Teknolojia
132 subscribers
3.8K photos
4.51K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ TECNO CAMON 40 Series

β–ͺ️Camon 40 (16+256) - 650K
β–ͺ️Camon 40 Pro (16+256) - 750K
β–ͺ️Camon 40 Premier (21+512) - 1.15M

πŸ“Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨T1 mobile phone simu ya Trump ila haitengenezwi marekani.
Bado haijawekwa wazi ila specifications zake huenda ikawa inatengenezwa China.
Simu hii iko mbioni kuzinduliwa mwanzoni mwa mwezi wa 9
πŸ’¨ Wanawake wa Kisikuma ni wanyenyekevu sana wana upendo wa kweli ni wastaharabu na pia ni watulivu.
@Huduma

πŸ’¨ OFFER SAMSUNG A SERIES

β–ͺ️A05 (4+64) - 250K
β–ͺ️A06 (4+64) - 300K
β–ͺ️A06 (4+128) - 330K
β–ͺ️A05s (4+128) - 350K
β–ͺ️A16 (4+128) -420K
β–ͺ️A16 (6+128) - 450K
β–ͺ️A16 (8+256) - 580K
β–ͺ️A26 5G (6+128) - 680K
β–ͺ️A26 5G (8+256) - 780K
β–ͺ️A36 5G (6+128) - 900K
β–ͺ️A36 5G (8+256) - 1M
β–ͺ️A56 5G (8+128) - 1M
β–ͺ️A56 5G (8+256) - 1.15M

πŸ“Dar: KKKT Kariakoo
πŸ“Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Harman kardon Studio 9 sasa zinapatikana kitaaniπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Official sasa huu utakuwa Muonekano wa simu ya Nothing phone Β³
Unaipa ngapi 1-10
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

✈️ Kwanini Ndege Haina Parachute? Watu wengi hudhani parachute ni suluhisho bora – lakini ukweli utakuacha mdomo wazi! 😱 πŸ‘‰ Kasi ya ndege? Hatari! πŸ‘‰ Urefu? Baridi kali & hakuna hewa! πŸ‘‰ Ungeweza kuruka kweli? πŸŽ₯ Tazama hii video ujue kwanini life jacket ndiyo inawekwa badala ya parachute.
πŸ“Έ Kamera:

64MP main camera

16MP front camera

Hii si simu ya photography professional, lakini inafanya kazi vizuri kwa picha za field na documentation.
7/
βš™οΈ Utendaji wa Ndani:

MediaTek Helio G100 processor

6GB RAM

128GB storage (expandable via microSD)

Android 15 tayari ikiwa imewekwa

Kwa kazi za field, navigation apps, na communication apps... performance inatosha.
9/
πŸ“ Ukubwa na Uzito:

Uzito: 538g

Unene: 24.6mm

Hii ni simu nzito zaidi ya wastani, lakini uzito huo unaendana na uimara na ukubwa wa betri.
γ€½οΈŽ Teknolojia

/
πŸ”ˆ Sauti:
KingKong Power 5 ina spika kubwa yenye nguvu inayofikia hadi 136dB

Inafaa kwa matumizi ya site, mawasiliano ya emergency, au taarifa za sauti mahali penye kelele nyingi.
11/
KingKong Power 5 inafaa kwa:
βœ… Watu wanaofanya kazi kwenye mazingira magumu (construction sites, migodini, viwandani)
βœ… Wapenzi wa safari ndefu na camping
βœ… Madereva wa safari ndefu
βœ… Mtu yeyote anayehitaji battery ya kudumu na uimara wa kweli
6/
πŸ“± Display:

6.88 inch HD+ IPS LCD

120Hz refresh rate

1000 nits brightness (inasomeka vizuri hata kwenye jua kali)

Gorilla Glass protection dhidi ya mikwaruzo
10/
πŸ’° Bei:
Kwa sasa, bei ya kimataifa inarange kati ya $200 hadi $250
(Tsh 500,000 - 650,000 kabla ya kodi na usafirishaji)

Bei inaweza kutofautiana kulingana na muuzaji na eneo ulipo.
Cubot KingKong Power 5 ni chaguo sahihi kwa wale wanaotanguliza uimara, betri kubwa, na matumizi ya field kuliko uzito wa simu au aesthetics.