - 1.25M
▪️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨Asante kwa kutuamini
@NjiwaFLow
@Njiwa_Store
Tunakufikia popote kwa uaminifu mkubwa sana
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨 Baba na Mama Yamal waliachanaga ona namna walivyo na furaha kuyaishi pamoja maisha ya mtoto wao.
5. 🦻 Sound & Mic Quality

Original zina bass safi, ANC (Active Noise Cancelling), Transparency mode, na mic ya kiwango cha juu.

Feki hazina ANC halisi, na sauti huwa ndogo au chafu.
2. 📱 iPhone popup detection

Ukifungua box na kufungua lid karibu na iPhone, original AirPods huonesha animated popup yenye jina na charge.

Feki hazifanyi hivyo au hutoa popup isiyo sahihi.
Feki mara nyingi box linakosea fonts, picha au linaloonekana ‘cheap’.
︎ Teknolojia

💨NJIA SABA (7) ZA KUTAMBUA AIRPODS ORIGINAL NA FAKE.

Shuka🧵🧵👇

Usisahau repost 🔄

1. 📦 Kifurushi (Packaging)

AirPods original huja na box lenye maandishi yaliyopangwa kwa usahihi, laini ya sealing haijafunguliwa.
4. 🎧 Build Quality

Original: plastiki ni laini, joints hazionekani, hakuna kelele ukiitikisa.

Feki mara nyingi zina plastiki nyepesi, gaps, na huweza kutoa sauti ukiitikisa.