Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
5. Simu zingine zenye AI Button 2025?
Infinix HOT 60 5G+
TECNO Camon 30 Premier
Xiaomi Redmi AI Series
Vivo V30 AI Focus Button
(List inaongezeka kila mwezi...)
4. Kwa nini ni muhimu 2025?
➡️ Simu zimekuwa smart sana, apps zimejaa.
➡️ Watu hawataki kupoteza muda kufungua app moja moja.
➡️ AI button inarahisisha kila kitu kwa bonyeza moja tu.
︎ Teknolojia

💨KWANINI SIMU NYINGI ZA 2025 ZINA AI BUTTON 🔘 NA MATUMIZI YAKE NI YAPI?

Watu wengi wameanza kuona simu mpya zenye button ya AI upande wa pembeni, lakini hawajui inafanya nini haswa. Leo tuongee!

🧵👇
Kuchukua notes kwa sauti (voice-to-text)
Kufungua app unayotumia sana
AI assistant – kama Google Gemini au ChatGPT Mini
2. Mfano hai – HOT 60 5G+
Infinix wameita hii feature mpya:
👉 “One-Tap AI Button”
3. Inafanya kazi gani?
Hii button inaweza kusaidia:
Kufungua camera ya AI moja kwa moja
Kutafsiri (translate) haraka messages
1. AI Button ni nini?
Hii ni kitufe maalum kinachowekwa upande wa simu – kama Infinix HOT 60 5G+ – kwa ajili ya kufanya kazi mbalimbali kwa haraka kupitia akili bandia (AI).

Ni kama shortcut, lakini yenye akili 🤯
🔘 Infinix Hot 60 5G+ inakuja na One-Tap AI Button
Imewekwa chini ya volume na power button. Inaitwa “smart and seamless shortcut” — shortcut ya kisasa isiyo na usumbufu.
Unapogusa, AI Assistant inafunguka instantly.
︎ Teknolojia

💨 USED DUBAI (Original Display)👇

▪️Pixel 7 (8+128) - 550K
▪️Pixel 7a (8+128) - 550K
▪️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.15M

PIXEL MPYA (Non Active)💥
▪️Pixel 9a (8+128) - 1.45M
▪️Pixel 9a (8+256) - 1.7M
▪️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
▪️Pixel 9 (12+256) - 2.1M
▪️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
▪️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨Juzi nilielezea feature ya Glyph light kwenye simu ya Nothing Phone 3 na hii hapa ni miongoni mwake
︎ Teknolojia

💨Ukweli mtupu
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Namna ya kuseti simu yako mtu akikupigia aambiwe namba hii haipo.
5: Usitumie blow dryer au kuweka kwenye oven/moto!
Watu hujaribu kuikausha kwa joto kali – hilo linaweza kuharibu screen, betri, au circuits.

Ni hatari kuliko unavyofikiria.
4: Toa vitu vinavyotoka
– Toa SIM card
– Toa memory card (SD)
– Kama betri inawezekana kutolewa, iitoe pia

Lengo ni kuzuia mzunguko wa umeme kuendelea na kuharibu components.
9: Simu inaweza kupona baada ya maji – lakini tu kama hukufanya makosa makubwa mwanzoni.

Na mara nyingi, reaction yako ya kwanza ndiyo huamua hatima ya simu.

🛑 Usiiwashe mara moja.
🛑 Usiiweke kwa joto kali.
🛑 Usikae nayo muda mrefu kwenye maji.
1
6: Badala yake, fanya hivi:
– Kausha kwa kitambaa kilicho kavu vizuri
– Uipe muda (masaa 24–48) ikiwa kwenye mazingira yasiyo na unyevu
⚠️ Ukweli: Kuwasha simu yenye unyevu ndani ni sawa na kuwasilisha mialiko kwa umeme kusababisha uharibifu mkubwa.
8: 🎯 Kama simu yako ina IP rating kama IP67/IP68 – ina uwezo wa kuhimili maji kidogo.
Lakini si vizuri kujaribu kwa makusudi.
Na kingine: maji ya bahari yana chumvi – ni hatari zaidi kuliko maji ya kawaida.