Teknolojia
132 subscribers
3.76K photos
4.44K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Baadhi ya simu mpya kama za Samsung, Xiaomi na Pixel zinakuwezesha kuweka Guest Hotspot:

Ina password tofauti

Ina speed limit

Ina muda maalum wa connection

Hii ni bora sana kuliko kutoa hotspot yako ya kawaida.
︎ Teknolojia

💨 XIAOMI REDMI (Brand new) 💥

▪️Redmi A5 (3+64) - 250K
▪️Redmi A5 (4+128) - 280K
▪️Redmi 14C (4+128) - 300K
▪️Redmi 14C (8+256) - 350K
▪️Note 13 (6+128) - 450K
▪️Note 13 (8+256) - 530K
▪️Note 13 Pro 4G (8+256) - 680K
▪️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
▪️Note 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
▪️Redmi Note 14 (6+128) - 480K
▪️Redmi Note 14 (8+256) - 580K
▪️Redmi Note 14 5G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
▪️Redmi Note 14 Pro+ 5G (8+256)
@Huduma

💨Baada ya Samsung kuzindua Samsung z fold 7 na tukisubiri toleo la Google pixel 10 pro fold.
Vivo nao hawapo mbali, Vivo wapo mbioni kuzindua Vivo x Fold5. Hii ni baada ya mafanikio ya vivo x Fold 3 series.
@Huduma

💨Kushoto Vivo X200FE kulia vivo x Fold5
Zote zimezinduliwa rasmi leo huko India
Unawapa ngapi kampuni ya vivo
/10
🔥🔥
Njia za Kinga Mbele:

Usitumie apps nje ya Play Store

Backup kabla ya system update

Usizime simu wakati ina-update

Usi-root kama huelewi unachofanya

Hakikisha simu ina space ya kutosha kabla ya OTA update
5. Hatari ya Kuendelea Kulazimisha Boot:

Inaweza kuharibu eMMC/eUFS storage
Inaongeza joto – husababisha battery swelling
Inapunguza lifespan ya simu yako
Ku-root simu vibaya

Kuweka custom ROM bila kufuata taratibu

Power off wakati inafanya update
7. Kama Hataki Kufunguka Kabisa:

Hii ni ngumu kidogo:

Unahitaji flashing tool (kama SP Flash Tool au Mi Flash)

Lazima uwe na firmware sahihi ya simu yako

Hii inafanywa kwenye PC – au peleka kwa fundi mzoefu wa software
3. Nini Husababisha OS Corruption?

📍 Hizi ndizo sababu kuu:

Kuweka apps za ajabu kutoka nje ya Play Store (APK zenye malware)

Kupakua system update isiyo rasmi
4. Njia za Haraka za Kutatua:

Step 1: Safe Mode Boot

Inazuia third-party apps ku-load

Hold power button > Hold "Power Off" > Chagua “Safe Mode”

Kama simu inafunguka salama, tatizo ni apps tu
Step 2: Clear Cache Partition

Boot kwenye recovery mode:

(Volume Up + Power kwa muda)

Chagua: Wipe Cache Partition

Haim-delete data zako
📌 Bootloop na OS corruption si mwisho wa simu yako – lakini ni warning ya kwamba kuna kitu kibaya kilitokea kwenye mfumo.

Jitahidi kujifunza kufunga updates rasmi, usibadili system files bila sababu, na backup data zako mara kwa mara.
Step 3: Factory Reset (Mwisho Kabisa)

Recovery Mode > Wipe data/factory reset

Inafuta kila kitu – tumia kama suluhisho la mwisho
. Dalili Kuu za OS Corruption:

Simu kuwaka na kuzima bila sababu

Kushindwa kufungua apps

Inabaki kwenye logo (boot logo) tu

Inasema “Android is starting...” lakini haimalizi

Screen ya black/white tu bila progress
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨Huko njee makampuni ya simu yanakosoana wazi wazi kwenye Ads zao
Hapa Honor Magic V5 akimtambia SAM.
😂