Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.58K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨 Ona namna ya kutumia camera zote za simu yako 👇
2. JARIBU HII SETTING
Fungua sehemu za "About Phone" ulinganishe model + RAM + Storage kama ni kweli vs kilichoelezwa.
︎ Teknolojia

💨KABLA HUJANUNUA SIMU KWA MTUMBA, ANGALIA HAYA MAMBO 7 🔥
(Nyuzi ya kusaidia wasio taka kudanganywa mitaani 📱)

Shuka🧵🧵👇
7. JARIBU KUIWASHA NA KUIZIMA
Simu yoyote yenye matatizo ya software au hardware huonesha delay au ku-stuck wakati wa kuwaka au kuzima.
6. ACCOUNT LOCK (Google/Samsung ID)
Simu ikiwa imefungwa kwa Google account au Samsung ID, itakutesa baada ya kurudisha factory settings. Hakikisha account zote zimeondolewa.
4. CHARGING PORT & AUDIO
Weka chaja. Ikiwa inatingishika au inaingia kwa nguvu — port imechoka. Pia piga sauti uone kama speaker inaguna.
6. ACCOUNT LOCK (Google/Samsung ID)
Simu ikiwa imefungwa kwa Google account au Samsung ID, itakutesa baada ya kurudisha factory settings. Hakikisha account zote zimeondolewa
5. CAMERA TEST
Fungua camera zote (rear na selfie) — jaribu flash, zoom, portrait mode. Hakikisha autofocus inafanya kazi.
Nunua mahali panapojulikana, pata risiti, na omba guarantee hata ya siku 3
3. ANGALIA LINE YA SCREEN & FRAME
Ukiona screen imewahi kufunguliwa (tochi ukitazama kwa pembeni), kuna uwezekano mkubwa iliwahi kufunguliwa au kuanguka vibaya.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨 Infinix wameachia hii video jana kuonyesha kuna sindano inakuja🔥🔥
︎ Teknolojia

💨 Nothing walishindwaje hapa?
︎ Teknolojia

💨 USED DUBAI (Original Display)👇

▪️Pixel 7 (8+128) - 550K
▪️Pixel 7a (8+128) - 550K
▪️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.15M

PIXEL MPYA (Non Active)💥
▪️Pixel 9a (8+128) - 1.45M
▪️Pixel 9a (8+256) - 1.7M
▪️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
▪️Pixel 9 (12+256) - 2.1M
▪️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
▪️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨CHAPATI ZA DUBAI

SONY XPERIA 10IV
▪️ Camera: 12MP (main) + 8MP (ultra-wide) + 8MP (telephoto), Selfie 8MP
▪️ Battery: 5000mAh, fast charging 30W
▪️ Display: 6.0" OLED, Full HD+, 60Hz
▪️ Processor: Snapdragon 695 5G
▪️ Storage: 6GB RAM, 128GB ROM + microSD
▪️ OS: Android 12 (upgradable)
▪️ Extras: IP65/IP68, Gorilla Glass Victus, stereo speakers, headphone jack

💥 Price: 270,000

📍Dar: KKKT Kariakoo
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
3. Umeweka kidole kwa angle tofauti

Wakati unarekodi fingerprint mara ya kwanza, simu hukumbuka angle maalum. Ukigusa kwa angle tofauti sana, inaweza kushindwa kutambua.
🔧 Suluhisho la haraka:

▪️Osha na kausha mikono kabla ya kutumia.

▪️Safisha sensor mara kwa mara.

▪️Rekodi tena fingerprint mpya (angle tofauti).

▪️Hakikisha simu ina updates zote.

▪️Kama shida inaendelea – fikiria kutumia face unlock kwa muda.