4️⃣
⚠️ Madhara ya IMEI kufutwa au kuuzwa:
Simu yako ikipotea, huwezi kuifuatilia wala kuifungia.
Simu inaweza kutumiwa kufanya uhalifu, jina lako lihusishwe.

Ikitumika kwenye uhalifu, unaweza kukamatwa bila hatia.
Unaweza kuuziwa simu ya wizi (na ukafungiwa bila taarifa).

5️⃣
💣 Watu wengi huuza simu lakini husahau kufuta IMEI yao kwenye database za usalama (kama za mitandao).
Hii huacha mwanya wa hatari ya wewe kubanwa kwa kosa usilolijua.
USIUZIE mtu simu bila kuhakikisha IMEI yake ni salama.

6️⃣
🔐 IMEI inakusaidia nini?
✅ Ukipoteza simu, unaweza kuripoti IMEI ili ifungiwe
✅ Polisi wanaweza kuitumia kuifuatilia
✅ Ukiuziwa simu ya wizi, unaweza kuithibitisha kwa kuchunguza IMEI yake
IMEI ni silaha yako ya kwanza dhidi ya wizi wa simu.

7️⃣
❌ Simu zenye IMEI bandia/feki:
Simu nyingi za mchina au zenye "dual IMEI" bandia hazisajiliwi vizuri.
Hazitambuliki kwenye mitandao mingi ya kisasa.
Huenda zikasababisha:
Kufungiwa
Kutopata 4G/5G
Kupoteza signal

8️⃣
🔧 Ujanja mchafu kwenye soko:
Baadhi ya mafundi hubadilisha IMEI (ile kitu inaitwa "flashing/changing IMEI").
Hii ni kinyume cha sheria na hatari kwa usalama wako.

⚠️ SIMU YA MWIZI INAWEZA KUONEKANA MPYA!
Ukiona bei ya simu iko “poa kupita kiasi,” chunguza IMEI kwanza.

9️⃣
✅ Mambo ya kufanya leo:
Andika na hifadhi IMEI ya simu yako
Usinunue simu bila kuangalia IMEI
Hakikisha IMEI haijaripotiwa kama "blacklisted"
Kama unauza simu, hakikisha unafuta akaunti zako na kujua nani anachukua

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
Kwa sifa hizi na bei yake, unaweza thubutu kununua Tecno Camon 40 Pro 5G?
Tecno Camon 40 Pro 5G ni simu ya 2025, sifa na bei yake inatengeneza mitazamo tofauti kwa muhitaji wa simu mpya kwa huu mwaka, zitazame sifa za hii tecno na bei yake uone utata uliopo kwa kulinganisha na simu zingine za daraja moja.

💨 INFINIX BRAND NEW 💥
▪️Smart 8 (4+64) - 250K
▪️Smart 10 (8+64) - 290K
▪️Smart 10 Pro (8+128) - 330K
▪️Hot 60i (8+128) - 330K
▪️Hot 60 Pro (16+128) - 520K
▪️Hot 60 Pro (16+256) - 650K
▪️Hot 50 Pro+ (16+128) - 520K
▪️Note 50 (16+256) - 650K
▪️Note 50 Pro+ 5G (21+256) - 1.2M
💨 INFINIX BRAND NEW 💥
▪️Smart 8 (4+64) - 250K
▪️Smart 10 (8+64) - 290K
▪️Smart 10 Pro (8+128) - 330K
▪️Hot 60i (8+128) - 330K
▪️Hot 60 Pro (16+128) - 520K
▪️Hot 60 Pro (16+256) - 650K
▪️Hot 50 Pro+ (16+128) - 520K
▪️Note 50 (16+256) - 650K
▪️Note 50 Pro+ 5G (21+256) - 1.2M
@Huduma
💨Tayari mmoja amezinduliwa mwingine tunamsubiri
Google pixel 10 pro Fold vs Samsung Z fold 7
Yupi kwako ni unyama zaidi

💨 INFINIX HOT 60i💥💥
Infinix hot 60i specifications
🔋 Battery: 5160mAh with 45W fast charging
📺 Display: 6.7" HD+ IPS LCD, 120Hz refresh rate
⚙️ Processor: MediaTek Helio G81 Ultimate
💾 Memory: 4GB / 6GB / 8GB RAM + 128GB / 256GB storage (expandable via microSD)
📸 Cameras:
Rear: 50MP + AI lens
Front: 8MP with LED flash
🔐 Security: Side-mounted fingerprint sensor + Face unlock
📡 Connectivity: 4G LTE, NFC, Bluetooth 5.3, Wi-Fi 5, USB-C, OTG support
💧 Protection: IP64 dust and splash res

🆕 Range Rover imebadilisha logo yake.
JLR imethibitisha kuwa nembo hiyo haitachukua nafasi ya maandishi ya kawaida ya “Range Rover” kwenye magari.
Badala yake, itatumika mahali ambapo alama kubwa haitoshi, kama kwenye lebo au matukio ya kifahari.