Teknolojia
132 subscribers
3.75K photos
4.43K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

💨 Mtu anaibiwa simu gafla pesa zinatolewa kwenye account yake kumbe ni mifumo iko dhaifu

Mfano Eyatel mtu akienda Badili namba za siri anaweka namba za siri mpya zinabadilika bila kuulizwa chochote.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Hey!.. hivi mnafahamu kwamba ukiwa na Infinix NOTE 50 Pro+ utaweza kupima Blood Pressure na Heart Rate kwa usahihi bila hata kutembelea hospitali iliyo karibu nawe!?.. kupitia My health App inayopatikana katika toleo jipya la Infinix NOTE 50 Pro+ sasa watumiaji wake wanaweza kuangalia afya zao kila siku. .
🆕 Apple imetoa mfumo mpya wa iOS 26 Beta 2
Ikiwa wewe ni mpenzi wa Trump au unataka simu ya kipekee kwa sababu za identity, unaweza kuinunua
4. 💸 Bei & Gharama za Huduma

🛒 Bei ya simu: $499 (≈ TZS 1.3M)
📞 Gharama ya line ya Trump Mobile: $47.45/mwezi (≈ TZS 78,000)
Inajumuisha:

Unlimited calls & data

Roadside assistance

Priority customer care
T1 Phone ya Trump inafanana uwezo na mid-range Android phone ya bei ya kawaida, mfano Samsung Galaxy A14 5G au Redmi Note 12 5G.

Kwa nini?

Ina specs za kawaida (8GB RAM, 128GB storage)

Haina kamera za kipekee

Haina processor ya hali ya juu (kama Snapdragon 8 Gen 2)
Kwa matumizi ya kawaida, hii ni ghali ukilinganisha na huduma za kawaida (halafu hakuna 5G ya uhakika).
︎ Teknolojia

. 🟡 Muonekano wa Gold

Simu ina rangi ya gold 🟨, imechorwa bendera ya Marekani, na ina maandishi ya “T1” nyuma kama identity ya nguvu.

🎨 Inaonekana kama limited edition phone ya kisiasa — kama vile Apple ingekuwa ya Republican.
6. 🤔 Je, Ina Maajabu Yoyote?
Ina design ya kipekee
Ina branding ya kipekee
Haina teknolojia mpya
Sio simu ya "ki-mapinduzi" kama wanavyoitangaza
Hakuna AI, satellite comms, au specs bora kuzidi flagships
Haina OS ya kipekee, inatumia mod ya Android

Ni simu ya kawaida yenye jina kubwa la kisiasa, lakini haina “maajabu ya kiteknolojia.”
︎ Teknolojia

. 🏗️ Imetengenezwa Marekani?

Trump anadai kuwa hii ni simu ya “Made in America”.
Lakini ukweli?

🔍 Vifaa vingi vya simu (kama processor, screen, battery) hutengenezwa China au Korea.
Inaonekana ni rebranded phone, siyo totally American.
︎ Teknolojia

. 🎯 Imetengenezwa kwa Ajili ya Nani?
Simu hii inalenga:
🔴 Wafuasi wa Trump (MAGA)
🇺🇸 Wapenda bidhaa za kisiasa
📲 Watu wanaotaka "simu tofauti" kwa ajili ya identity – si performance.

Hii ni kama simu ya kiitikadi kuliko kifaa cha teknolojia cha nguvu.
︎ Teknolojia

. 🔧 Specs Zake

Zinachosha:

📱 Screen: 6.8″ AMOLED, 120Hz

🎥 Kamera: 50MP

💾 RAM: 12GB | Storage: 256GB

🔋 Battery: 5000mAh

🔒 Fingerprint sensor

📡 Android 15 (custom UI?)

Lakini zote hizi hazina jipya, ni specs za kawaida za simu nyingi mid-range.
︎ Teknolojia

💨 NOTHING PHONE (Non Active)

▪️CMF Phone1 (8+256) - 850K
▪️Phone2a (8+256) - 1.2m
▪️Phone2a Plus (12+256) - 1.35m
▪️Phone 2 (12+256) - 1.58m
▪️Phone 2 (12+512) - 1.75m
▪️Phone 3a (12+256) - 1.25M
▪️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 INFINIX BRAND NEW

▪️Infinix Smart 8 (4+64) - 230K
▪️Infinix Smart 9 (6+64) - 250K
▪️Infinix Hot 50i (8+128) - 310K
▪️Infinix Hot 50 Pro+ (16+128) - 520K
▪️Infinix Note 50 (16+256) - 650K
▪️Infinix Note 50 Pro+ (12+512) - 1.2M

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨Hii simu mpaka kuzinduliwa kutakuwa na design nyingi sana

Huu muonekano mwingine wa Nothing phone 3 ambayo bado haijazinduliwa
@Huduma

💨 JBL SPEAKER (Original💯)

▪️JBL Go 3 - 145K
▪️JBL Go 4 - 190K
▪️JBL Flip6 - 300K
▪️JBL Flip7 - 380K
▪️JBL Charger5 - 450K
▪️JBL Charger6 - 550K
▪️JBL XTRME3 - 700K
▪️JBL XTRME4 - 840K
▪️JBL Boombox X3 Wi-Fi - 1.3M

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
@Huduma

💨CHAPATI ZA DUBAI

SONY XPERIA 10IV
▪️ Camera: 12MP (main) + 8MP (ultra-wide) + 8MP (telephoto), Selfie 8MP
▪️ Battery: 5000mAh, fast charging 30W
▪️ Display: 6.0" OLED, Full HD+, 60Hz
▪️ Processor: Snapdragon 695 5G
▪️ Storage: 6GB RAM, 128GB ROM + microSD
▪️ OS: Android 12 (upgradable)
▪️ Extras: IP65/IP68, Gorilla Glass Victus, stereo speakers, headphone jack

💥 Price: 270,000

📍Dar: KKKT Kariakoo
📞 0745100757
wa.me/+255745100757