Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.4K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
📸 Kamera:

64MP main camera

16MP front camera

Hii si simu ya photography professional, lakini inafanya kazi vizuri kwa picha za field na documentation.
7/
⚙️ Utendaji wa Ndani:

MediaTek Helio G100 processor

6GB RAM

128GB storage (expandable via microSD)

Android 15 tayari ikiwa imewekwa

Kwa kazi za field, navigation apps, na communication apps... performance inatosha.
9/
📏 Ukubwa na Uzito:

Uzito: 538g

Unene: 24.6mm

Hii ni simu nzito zaidi ya wastani, lakini uzito huo unaendana na uimara na ukubwa wa betri.
︎ Teknolojia

/
🔈 Sauti:
KingKong Power 5 ina spika kubwa yenye nguvu inayofikia hadi 136dB

Inafaa kwa matumizi ya site, mawasiliano ya emergency, au taarifa za sauti mahali penye kelele nyingi.
11/
KingKong Power 5 inafaa kwa:
Watu wanaofanya kazi kwenye mazingira magumu (construction sites, migodini, viwandani)
Wapenzi wa safari ndefu na camping
Madereva wa safari ndefu
Mtu yeyote anayehitaji battery ya kudumu na uimara wa kweli
6/
📱 Display:

6.88 inch HD+ IPS LCD

120Hz refresh rate

1000 nits brightness (inasomeka vizuri hata kwenye jua kali)

Gorilla Glass protection dhidi ya mikwaruzo
10/
💰 Bei:
Kwa sasa, bei ya kimataifa inarange kati ya $200 hadi $250
(Tsh 500,000 - 650,000 kabla ya kodi na usafirishaji)

Bei inaweza kutofautiana kulingana na muuzaji na eneo ulipo.
Cubot KingKong Power 5 ni chaguo sahihi kwa wale wanaotanguliza uimara, betri kubwa, na matumizi ya field kuliko uzito wa simu au aesthetics.
︎ Teknolojia

/
🌧️ Uimara na Ulinzi:
Simu hii imeidhinishwa kwa viwango vya kimataifa vya uimara:

IP68 / IP69K (waterproof & dustproof)

MIL-STD-810H certification (shockproof & drop resistant)

Imejengwa kwa ajili ya mazingira magumu kama migodini, viwandani, au safari za porini.
︎ Teknolojia

/
💡 Mwangaza:
Simu hii inakuja na dual flashlight system:

1200 lumens floodlight (mwanga mpana kwa matumizi ya karibu)

1000 lumens torch (taa ya mwelekeo kwa matumizi ya mbali)

Inafaa kwa kazi za usiku, maeneo ya machimbo, camping, na safari za porini.
︎ Teknolojia

💨 Xiaomi mix flip 2

Kampuni ya Xiaomi imeendelea na toa ni weke kampeni ikiwa ni baada ya kutarajiwa kuzinduliwa Xiaomi mix flip flip 2 hivi karibuni
Simu hii itakuja na battery capacity ya 5165mAh.
Na specs nyingine kali sana
︎ Teknolojia

💨 NOTHING PHONE (Non Active)

▪️CMF Phone1 (8+256) - 850K
▪️Phone2a (8+256) - 1.2m
▪️Phone2a Plus (12+256) - 1.35m
▪️Phone 2 (12+256) - 1.58m
▪️Phone 2 (12+512) - 1.75m
▪️Phone 3a (12+256) - 1.25M
▪️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
@Huduma

💨CHAPATI ZA DUBAI

SONY XPERIA 10IV
▪️ Camera: 12MP (main) + 8MP (ultra-wide) + 8MP (telephoto), Selfie 8MP
▪️ Battery: 5000mAh, fast charging 30W
▪️ Display: 6.0" OLED, Full HD+, 60Hz
▪️ Processor: Snapdragon 695 5G
▪️ Storage: 6GB RAM, 128GB ROM + microSD
▪️ OS: Android 12 (upgradable)
▪️ Extras: IP65/IP68, Gorilla Glass Victus, stereo speakers, headphone jack

💥 Price: 270,000

📍Dar: KKKT Kariakoo
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
@Huduma

💨 Muonekano wa Nothing Phone 3 hizo camera zipo sahihi?
︎ Teknolojia

💨 Redmi 14C 💥

Redmi 14C Specifications
▪️ Camera: 50MP
▪️ Storage: 128GB/256GB
▪️ RAM: 4GB
▪️ Battery Capacity: 5000mAh 👇

💥 Price: (4GB + 128GB) 300,000
(8GB + 256GB) 350,000

📍 Likoma, Opposite KKKT Kariakoo
📍 Roundabout ya samaki, Mwanza
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
💨 CCTV Camera gani gani itakayokuwa inanipa live notification kwenye simu mtu akisogelea mlango?
︎ Teknolojia

💨 Huyu ni mimi siwezi nunua kitu bila sababu ya ulazima.
@Huduma

💨 OFFER SAMSUNG A SERIES

▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -420K
▪️A16 (6+128) - 450K
▪️A16 (8+256) - 580K
▪️A26 5G (6+128) - 680K
▪️A26 5G (8+256) - 780K
▪️A36 5G (6+128) - 900K
▪️A36 5G (8+256) - 1M
▪️A56 5G (8+128) - 1M
▪️A56 5G (8+256) - 1.15M

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757