Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.53K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ“ฑ:

๐Ÿ’จ TOFAUTI KATI YA GLOBAL VERSION NA CHINA VERSION YA SIMU.
(Mfano: Xiaomi, OnePlus, n.k)

Kama umewahi kuagiza simu kutoka nje (AliExpress, Amazon n.k) au umeambiwa kuna "China Version" na "Global Version"...

Leo naeleza tofauti kubwa kati ya hizi mbili.

Shuka๐Ÿงต๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
China Version ni nini?

โœ… Simu iliyotengenezwa kwa soko la China

โœ… Mara nyingi haina Google Services (Play Store unalazimika kuinstall mwenyewe)
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Bila mwanga Baada ya Mwanga
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จRedmi Note 14 pro 4G ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Storage: 256GB ROM + 8GB RAM

๐Ÿ’ฅ Price: 700,000 Tsh

๐Ÿ“Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Kutengeneza Movie kwa Ai : Filamu kwa kutumia Veo 3 AI
Kutengeneza Movie kwa kutumia Simu na AI ya Google Veo 3.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Edit picha kali kama hii kwa ChatGPT tu
Je, unajua unaweza kuedit picha yako kuwa ya kuvutia na ya kitaalamu kama hii hapa, kwa kutumia ChatGPT tu bila kutumia Photoshop, Canva au App nyingine ngumu? ๐Ÿ˜ฑ
@Huduma

๐Ÿ’จ OFFER SAMSUNG A SERIES

โ–ช๏ธA05 (4+64) - 250K
โ–ช๏ธA06 (4+64) - 300K
โ–ช๏ธA06 (4+128) - 330K
โ–ช๏ธA05s (4+128) - 350K
โ–ช๏ธA16 (4+128) -420K
โ–ช๏ธA16 (6+128) - 450K
โ–ช๏ธA16 (8+256) - 580K
โ–ช๏ธA26 5G (6+128) - 680K
โ–ช๏ธA26 5G (8+256) - 780K
โ–ช๏ธA36 5G (6+128) - 900K
โ–ช๏ธA36 5G (8+256) - 1M
โ–ช๏ธA56 5G (8+128) - 1M
โ–ช๏ธA56 5G (8+256) - 1.15M

๐Ÿ“Dar: KKKT Kariakoo
๐Ÿ“Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Oppo Reno 14 ndiyo simu yenye muonekano mzuri zaidi duniani.
๐Ÿ†• Tetesi mpya zinaonyesha simu mpya ya Samsung Galaxy Z Fold 7 itakuwa nyembamba sana โ€“ 8.9 mm ukiifunga na 4.2 mm ukiifungua!

Ni nyembamba zaidi, uzito utapungua kidogo, itakuwa na skrini kubwa zaidi na mfumo wa kamera wenye nguvu.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Redmi 14C ๐Ÿ’ฅ

Redmi 14C Specifications
โ–ช๏ธ Camera: 50MP
โ–ช๏ธ Storage: 128GB/256GB
โ–ช๏ธ RAM: 4GB
โ–ช๏ธ Battery Capacity: 5000mAh ๐Ÿ‘‡

๐Ÿ’ฅ Price: (4GB + 128GB) 300,000
(8GB + 256GB) 350,000

๐Ÿ“ Likoma, Opposite KKKT Kariakoo
๐Ÿ“ Roundabout ya samaki, Mwanza
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Redmi 14C ๐Ÿ’ฅ

Redmi 14C Specifications
โ–ช๏ธ Camera: 50MP
โ–ช๏ธ Storage: 128GB/256GB
โ–ช๏ธ RAM: 4GB
โ–ช๏ธ Battery Capacity: 5000mAh ๐Ÿ‘‡

๐Ÿ’ฅ Price: (4GB + 128GB) 300,000
(8GB + 256GB) 350,000

๐Ÿ“ Likoma, Opposite KKKT Kariakoo
๐Ÿ“ Roundabout ya samaki, Mwanza
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Xiaomi Ai glasses inakuja na version 4 za kubadili rangi๐Ÿ”ฅ
Video sijaweka kwenye comment
๐Ÿ†• Update ya beta ya One UI 8 Watch imeanza kutoka rasmi! ๐Ÿš€
#OneUI8Watch #Beta
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จWakati tukiendelea kusubiri uzinduzi wa GOOGLE PIXEL 10 SERIES.

Hapa nimekusogezea specifications za Google pixel 10.

6.3โ€ FHD+ 120Hz OLED display
- 3000nits peak brightness
- Tensor G5
- 48MP + 12MP Ultra-wide + 10.8MP (5x) Periscope  
- 10.5MP front 
- Fully custom camera ISP
- 4970mAh battery + 29W
- 15W wireless | IP68 rating
- Android 16