Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.55K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

Kwenye kamera, storage usiwe na shaka unapata kitu Bora bila kusahau hii simu ni nyembamba mnoo unaweza kuweka pre oda yako Sasa ✍️.
@InfinixMobileTZ

Kumbuka TU Hii simu ni nyembamba kuliko simu mpya ya SAMSUNG Galaxy Edge 25 Endelea kufuatilia page Yetu kwa taarifa zaidi.
︎ Teknolojia

𝗛𝗶𝗶 𝗻𝗱𝗼 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝗻𝘆𝗲𝗺𝗯𝗮𝗺𝗯𝗮 𝗗𝘂𝗻𝗶𝗮𝗻𝗶

Achana na Samsung ndo inasemekana Toleo jipya la Samsung Galaxy S25 Edge ndo simu nyembamba

Kuna hii simu ni balaa👋

Threads 👇
@Bongotech255
@Huduma

💨 XIAOMI REDMI (Brand new) 💥

▪️Redmi A5 (3+64) - 250K
▪️Redmi A5 (4+128) - 280K
▪️Redmi 14C (4+128) - 300K
▪️Redmi 14C (8+256) - 350K
▪️Note 13 (6+128) - 450K
▪️Note 13 (8+256) - 530K
▪️Note 13 Pro 4G (8+256) - 680K
▪️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
▪️Note 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
▪️Redmi Note 14 (6+128) - 480K
▪️Redmi Note 14 (8+256) - 580K
▪️Redmi Note 14 5G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
▪️Redmi Note 14 Pro+ 5G (8+256)
🆕 Katika mfumo mpya wa iOS 26, mfumo wa FaceTime itakuwa na uwezo wa kusitisha video na sauti kwa wakati huo huo ikiwa itatambua mtu ameanza kuvua nguo au amekaa katika mazingira ambayo sio salama kimaudhui.

FaceTime itasitisha video call na kukuuliza kama upo sawa kuendelea
︎ Teknolojia

💨 Tecno Pova 7 ina muonekano mzuri kuliko Nothing Phone 3.
︎ Teknolojia

💨 NOTHING PHONE (Non Active)

▪️CMF Phone1 (8+256) - 850K
▪️Phone2a (8+256) - 1.1m
▪️Phone2a Plus (12+256) - 1.2m
▪️Phone 2 (12+256) - 1.58m
▪️Phone 3a (12+128) - 1.1M
▪️Phone 3a (12+256) - 1.25M
▪️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

RedMagic Astra Gaming Tablet imezinduliwa siku ya jana na itaanza kuuzwa kati ya tarehe 10-15 July kwa 💰 469.

Tablet moja yenye muonekano wa kibabe🔥🔥
︎ Teknolojia

💨 TECNO CAMON 40 Series

▪️Camon 40 (16+256) - 650K
▪️Camon 40 Pro (16+256) - 750K
▪️Camon 40 Premier (21+512) - 1.15M

📍Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
🆕 Google inabadili nembo ya Gemini

Sasa ina rangi ya samawati upande wa kulia, ikichanganyika polepole na nyekundu juu, njano kushoto, na kijani chini! Sasa hivi itakuwa na rangi za Google.

Pia lake sasa ni mviringo kidogo kwenye kona ambazo hazina ncha kali
︎ Teknolojia

💨Asante kwa kutuamini
@Njiwa_Store
@NjiwaFLow
tunakufikia kwa uaminifu mkubwa sana
Septemba 24, mwaka 2182 Dunia itaweza kukumbwa na changamoto ya Jiwe kubwa kuweza kuigonga Dunia Yetu. Kupitia ujumbe uliotumwa na NASA OSIRIS REx jiwe hilo aina ya Asteroid Bennu itaweza kushuka Duniani.
Hata hivyo uwezekano wa kuathili Dunia bado haujawekwa wazi na wapi litashuka ? Hivyo kupitia NASA Dart wanaendelea kulichunguza na kupata taarifa kamili zaidi.

Endelea kufuatilia page Yetu utajifunza zaidi masuala Mbalimbali ya Teknolojia kwa lugha ya kiswahili
@Bongotech255
︎ Teknolojia

Jiwe hilo lina ukubwa sawa na uwanja wa mpira ambapo husonga Mbele Kila baada ya Miaka 6 mpaka kufikia mwaka 2135 itaweza kusogea karibu na Dunia na ifikapo mwaka 2182 itaweza kugonga Dunia.
︎ Teknolojia

𝗪𝗮𝗻𝗮𝘀𝗮𝘆𝗮𝗻𝘀𝗶 𝘄𝗮𝗺𝗲𝘀𝗲𝗺𝗮 𝗺𝘄𝗮𝗸𝗮 𝟮𝟭𝟴𝟮 𝗞𝘂𝗻𝗮 𝗷𝗶𝘄𝗲 𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮 𝗵𝗮𝘁𝗮𝗿𝗶 𝗹𝗶𝘁𝗮𝗸𝘂𝗷𝗮 𝗸𝘂𝗴𝗼𝗻𝗴𝗮 𝗗𝘂𝗻𝗶𝗮

Inawezekana hakuna kati Yetu ambaye atakuwepo ila 😁wape taarifa wajukuu au vitukuu vyako, kuna jiwe kubwa litashuka

Threads 👋
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨 Ona namna ya kutumia camera zote za simu yako 👇
2. JARIBU HII SETTING
Fungua sehemu za "About Phone" ulinganishe model + RAM + Storage kama ni kweli vs kilichoelezwa.