Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.4K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
7. Jinsi ya kuchagua simu yenye kamera bora (kwa kweli):

Angalia sensor size (Sony IMX, Samsung GN2...)

Chipset ya simu (Snapdragon 8 Gen 2, n.k.)

Mfano wa matokeo ya kamera (YouTube/Reviews)
🧠 3. Processing chip ina mchango mkubwa
Kamera haina akili — chip ya simu ndiyo inafanya kazi ya kusafisha picha.
⚠️ 6. Uchafu wa lenzi, mtikisiko, na autofocus duni = picha mbaya
• Hakikisha lenzi yako safi
• Acha simu ikafocus vizuri kabla ya kupiga
• Tumia mode sahihi (portrait, pro, n.k.)
Kuwa na 200MP siyo vibaya, lakini si kila 200MP ni picha bora. Ubora wa picha unategemea mambo mengi — sio namba pekee
🔎 Hivyo picha bora ni software + sensor + chip — si megapixel pekee.
📱 iPhone 12 12MP inaweza kuwapiga bao baadhi ya 108MP phones kwa sababu ya processor nzuri (A14 Bionic, n.k.)
🧪 Mfano: 16 pixels zinachanganywa kuwa moja → picha za 12MP zenye ubora zaidi kuliko 200MP raw.
︎ Teknolojia

💨 JBL SPEAKER (Original💯)

▪️JBL Go 3 - 145K
▪️JBL Go 4 - 190K
▪️JBL Flip6 - 300K
▪️JBL Flip7 - 380K
▪️JBL Charger5 - 450K
▪️JBL Charger6 - 550K
▪️JBL XTRME3 - 700K
▪️JBL XTRME4 - 840K
▪️JBL Boombox X3 Wi-Fi - 1.3M

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
@Huduma

💨 OFFER SAMSUNG A SERIES

▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -450K
▪️A16 (8+256) - 580K
▪️A26 5G (6+128) - 680K
▪️A26 5G (8+256) - 780K
▪️A36 5G (6+128) - 900K
▪️A36 5G (8+256) - 1M
▪️A56 5G (8+128) - 1M
▪️A56 5G (8+256) - 1.15M

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Miyeyusho ya Mr Joel 😂😂🙌🙌... Shuhudia kilichomkuta Mr Joel kitaani , hii ndo tunaita mgonjwa hataki soda anataka mia 6 yake..
︎ Teknolojia

💨 SAMSUNG A55 5G

▪️50MP Camera
▪️Exynos 1480
▪️8GB RAM, 256GB ROM
▪️5000mAh | 25W

▪️TSH. 1,000,000

📍Dar: KKKT Kariakoo
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 Nani anayeweza kunielewesha vizuri kwanini picha zinakatazwa kupigwa kwenye madaraja na Vivukoni?
︎ Teknolojia

💨 WhatsApp 2025 ipo uchi sana ndio tuiamini End-to-end encryption?

Nimepost Redmi 14C na picha yake lakini anayeangalia Status yangu anaonyeshwa kitu tofauti kabisa.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Mixx By Yas INAKOPESHA bila maswali, kuchukua taarifa wala dhamana
Je, unajua kuwa sasa unaweza kupata mkopo wa dharura kupitia Tigo Pesa hata kama huna salio? Kupitia huduma ya Nivushe Plus, inayopatikana ndani ya mfumo mpya wa MIX by YAS , unaweza kufanya malipo haraka na kulipa baadaye bila usumbufu!
mkopo kwa njia ya simu ya mkononi

Katika video hii, utaona:
Jinsi ya kutumia Nivushe Plus hatua kwa hatua
Vigezo vya kupata mkopo
Faida na tahadhari za huduma hii mpya

Hii ni suluhisho bo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Apple, Google, Facebook Login Among Massive 16 Billion Data Leak | World News | WION
It might be time to change your social media passwords. A record-breaking data leak has exposed over 16 billion login credentials from major online platforms, including Apple, Google, Facebook, GitHub, and Telegram.



About Channel:

WION The World is One News examines global issues with in-depth analysis. We provide much more than the news of the day. Our aim is to empower people to explore their world. Wi
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Xiaomi 12X 256Gb ram 12Gb review coming,.... Zipo dukani kwetu bei::650,000
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Umeshawahi jiuliza... video ni nini hasa? 🎥 Ni picha zenye kasi au kitu kingine zaidi? Jifunze siri ya jinsi video inavyofanya kazi! 😳📽️