Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.4K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Septemba 24, mwaka 2182 Dunia itaweza kukumbwa na changamoto ya Jiwe kubwa kuweza kuigonga Dunia Yetu. Kupitia ujumbe uliotumwa na NASA OSIRIS REx jiwe hilo aina ya Asteroid Bennu itaweza kushuka Duniani.
Hata hivyo uwezekano wa kuathili Dunia bado haujawekwa wazi na wapi litashuka ? Hivyo kupitia NASA Dart wanaendelea kulichunguza na kupata taarifa kamili zaidi.

Endelea kufuatilia page Yetu utajifunza zaidi masuala Mbalimbali ya Teknolojia kwa lugha ya kiswahili
@Bongotech255
︎ Teknolojia

Jiwe hilo lina ukubwa sawa na uwanja wa mpira ambapo husonga Mbele Kila baada ya Miaka 6 mpaka kufikia mwaka 2135 itaweza kusogea karibu na Dunia na ifikapo mwaka 2182 itaweza kugonga Dunia.
︎ Teknolojia

𝗪𝗮𝗻𝗮𝘀𝗮𝘆𝗮𝗻𝘀𝗶 𝘄𝗮𝗺𝗲𝘀𝗲𝗺𝗮 𝗺𝘄𝗮𝗸𝗮 𝟮𝟭𝟴𝟮 𝗞𝘂𝗻𝗮 𝗷𝗶𝘄𝗲 𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮 𝗵𝗮𝘁𝗮𝗿𝗶 𝗹𝗶𝘁𝗮𝗸𝘂𝗷𝗮 𝗸𝘂𝗴𝗼𝗻𝗴𝗮 𝗗𝘂𝗻𝗶𝗮

Inawezekana hakuna kati Yetu ambaye atakuwepo ila 😁wape taarifa wajukuu au vitukuu vyako, kuna jiwe kubwa litashuka

Threads 👋
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨 Ona namna ya kutumia camera zote za simu yako 👇
2. JARIBU HII SETTING
Fungua sehemu za "About Phone" ulinganishe model + RAM + Storage kama ni kweli vs kilichoelezwa.
︎ Teknolojia

💨KABLA HUJANUNUA SIMU KWA MTUMBA, ANGALIA HAYA MAMBO 7 🔥
(Nyuzi ya kusaidia wasio taka kudanganywa mitaani 📱)

Shuka🧵🧵👇
7. JARIBU KUIWASHA NA KUIZIMA
Simu yoyote yenye matatizo ya software au hardware huonesha delay au ku-stuck wakati wa kuwaka au kuzima.
6. ACCOUNT LOCK (Google/Samsung ID)
Simu ikiwa imefungwa kwa Google account au Samsung ID, itakutesa baada ya kurudisha factory settings. Hakikisha account zote zimeondolewa.
4. CHARGING PORT & AUDIO
Weka chaja. Ikiwa inatingishika au inaingia kwa nguvu — port imechoka. Pia piga sauti uone kama speaker inaguna.
6. ACCOUNT LOCK (Google/Samsung ID)
Simu ikiwa imefungwa kwa Google account au Samsung ID, itakutesa baada ya kurudisha factory settings. Hakikisha account zote zimeondolewa
5. CAMERA TEST
Fungua camera zote (rear na selfie) — jaribu flash, zoom, portrait mode. Hakikisha autofocus inafanya kazi.
Nunua mahali panapojulikana, pata risiti, na omba guarantee hata ya siku 3
3. ANGALIA LINE YA SCREEN & FRAME
Ukiona screen imewahi kufunguliwa (tochi ukitazama kwa pembeni), kuna uwezekano mkubwa iliwahi kufunguliwa au kuanguka vibaya.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨 Infinix wameachia hii video jana kuonyesha kuna sindano inakuja🔥🔥
︎ Teknolojia

💨 Nothing walishindwaje hapa?
︎ Teknolojia

💨 USED DUBAI (Original Display)👇

▪️Pixel 7 (8+128) - 550K
▪️Pixel 7a (8+128) - 550K
▪️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.15M

PIXEL MPYA (Non Active)💥
▪️Pixel 9a (8+128) - 1.45M
▪️Pixel 9a (8+256) - 1.7M
▪️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
▪️Pixel 9 (12+256) - 2.1M
▪️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
▪️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757