Teknolojia
134 subscribers
3.86K photos
5.04K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Nothing phone 3
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Tecno wamewacopy Nothing.
βœ… Bottom Line:
Simu yenye 5000mAh sio lazima idumu zaidi ya 4000mAh – usiamini namba pekee.
Kagua:
βœ”οΈ Optimization
βœ”οΈ Chipset
βœ”οΈ Screen
βœ”οΈ Network
βœ”οΈ Apps za background
βœ”οΈ Battery Health
➑️ Tumia apps kama AccuBattery au kwenye Samsung/Pixel nenda Settings > Battery Health.
5️⃣ Signal Strength & Network Usage
Kama uko eneo lenye signal mbaya, simu yako inalazimika kutumia nguvu nyingi kupata 4G/5G.
πŸ“‘ Kitu hiki kinatumia battery kama vile unafanya video call.
⚠️ Watu wengi huangalia tu namba za 5000mAh bila kutathmini matumizi yao halisi.
🧠 Bonus: Unavyoweza Kuongeza Battery Life
Tumia Dark Mode

Zima Location & Bluetooth ukizihitaji

Punguza Refresh Rate

Tumia Wi-Fi badala ya Mobile Data

Usitumie wallpapers zenye movement

Fungia apps zisizo na maana
➑️ Njia rahisi ya kutuliza drain ni kutumia Airplane Mode unapokuwa kwenye maeneo ya low signal.
6️⃣ Charging Cycles & Battery Health
Simu mpya ina battery health 100%, lakini baada ya miezi 12-24, inaweza kushuka hadi 80%.

πŸ“‰ Ukiona simu yako inamaliza chaji haraka, huenda battery yako imezeeka (cycle nyingi) au kuna overheating imeshaharibu cell.
β›” Hizi huishi nyuma ya pazia – bila wewe kuzitumia – na hula battery polepole.
πŸ“² Nenda Settings > Battery > App usage > Angalia apps zinazotumia battery hata ukiwa hujazifungua.
7️⃣ User Behavior – Style ya Matumizi
Hii ni ngumu kupima lakini ya kweli:

πŸ“ Mtu anayepiga simu 3 tu kwa siku anahitaji battery kidogo

πŸ“ Mwingine yuko Instagram, TikTok, YouTube, WhatsApp video call saa nzima – atahitaji mAh kubwa zaidi.
@Huduma

πŸ’¨ OFFER SAMSUNG A SERIES

β–ͺ️A05 (4+64) - 250K
β–ͺ️A06 (4+64) - 300K
β–ͺ️A06 (4+128) - 330K
β–ͺ️A05s (4+128) - 350K
β–ͺ️A16 (4+128) -420K
β–ͺ️A16 (6+128) - 450K
β–ͺ️A16 (8+256) - 580K
β–ͺ️A26 5G (6+128) - 680K
β–ͺ️A26 5G (8+256) - 780K
β–ͺ️A36 5G (6+128) - 900K
β–ͺ️A36 5G (8+256) - 1M
β–ͺ️A56 5G (8+128) - 1M
β–ͺ️A56 5G (8+256) - 1.15M

πŸ“Dar: KKKT Kariakoo
πŸ“Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Edit Picha Kwa Kutumia ChatGPT – Hatuhitaji Tena Photoshop!
Katika video hii, nakuonyesha jinsi nilivyotumia ChatGPT na AI kuhariri picha bila kutumia Photoshop au programu ngumu. Unahitaji tu prompt moja nzuri!

🧠 Unataka kujifunza kutumia AI kama mtaalamu? Jiunge na group letu la WhatsApp ambapo tunashare:

Prompts za AI za picha

Mafunzo ya bure ya AI

Njia za kutengeneza kipato mtandaoni kwa kutumia AI

πŸ”— Jiunge hapa πŸ‘‰
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ JBL SPEAKER (OriginalπŸ’―)

β–ͺ️JBL Go 3 - 145K
β–ͺ️JBL Go 4 - 190K
β–ͺ️JBL Flip6 - 300K
β–ͺ️JBL Flip7 - 380K
β–ͺ️JBL Charger5 - 450K
β–ͺ️JBL Charger6 - 550K
β–ͺ️JBL XTRME3 - 700K
β–ͺ️JBL XTRME4 - 840K
β–ͺ️JBL Boombox X3 Wi-Fi - 1.3M

πŸ“Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757