γ½οΈ Teknolojia
π¨ INFINIX HOT 60iπ₯π₯
Infinix hot 60i specifications
π Battery: 5160mAh with 45W fast charging
πΊ Display: 6.7" HD+ IPS LCD, 120Hz refresh rate
βοΈ Processor: MediaTek Helio G81 Ultimate
πΎ Memory: 4GB / 6GB / 8GB RAM + 128GB / 256GB storage (expandable via microSD)
πΈ Cameras:
Rear: 50MP + AI lens
Front: 8MP with LED flash
π Security: Side-mounted fingerprint sensor + Face unlock
π‘ Connectivity: 4G LTE, NFC, Bluetooth 5.3, Wi-Fi 5, USB-C, OTG support
π§ Protection: IP64 dust and splash res

π Range Rover imebadilisha logo yake.
JLR imethibitisha kuwa nembo hiyo haitachukua nafasi ya maandishi ya kawaida ya βRange Roverβ kwenye magari.
Badala yake, itatumika mahali ambapo alama kubwa haitoshi, kama kwenye lebo au matukio ya kifahari.

π 3. Unajuaje kama kuna keylogger kwenye simu yako?
β Simu inakuwa slow bila sababu
β Battery inaisha haraka sana
β Simu inapasha joto hata ukiwa huifanyi kazi

β Unapata popup au errors zisizoeleweka
β Unapoteza control ya app fulani (mf. WhatsApp, Facebook)

π 4. Hatari ya keylogger ni kubwa sana:
β Mtu anajua PIN ya simu yako
β Anaweza kupata password ya email yako au benki
β Anaweza kuona chats zako zote
β Anaweza hata ku-log in kwenye accounts zako bila OTP

π 7. Njia ya kuangalia apps za ajabu kwa haraka:
1. Nenda Settings > Apps > All Apps
2. Angalia apps zisizo na icon au jina la ajabu
3. Angalia apps zilizo na access ya βUsage Accessβ au βDevice Adminβ β chunguza zote

β οΈ 5. Keylogger ni aina ya spyware β na ni vigumu sana kuigundua kama hujui mbinu.
β Baadhi hujiita βAccessibility Toolβ
β Nyingine hujificha kwenye app ya kawaida kama calculator
β Zinabaki nyuma ya system bila kuonekana screen

π§΅ 1. Keylogger ni nini?
Ni programu inayorekodi kila unachokiandika kwenye simu yako kila herufi, namba, password, message, search... kila kitu.
Na mbaya zaidi: hutuma taarifa hizo kwa mtu mwingine kisiri

β
Usitumie Wi-Fi ya bure isiyo na ulinzi
β Futa apps usizozitumia mara kwa mara
β Futa apps usizozitumia mara kwa mara
π΄ 8. Ukiwa na mashaka:
β Tumia Safe Mode kuangalia kama tatizo linaendelea
β Fanya Factory Reset kama ni lazima (na uhakikishe huna malware kwenye backup)
β Badili password zako zote muhimu mara moja

π‘οΈ 6. Jinsi ya kujikinga:
β Usifungue link usiyoielewa (hata kama ni ya promosheni)
β Tumia Google Play Protect au antivirus ya kuaminika
β Ruhusu apps chache sana ku-access βAccessibilityβ kwenye settings

π₯ 2. Unaweza kuwekewa keylogger kwa njia hizi:
β Kufungua link ya tapeli (phishing site)
β Kudownload app ya bandia (loan app, VPN, games)
β Kupokea file kwenye WhatsApp au Telegram
β Kutumia Wi-Fi ya bila password (public Wi-Fi)

@Huduma
π¨Kushoto ni Motorola Razr 60 kulia ni Samsung flip 7.
Kuna mmoja kamcopy mwenzake kwa mbali