๐ Nini maana ya Super Fast Charging?
Super Fast Charging ni step ya juu zaidi.
Hapa power delivery huwa kubwa zaidi (kuanzia 40W, 50W, hadi 100W+ kwa baadhi ya models)

Jambo la kuzingatia:
Daima tumia original charger au certified charger.
Fake fast chargers zinaweza kuharibu battery yako, au kuleta moto.

โ
Muda wa kuchaji:
Fast Charging inaweza kuchukua zaidi ya saa moja hadi simu ijaze.
Super Fast Charging inaweza kujaza ndani ya dakika 20 hadi 45 kutegemea na capacity ya battery.

Super Fast Charging ni hatari kwa battery?
Kwa simu za kisasa: Hapana.
Brands kubwa zinatumia teknolojia ya:
Smart Temperature Control
Adaptive Charging
Battery Health Protection
Kwa simu za kisasa: Hapana.
Brands kubwa zinatumia teknolojia ya:
Smart Temperature Control
Adaptive Charging
Battery Health Protection
โ
Hitaji la vifaa maalum:
Super Fast Charging inahitaji charger na cable maalum zilizotengenezwa kwa power hiyo kubwa.

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
Ukweli Kuhusu Kutengeneza Pesa Kupitia vudeo za AI (VEO 3)
๐ Umewahi kusikia kuhusu VEO 3? Hii ni teknolojia mpya ya AI inayotengeneza video za ajabu โ na watu tayari wanatengeneza pesa nyingi kwa kuzitumia kwenye mitandao kama YouTube, TikTok na Instagram!

Tofauti Kuu kati ya Global na China Version:
โ Google Services:
Global: Ipo tayari
China: Hakuna (unahitaji kuinstall manually)

Inakuwa na multi-language support (Kiswahili, English, French n.k)
โ Network bands zake zinaendana na mitandao mingi duniani (Tanzania included).

Global Version ni nini?
โ Simu iliyotengenezwa kwa ajili ya masoko ya nje ya China (Ulaya, Africa, India n.k)
โ Inakuja na Google Services zote zikiwa tayari installed (Play Store, Gmail, YouTube n.k)

Inakuja na lugha za Kichina na English tu
โ Network bands mara nyingine hazi-support 4G/5G vizuri kwenye baadhi ya mitandao nje ya China
โ Kuna apps nyingi za China ambazo haziwezi kufutwa.

๐ฑ:
๐จ TOFAUTI KATI YA GLOBAL VERSION NA CHINA VERSION YA SIMU.
(Mfano: Xiaomi, OnePlus, n.k)
Kama umewahi kuagiza simu kutoka nje (AliExpress, Amazon n.k) au umeambiwa kuna "China Version" na "Global Version"...
Leo naeleza tofauti kubwa kati ya hizi mbili.
Shuka๐งต๐งต๐

China Version ni nini?
โ Simu iliyotengenezwa kwa soko la China
โ Mara nyingi haina Google Services (Play Store unalazimika kuinstall mwenyewe)
โ Simu iliyotengenezwa kwa soko la China
โ Mara nyingi haina Google Services (Play Store unalazimika kuinstall mwenyewe)
ใฝ๏ธ Teknolojia
๐จRedmi Note 14 pro 4G ๐ฅ๐ฅ
Storage: 256GB ROM + 8GB RAM
๐ฅ Price: 700,000 Tsh
๐Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
๐ 0745100757
wa.me/+255745100757
๐จRedmi Note 14 pro 4G ๐ฅ๐ฅ
Storage: 256GB ROM + 8GB RAM
๐ฅ Price: 700,000 Tsh
๐Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
๐ 0745100757
wa.me/+255745100757
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
Kutengeneza Movie kwa Ai : Filamu kwa kutumia Veo 3 AI
Kutengeneza Movie kwa kutumia Simu na AI ya Google Veo 3.

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
Edit picha kali kama hii kwa ChatGPT tu
Je, unajua unaweza kuedit picha yako kuwa ya kuvutia na ya kitaalamu kama hii hapa, kwa kutumia ChatGPT tu bila kutumia Photoshop, Canva au App nyingine ngumu? ๐ฑ

@Huduma
๐จ OFFER SAMSUNG A SERIES
โช๏ธA05 (4+64) - 250K
โช๏ธA06 (4+64) - 300K
โช๏ธA06 (4+128) - 330K
โช๏ธA05s (4+128) - 350K
โช๏ธA16 (4+128) -420K
โช๏ธA16 (6+128) - 450K
โช๏ธA16 (8+256) - 580K
โช๏ธA26 5G (6+128) - 680K
โช๏ธA26 5G (8+256) - 780K
โช๏ธA36 5G (6+128) - 900K
โช๏ธA36 5G (8+256) - 1M
โช๏ธA56 5G (8+128) - 1M
โช๏ธA56 5G (8+256) - 1.15M
๐Dar: KKKT Kariakoo
๐Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
๐ 0745100757
wa.me/+255745100757
๐จ OFFER SAMSUNG A SERIES
โช๏ธA05 (4+64) - 250K
โช๏ธA06 (4+64) - 300K
โช๏ธA06 (4+128) - 330K
โช๏ธA05s (4+128) - 350K
โช๏ธA16 (4+128) -420K
โช๏ธA16 (6+128) - 450K
โช๏ธA16 (8+256) - 580K
โช๏ธA26 5G (6+128) - 680K
โช๏ธA26 5G (8+256) - 780K
โช๏ธA36 5G (6+128) - 900K
โช๏ธA36 5G (8+256) - 1M
โช๏ธA56 5G (8+128) - 1M
โช๏ธA56 5G (8+256) - 1.15M
๐Dar: KKKT Kariakoo
๐Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
๐ 0745100757
wa.me/+255745100757