Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.55K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

💨 JBL SPEAKER (Original💯)

▪️JBL Go 3 - 145K
▪️JBL Go 4 - 190K
▪️JBL Flip6 - 300K
▪️JBL Flip7 - 380K
▪️JBL Charger5 - 450K
▪️JBL Charger6 - 550K
▪️JBL XTRME3 - 700K
▪️JBL XTRME4 - 840K
▪️JBL Boombox X3 Wi-Fi - 1.3M

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨Rasmi sasa simu ya Nothing phone 3 imezinduliwa rasmi usiku wa kuamkia na huu 👇 ndo utakuwa Muonekano wake rasmi

Unaupa ngapi 1-10
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Sasa sijui unakosaje namba yangu mzawa haya sasa ikikupita na sahizi ndo basi tena😥 save namba yangu then nitumie jina lako whatsap Nisave Yakwako maana status yetu haijawai poa kabisa::0758288727
3. Background Apps Zinakula Power 📱⚙️

Kuna apps zinazoendelea kufanya kazi kwa background wakati unachaji (mfano: social media, location services, auto-sync).

👉 Solution: Weka simu kwenye Airplane Mode au funga background apps wakati wa kuchaji.
Kama simu yako ina support Fast Charging au Super Fast Charging, hakikisha unatumia charger inayoi-support hiyo feature.
5. Simu Inatumika Wakati Inachaji 🔥

Ukiwa unacheza game, YouTube au scrolling TikTok wakati wa charging... battery inajaa polepole sana.

👉 Solution: Acha matumizi ya simu wakati wa charging.
︎ Teknolojia

💨KWANINI SIMU YAKO INACHUKUA MUDA MREFU KUCHAJI?🔋

Kuna nyakati unachomeka simu yako kwenye charger... masaa mawili bado haijafika hata 50%! 😩

Hizi hapa sababu 7 kubwa zinazofanya simu yako ichaji kwa muda mrefu kuliko kawaida:

Shuka🧵🧵👇
4. Battery Imechoka/Old Battery Health ⚠️

Kama simu yako ni ya zamani na battery health imeshuka sana (chini ya 80%), charging inakuwa slow hata ukiwa na charger nzuri.

👉 Solution: Fikiria kubadilisha battery.
6. Charging Port Imeloa Vumbi/Rust 🧹

Vumbi, uchafu au kutu kwenye charging port vinaweza kuathiri proper connection kati ya charger na simu.

👉 Solution: Safisha port kwa brush ndogo au utembelee fundi kwa cleaning professional.
Hasara za Kutumia Simu Wakati Inachaji:

1. Overheating

2. Battery health kuisha haraka

3. Charging kuwa slow sana

4. Risk ya electric shock

5. Charging port kulegea au kuharibika

6. Risk ya battery kulipuka (kwa simu zenye defect)

7. Screen na processor overload
2. Power Source Duni 🔋
Unacharge simu kupitia laptop USB, extension ya bei chee, au adapter yenye voltage ndogo.

👉 Solution: Tumia wall socket yenye stable power na fast charging adapter.
1. Charger na Cable Feki/Low Quality 🔌
Kutumia charger au cable isiyo original au yenye uwezo mdogo wa current (Amperage) kunasababisha charging kuwa slow sana.

👉 Solution: Tumia original charger au certified fast charger.
7. Overheating/Warm Environment 🌡️

Charging kwenye joto kali au simu yenye overheating hupelekea software ku-limiter charging speed kama protection.

👉 Solution: Charge simu sehemu yenye ventilation nzuri na epuka kutumia wakati wa charging.
︎ Teknolojia

💨Sogeza simu nyuma kidogo alafu uangalie hii simu tena.
Ni simu kali🔥
🆕 Apple itabadili utaratibu wa design ya logo yake katika upande wa nyuma ya simu.

Logo ya Apple itashuka upande wa chini zaidi na itakaa katikati ya sehemu ya box ya chini ya kamera. Pia mngáo wake utabadilika kwa sababu ya mabadiliko ya aina mpya ya kioo cha nyuma ya iPhone.
︎ Teknolojia

💨 Redmi 14C 💥

Redmi 14C Specifications
▪️ Camera: 50MP
▪️ Storage: 128GB/256GB
▪️ RAM: 4GB
▪️ Battery Capacity: 5000mAh 👇

💥 Price: (4GB + 128GB) 300,000
(8GB + 256GB) 350,000

📍 Likoma, Opposite KKKT Kariakoo
📍 Roundabout ya samaki, Mwanza
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 NOTHING PHONE (Non Active)

▪️CMF Phone1 (8+256) - 850K
▪️Phone2a (8+256) - 1.2m
▪️Phone2a Plus (12+256) - 1.35m
▪️Phone 2 (12+256) - 1.58m
▪️Phone 2 (12+512) - 1.75m
▪️Phone 3a (12+256) - 1.25M
▪️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 OFFER SAMSUNG A SERIES

▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -420K
▪️A16 (6+128) - 450K
▪️A16 (8+256) - 580K
▪️A26 5G (6+128) - 680K
▪️A26 5G (8+256) - 780K
▪️A36 5G (6+128) - 900K
▪️A36 5G (8+256) - 1M
▪️A56 5G (8+128) - 1M
▪️A56 5G (8+256) - 1.15M

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757