Teknolojia
134 subscribers
3.84K photos
5.03K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
@Huduma

πŸ’¨Baada ya Samsung kuzindua Samsung z fold 7 na tukisubiri toleo la Google pixel 10 pro fold.
Vivo nao hawapo mbali, Vivo wapo mbioni kuzindua Vivo x Fold5. Hii ni baada ya mafanikio ya vivo x Fold 3 series.
@Huduma

πŸ’¨Kushoto Vivo X200FE kulia vivo x Fold5
Zote zimezinduliwa rasmi leo huko India
Unawapa ngapi kampuni ya vivo
/10
πŸ”₯πŸ”₯
Njia za Kinga Mbele:

Usitumie apps nje ya Play Store

Backup kabla ya system update

Usizime simu wakati ina-update

Usi-root kama huelewi unachofanya

Hakikisha simu ina space ya kutosha kabla ya OTA update
5. Hatari ya Kuendelea Kulazimisha Boot:

β›” Inaweza kuharibu eMMC/eUFS storage
β›” Inaongeza joto – husababisha battery swelling
β›” Inapunguza lifespan ya simu yako
Ku-root simu vibaya

Kuweka custom ROM bila kufuata taratibu

Power off wakati inafanya update
7. Kama Hataki Kufunguka Kabisa:

Hii ni ngumu kidogo:

Unahitaji flashing tool (kama SP Flash Tool au Mi Flash)

Lazima uwe na firmware sahihi ya simu yako

Hii inafanywa kwenye PC – au peleka kwa fundi mzoefu wa software
3. Nini Husababisha OS Corruption?

πŸ“ Hizi ndizo sababu kuu:

Kuweka apps za ajabu kutoka nje ya Play Store (APK zenye malware)

Kupakua system update isiyo rasmi
4. Njia za Haraka za Kutatua:

βœ… Step 1: Safe Mode Boot

Inazuia third-party apps ku-load

Hold power button > Hold "Power Off" > Chagua β€œSafe Mode”

Kama simu inafunguka salama, tatizo ni apps tu
βœ… Step 2: Clear Cache Partition

Boot kwenye recovery mode:

(Volume Up + Power kwa muda)

Chagua: Wipe Cache Partition

Haim-delete data zako
πŸ“Œ Bootloop na OS corruption si mwisho wa simu yako – lakini ni warning ya kwamba kuna kitu kibaya kilitokea kwenye mfumo.

Jitahidi kujifunza kufunga updates rasmi, usibadili system files bila sababu, na backup data zako mara kwa mara.
βœ… Step 3: Factory Reset (Mwisho Kabisa)

Recovery Mode > Wipe data/factory reset

Inafuta kila kitu – tumia kama suluhisho la mwisho
. Dalili Kuu za OS Corruption:

Simu kuwaka na kuzima bila sababu

Kushindwa kufungua apps

Inabaki kwenye logo (boot logo) tu

Inasema β€œAndroid is starting...” lakini haimalizi

Screen ya black/white tu bila progress
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Huko njee makampuni ya simu yanakosoana wazi wazi kwenye Ads zao
Hapa Honor Magic V5 akimtambia SAM.
πŸ˜‚
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ INFINIX BRAND NEW

β–ͺ️Infinix Smart 8 (4+64) - 230K
β–ͺ️Infinix Smart 9 (6+64) - 250K
β–ͺ️Infinix Hot 50i (8+128) - 310K
β–ͺ️Infinix Hot 50 Pro+ (16+128) - 520K
β–ͺ️Infinix Note 50 (16+256) - 650K
β–ͺ️Infinix Note 50 Pro+ (12+512) - 1.2M

πŸ“Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ USED DUBAI (Original Display)πŸ‘‡

β–ͺ️Pixel 7 (8+128) - 550K
β–ͺ️Pixel 7a (8+128) - 550K
β–ͺ️Pixel 8 (8+128) - 850K
β–ͺ️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.15M

PIXEL MPYA (Non Active)πŸ’₯
β–ͺ️Pixel 9a (8+128) - 1.45M
β–ͺ️Pixel 9a (8+256) - 1.7M
β–ͺ️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
β–ͺ️Pixel 9 (12+256) - 2.1M
β–ͺ️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.35M
β–ͺ️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.65M
β–ͺ️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.4M
β–ͺ️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.65M

πŸ“Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ JBL SPEAKER (OriginalπŸ’―)

β–ͺ️JBL Go 3 - 145K
β–ͺ️JBL Go 4 - 190K
β–ͺ️JBL Flip6 - 300K
β–ͺ️JBL Flip7 - 380K
β–ͺ️JBL Charger5 - 450K
β–ͺ️JBL Charger6 - 550K
β–ͺ️JBL XTRME3 - 700K
β–ͺ️JBL XTRME4 - 840K
β–ͺ️JBL Boombox X3 Wi-Fi - 1.3M

πŸ“Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Infinix Hot 60 pro+ wamezidi kuonyesha mageuzi makubwa.
Sasa upande wa kamera wameboresha na kuanza kutumia sensor ya Sony (Sony IMX882).

Siku si nyingi wataleta flagship moja matata sana ni swala la muda.