Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
๐Ÿ‘‰ Kamera hii ni beast kwa low light shots, wide angle photography, na high-quality video recording

Google pia inajulikana kwa computational photography โ€“ hivyo hata kama specs zinaonekana simple, results huwa outstanding!
Selfie Camera
โœ… 10.5MP
โœ… 4K@60fps video
๐Ÿ‘‰ Perfect kwa vlogs, video calls na social media content creators. 4K selfie video sio kawaida kwenye phones nyingi.
Camera
Rear

โœ… 50MP Main (f/1.7, OIS)
โœ… 48MP Ultra-wide
โœ… 4K
โœ…60fps video support48MP + 12MP Ultra-wide + 10.8MP (5x) Periscope
Box Contents
Ukinunua, unapata:
โœ… The phone (obviously ๐Ÿ˜‚)
โœ… USB-C cable
โœ… SIM ejector
โœ… Paperwork
๐Ÿ‘‰ Kama kawaida ya Pixels, hakuna charger kwenye box (environmental reasons).
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ SAMSUNG A55 5G

โ–ช๏ธ50MP Camera
โ–ช๏ธExynos 1480
โ–ช๏ธ8GB RAM, 256GB ROM
โ–ช๏ธ5000mAh | 25W

โ–ช๏ธTSH. 1,000,000

๐Ÿ“Dar: KKKT Kariakoo
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จMuonekano wa One plus Nord 5๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ USED DUBAI (Original Display)๐Ÿ‘‡

โ–ช๏ธPixel 7 (8+128) - 550K
โ–ช๏ธPixel 7a (8+128) - 550K
โ–ช๏ธPixel 8 Pro (12+128) - 1.15M

PIXEL MPYA (Non Active)๐Ÿ’ฅ
โ–ช๏ธPixel 9a (8+128) - 1.45M
โ–ช๏ธPixel 9a (8+256) - 1.7M
โ–ช๏ธPixel 9 (12+128) - 1.75M
โ–ช๏ธPixel 9 (12+256) - 2.1M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

๐Ÿ“Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani ๐Ÿšš
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
@Huduma

๐Ÿ’จ Kulia ni Tecno Spark 40 iliyozinduliwa wameiba muonekano wa iPhone 17 Pro Max itakayozinduliwa mwezi wa 9 mwaka huu.

Hapo ndio tuje tujiulize nani kamcopy mwenzake ๐Ÿ˜
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Muonekano rasmi wa Nothing Phone 3

Watu wengi wameonyesha hisia za wazi kutokuridhishwa na huu mpangilio wa Camera.

Swali la kujiuliza je Team nzima ya Nothing walivyokaa chini hawakuliona hili?

Hii simu inahitaji uzoefu muda kila mtu ataanza kuiona nzuri.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ JBL SPEAKER (Original๐Ÿ’ฏ)

โ–ช๏ธJBL Go 3 - 145K
โ–ช๏ธJBL Go 4 - 190K
โ–ช๏ธJBL Flip6 - 300K
โ–ช๏ธJBL Flip7 - 380K
โ–ช๏ธJBL Charger5 - 450K
โ–ช๏ธJBL Charger6 - 550K
โ–ช๏ธJBL XTRME3 - 700K
โ–ช๏ธJBL XTRME4 - 840K
โ–ช๏ธJBL Boombox X3 Wi-Fi - 1.3M

๐Ÿ“Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จRasmi sasa simu ya Nothing phone 3 imezinduliwa rasmi usiku wa kuamkia na huu ๐Ÿ‘‡ ndo utakuwa Muonekano wake rasmi

Unaupa ngapi 1-10
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Sasa sijui unakosaje namba yangu mzawa haya sasa ikikupita na sahizi ndo basi tena๐Ÿ˜ฅ save namba yangu then nitumie jina lako whatsap Nisave Yakwako maana status yetu haijawai poa kabisa::0758288727
3. Background Apps Zinakula Power ๐Ÿ“ฑโš™๏ธ

Kuna apps zinazoendelea kufanya kazi kwa background wakati unachaji (mfano: social media, location services, auto-sync).

๐Ÿ‘‰ Solution: Weka simu kwenye Airplane Mode au funga background apps wakati wa kuchaji.
Kama simu yako ina support Fast Charging au Super Fast Charging, hakikisha unatumia charger inayoi-support hiyo feature.
5. Simu Inatumika Wakati Inachaji ๐Ÿ”ฅ

Ukiwa unacheza game, YouTube au scrolling TikTok wakati wa charging... battery inajaa polepole sana.

๐Ÿ‘‰ Solution: Acha matumizi ya simu wakati wa charging.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จKWANINI SIMU YAKO INACHUKUA MUDA MREFU KUCHAJI?โณ๐Ÿ”‹

Kuna nyakati unachomeka simu yako kwenye charger... masaa mawili bado haijafika hata 50%! ๐Ÿ˜ฉ

Hizi hapa sababu 7 kubwa zinazofanya simu yako ichaji kwa muda mrefu kuliko kawaida:

Shuka๐Ÿงต๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
4. Battery Imechoka/Old Battery Health โš ๏ธ

Kama simu yako ni ya zamani na battery health imeshuka sana (chini ya 80%), charging inakuwa slow hata ukiwa na charger nzuri.

๐Ÿ‘‰ Solution: Fikiria kubadilisha battery.