Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.55K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ USED DUBAI (Original Display)๐Ÿ‘‡

โ–ช๏ธPixel 7 (8+128) - 550K
โ–ช๏ธPixel 7a (8+128) - 550K
โ–ช๏ธPixel 8 Pro (12+128) - 1.15M

PIXEL MPYA (Non Active)๐Ÿ’ฅ
โ–ช๏ธPixel 9a (8+128) - 1.45M
โ–ช๏ธPixel 9a (8+256) - 1.7M
โ–ช๏ธPixel 9 (12+128) - 1.75M
โ–ช๏ธPixel 9 (12+256) - 2.1M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

๐Ÿ“Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani ๐Ÿšš
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
@Huduma

๐Ÿ’จ Kulia ni Tecno Spark 40 iliyozinduliwa wameiba muonekano wa iPhone 17 Pro Max itakayozinduliwa mwezi wa 9 mwaka huu.

Hapo ndio tuje tujiulize nani kamcopy mwenzake ๐Ÿ˜
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Muonekano rasmi wa Nothing Phone 3

Watu wengi wameonyesha hisia za wazi kutokuridhishwa na huu mpangilio wa Camera.

Swali la kujiuliza je Team nzima ya Nothing walivyokaa chini hawakuliona hili?

Hii simu inahitaji uzoefu muda kila mtu ataanza kuiona nzuri.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ JBL SPEAKER (Original๐Ÿ’ฏ)

โ–ช๏ธJBL Go 3 - 145K
โ–ช๏ธJBL Go 4 - 190K
โ–ช๏ธJBL Flip6 - 300K
โ–ช๏ธJBL Flip7 - 380K
โ–ช๏ธJBL Charger5 - 450K
โ–ช๏ธJBL Charger6 - 550K
โ–ช๏ธJBL XTRME3 - 700K
โ–ช๏ธJBL XTRME4 - 840K
โ–ช๏ธJBL Boombox X3 Wi-Fi - 1.3M

๐Ÿ“Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จRasmi sasa simu ya Nothing phone 3 imezinduliwa rasmi usiku wa kuamkia na huu ๐Ÿ‘‡ ndo utakuwa Muonekano wake rasmi

Unaupa ngapi 1-10
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Sasa sijui unakosaje namba yangu mzawa haya sasa ikikupita na sahizi ndo basi tena๐Ÿ˜ฅ save namba yangu then nitumie jina lako whatsap Nisave Yakwako maana status yetu haijawai poa kabisa::0758288727
3. Background Apps Zinakula Power ๐Ÿ“ฑโš™๏ธ

Kuna apps zinazoendelea kufanya kazi kwa background wakati unachaji (mfano: social media, location services, auto-sync).

๐Ÿ‘‰ Solution: Weka simu kwenye Airplane Mode au funga background apps wakati wa kuchaji.
Kama simu yako ina support Fast Charging au Super Fast Charging, hakikisha unatumia charger inayoi-support hiyo feature.
5. Simu Inatumika Wakati Inachaji ๐Ÿ”ฅ

Ukiwa unacheza game, YouTube au scrolling TikTok wakati wa charging... battery inajaa polepole sana.

๐Ÿ‘‰ Solution: Acha matumizi ya simu wakati wa charging.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จKWANINI SIMU YAKO INACHUKUA MUDA MREFU KUCHAJI?โณ๐Ÿ”‹

Kuna nyakati unachomeka simu yako kwenye charger... masaa mawili bado haijafika hata 50%! ๐Ÿ˜ฉ

Hizi hapa sababu 7 kubwa zinazofanya simu yako ichaji kwa muda mrefu kuliko kawaida:

Shuka๐Ÿงต๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
4. Battery Imechoka/Old Battery Health โš ๏ธ

Kama simu yako ni ya zamani na battery health imeshuka sana (chini ya 80%), charging inakuwa slow hata ukiwa na charger nzuri.

๐Ÿ‘‰ Solution: Fikiria kubadilisha battery.
6. Charging Port Imeloa Vumbi/Rust ๐Ÿงน

Vumbi, uchafu au kutu kwenye charging port vinaweza kuathiri proper connection kati ya charger na simu.

๐Ÿ‘‰ Solution: Safisha port kwa brush ndogo au utembelee fundi kwa cleaning professional.
Hasara za Kutumia Simu Wakati Inachaji:

1. Overheating

2. Battery health kuisha haraka

3. Charging kuwa slow sana

4. Risk ya electric shock

5. Charging port kulegea au kuharibika

6. Risk ya battery kulipuka (kwa simu zenye defect)

7. Screen na processor overload
2. Power Source Duni ๐Ÿ”‹
Unacharge simu kupitia laptop USB, extension ya bei chee, au adapter yenye voltage ndogo.

๐Ÿ‘‰ Solution: Tumia wall socket yenye stable power na fast charging adapter.
1. Charger na Cable Feki/Low Quality ๐Ÿ”Œ
Kutumia charger au cable isiyo original au yenye uwezo mdogo wa current (Amperage) kunasababisha charging kuwa slow sana.

๐Ÿ‘‰ Solution: Tumia original charger au certified fast charger.
7. Overheating/Warm Environment ๐ŸŒก๏ธ

Charging kwenye joto kali au simu yenye overheating hupelekea software ku-limiter charging speed kama protection.

๐Ÿ‘‰ Solution: Charge simu sehemu yenye ventilation nzuri na epuka kutumia wakati wa charging.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จSogeza simu nyuma kidogo alafu uangalie hii simu tena.
Ni simu kali๐Ÿ”ฅ