Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Tofauti Kuu kati ya hizi mbili ni hizi:

โœ… Kasi ya kuchaji:
Super Fast Charging ni mara mbili au tatu haraka zaidi kuliko Fast Charging ya kawaida.
๐Ÿ‘‰ Nini maana ya Super Fast Charging?
Super Fast Charging ni step ya juu zaidi.
Hapa power delivery huwa kubwa zaidi (kuanzia 40W, 50W, hadi 100W+ kwa baadhi ya models)
Jambo la kuzingatia:
Daima tumia original charger au certified charger.

Fake fast chargers zinaweza kuharibu battery yako, au kuleta moto.
โœ… Muda wa kuchaji:
Fast Charging inaweza kuchukua zaidi ya saa moja hadi simu ijaze.

Super Fast Charging inaweza kujaza ndani ya dakika 20 hadi 45 kutegemea na capacity ya battery.
Super Fast Charging ni hatari kwa battery?
Kwa simu za kisasa: Hapana.
Brands kubwa zinatumia teknolojia ya:

Smart Temperature Control

Adaptive Charging

Battery Health Protection
โœ… Hitaji la vifaa maalum:
Super Fast Charging inahitaji charger na cable maalum zilizotengenezwa kwa power hiyo kubwa.
Lakini:
โœ… Usitumie fake chargers
โœ… Usichaji simu usiku kucha bila sababu
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Ukweli Kuhusu Kutengeneza Pesa Kupitia vudeo za AI (VEO 3)
๐Ÿš€ Umewahi kusikia kuhusu VEO 3? Hii ni teknolojia mpya ya AI inayotengeneza video za ajabu โ€” na watu tayari wanatengeneza pesa nyingi kwa kuzitumia kwenye mitandao kama YouTube, TikTok na Instagram!
Tofauti Kuu kati ya Global na China Version:

โœ… Google Services:

Global: Ipo tayari

China: Hakuna (unahitaji kuinstall manually)
โœ… Inakuwa na multi-language support (Kiswahili, English, French n.k)

โœ… Network bands zake zinaendana na mitandao mingi duniani (Tanzania included).
Global Version ni nini?

โœ… Simu iliyotengenezwa kwa ajili ya masoko ya nje ya China (Ulaya, Africa, India n.k)

โœ… Inakuja na Google Services zote zikiwa tayari installed (Play Store, Gmail, YouTube n.k)
โœ… Inakuja na lugha za Kichina na English tu

โœ… Network bands mara nyingine hazi-support 4G/5G vizuri kwenye baadhi ya mitandao nje ya China

โœ… Kuna apps nyingi za China ambazo haziwezi kufutwa.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ“ฑ:

๐Ÿ’จ TOFAUTI KATI YA GLOBAL VERSION NA CHINA VERSION YA SIMU.
(Mfano: Xiaomi, OnePlus, n.k)

Kama umewahi kuagiza simu kutoka nje (AliExpress, Amazon n.k) au umeambiwa kuna "China Version" na "Global Version"...

Leo naeleza tofauti kubwa kati ya hizi mbili.

Shuka๐Ÿงต๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
China Version ni nini?

โœ… Simu iliyotengenezwa kwa soko la China

โœ… Mara nyingi haina Google Services (Play Store unalazimika kuinstall mwenyewe)
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Bila mwanga Baada ya Mwanga
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จRedmi Note 14 pro 4G ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Storage: 256GB ROM + 8GB RAM

๐Ÿ’ฅ Price: 700,000 Tsh

๐Ÿ“Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Kutengeneza Movie kwa Ai : Filamu kwa kutumia Veo 3 AI
Kutengeneza Movie kwa kutumia Simu na AI ya Google Veo 3.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Edit picha kali kama hii kwa ChatGPT tu
Je, unajua unaweza kuedit picha yako kuwa ya kuvutia na ya kitaalamu kama hii hapa, kwa kutumia ChatGPT tu bila kutumia Photoshop, Canva au App nyingine ngumu? ๐Ÿ˜ฑ
@Huduma

๐Ÿ’จ OFFER SAMSUNG A SERIES

โ–ช๏ธA05 (4+64) - 250K
โ–ช๏ธA06 (4+64) - 300K
โ–ช๏ธA06 (4+128) - 330K
โ–ช๏ธA05s (4+128) - 350K
โ–ช๏ธA16 (4+128) -420K
โ–ช๏ธA16 (6+128) - 450K
โ–ช๏ธA16 (8+256) - 580K
โ–ช๏ธA26 5G (6+128) - 680K
โ–ช๏ธA26 5G (8+256) - 780K
โ–ช๏ธA36 5G (6+128) - 900K
โ–ช๏ธA36 5G (8+256) - 1M
โ–ช๏ธA56 5G (8+128) - 1M
โ–ช๏ธA56 5G (8+256) - 1.15M

๐Ÿ“Dar: KKKT Kariakoo
๐Ÿ“Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757