Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.58K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
@Huduma

๐Ÿ’จMuonekano wa kibabe sana๐Ÿ’ฅ

Poco F7
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Angalia hapa ili ukiambiwa tumemuona Mo Dewji ananchoma mishkaki nyumbani kwake uelewe . Wataalamu wetu wa Vweta chukueni hapa nawapa siku tatu nisipoyaona haya nawashukia huko chini. Video kwa hisani ya @Goodluck . ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ SAMSUNG A55 5G

โ–ช๏ธ50MP Camera
โ–ช๏ธExynos 1480
โ–ช๏ธ8GB RAM, 256GB ROM
โ–ช๏ธ5000mAh | 25W

โ–ช๏ธTSH. 1,000,000

๐Ÿ“Dar: KKKT Kariakoo
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Speaker zote kali na za kijanja zimeshawasili kitaani ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ..
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

I had a wonderful journey to travel back to my country after grindinโ€™ hard in Dubai,,finally itโ€™s time for a new chapter of BLAX STORE.Ni MUNGU TUโœ…๐Ÿ™๐Ÿ™
3๏ธโƒฃ Click "Manage Now" au "Add Business"

โ†’ Ingiza jina la biashara yako kama unavyotaka liwe linaonekana kwa wateja.
8๏ธโƒฃ Baada ya ku-verify... Boom! Biashara yako itaonekana Google Maps ๐Ÿ”ฅ

Wateja wanaweza kuona:
โœ… Jina la biashara
โœ… Mahali ulipo
โœ… Reviews
โœ… Contact details
โœ… Business hours
6๏ธโƒฃ Weka Contact Info
โ†’ Namba ya simu ๐Ÿ“ž
โ†’ Website (Kama unayo ๐ŸŒ)
โ†’ Opening hours ๐Ÿ•’ (Unaweza kuruka kama hutaki)
โ€Œ

1๏ธโƒฃ Fungua Google Maps au Google Search
โ†’ Tafuta "Add your business on Google" au nenda moja kwa moja kwenye link hii:
๐Ÿ‘‰ google.com/business/
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จJINSI YA KUONGEZA BIASHARA YAKO KWENYE GOOGLE MAP (GOOGLE MY BUSINESS).

Heading:
๐Ÿ” "Unataka wateja wakupate kirahisi? Hivi ndivyo unavyoongeza biashara yako kwenye Google Maps!"

Shuka๐Ÿงต๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
Tip ya Bonus:
โœ… Omba wateja wako wakuandikie reviews ili uonekane zaidi.
4๏ธโƒฃ Chagua Category
โ†’ Mfano:

๐Ÿ“ฑ Mobile Shop

๐Ÿ” Restaurant

๐Ÿจ Hotel

๐Ÿ› ๏ธ Electronics Repair

Hii inasaidia Google kuwapa watu sahihi biashara yako wanapofanya search.
5๏ธโƒฃ Weka Location

โ†’ Chora eneo kwenye ramani au weka physical address yako.

โ†’ Kama huna duka la kudumu, unaweza kusema โ€œI deliver goods or services to customersโ€ (Optional).
7๏ธโƒฃ Verification Step (Mara nyingi Postcard ๐Ÿ“ฎ)

โ†’ Google atakutumia barua yenye verification code kwenye anwani yako (huja ndani ya wiki 2-3).

โ†’ Weka hiyo code ili biashara yako iwe live.