Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
πŸ†• Kama unapenda kupiga picha zenye ubora mzuri kwa kutumia simu yako, jaribu kutumia app hii ya Project Indigo.

Project Indigo ni app mpya ya Adobe - inafanya simu kuwa na uwezo mzuri wa kupiga picha https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1942619900536594443#m
πŸ†•πŸ“ΈπŸ“² Project Indigo ni app mpya ya Adobe ambayo inawezesha simu kuchukua picha zenye ubora kuliko kutumia app ya simu.

Project Indigo inatumia mfumo maalum wa kuchkata picha na kuiboresha kuwa bora zaidi.
Setup ya kisafi ✨
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
πŸ†•πŸ“² Style mpya wa Spacial Effects katika icons na widgets za Home Screen katika mfumo mpya wa iOS 26

Ukichezesha simu, utaona icons na widgets zinabadilika kuendana na angle ya simu
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Hawa jamaa sijui kwanini swala la battery bado
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Kwenye uzinduzi wa nothing phone 3 pia walizindua Headphone 1 πŸ’₯πŸ”₯

Hii design ya hapa ni kali kuliko hata simu yenyewe πŸ”₯πŸ”₯
βœ… Hatua ya Mwisho: Angalia review za watu wengine
– YouTube: β€œSimu hii inafaa?”
– Reddit / Facebook Groups
– Review za Tanzania pia zipo!

Hii hukusaidia kuona matatizo ambayo hayajaandikwa kwenye karatasi.
RAM: Angalau 4GB kwa kawaida, 6GB+ kwa matumizi makubwa

πŸ”Έ Storage: 64GB ni minimum. 128GB ni bora zaidi.
Camera
– Megapixels si kila kitu!
– Angalia sensor type (Sony, Samsung)
– Ota reviews za picha – kwa mfano YouTube

πŸ”Έ Operating System
– Android 13/14
– Usichukue simu yenye Android Go kama unahitaji multitasking
πŸ”Έ Display (Kioo)
– Resolution: Full HD+ (1080p) ni bora
– Panel: AMOLED ni nzuri zaidi kuliko IPS LCD
– Refresh Rate: 90Hz/120Hz huongeza smoothness

πŸ”Έ Battery: 5000mAh ni standard
πŸ”Œ Fast Charging: 18W–120W ni bora kwa kasi
Ukiwa na bajeti nzuri, unaweza pata simu kali sana bila kuibiwa.
βœ… Hatua ya Pili: Elewa mahitaji yako
Unahitaji simu kwa nini?
– Kutuma tu messages & calls?
– Picha kali?
– TikTok, YouTube, IG?
– Gaming?
– Biashara?

Hii inasaidia kujua specs gani ni muhimu zaidi kwako.
βœ… Hatua ya Tatu: Tumia tovuti kama GSM Arena au kimtindo wa specs checklist.

πŸ‘‰ Search "Best phones under 1M Tanzania GSM Arena"

Au tembelea hizi apps:
– Kimovil
– NanoReview
– Phone Finder tools
πŸ”Έ Updates
– Brands kama Samsung, Xiaomi, Infinix, realme, Tecno β€” angalia support ya updates
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Lamine Yamal anatumia Oppo Find X8 Ultra.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ INFINIX HOT 60iπŸ’₯πŸ’₯

Infinix hot 60i specifications

πŸ”‹ Battery: 5160mAh with 45W fast charging

πŸ“Ί Display: 6.7" HD+ IPS LCD, 120Hz refresh rate

βš™οΈ Processor: MediaTek Helio G81 Ultimate

πŸ’Ύ Memory: 4GB / 6GB / 8GB RAM + 128GB / 256GB storage (expandable via microSD)

πŸ“Έ Cameras:

Rear: 50MP + AI lens

Front: 8MP with LED flash

πŸ” Security: Side-mounted fingerprint sensor + Face unlock

πŸ“‘ Connectivity: 4G LTE, NFC, Bluetooth 5.3, Wi-Fi 5, USB-C, OTG support

πŸ’§ Protection: IP64 dust and splash res
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Hawa jamaa soon wataleta flagship moja matata sana ni swala la muda
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Unajua maana ya +255, +254 au +1? Hizi si namba tuβ€”ni Country Codes! 🌍 Kila nchi ina ya kwake. +255 ni ya Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ +254 ni ya Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ +1 ni ya Marekani πŸ‡ΊπŸ‡Έ Lakini... unajua kwanini zote zinaanza na β€œ+”? Na +2 inawakilisha bara gani? πŸ€” Fuatilia video hii hadi mwisho ujue siri ya namba hizi πŸ“²βœ¨