Teknolojia
133 subscribers
3.79K photos
4.46K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
⚠️ Kwa Nini Hii Tofauti Ni Muhimu?
Ukiangusha simu yenye GG3: high chance itavunjika.

GG5: inaweza kuhimili kidogo, lakini still ina risk.

Victus: chance ya survival ni kubwa sana.

Kwa hiyo, ukiambiwa "Simu ina Gorilla Glass Victus" – hiyo ni point kubwa ya kuuza.
2. Gorilla Glass 5 (2016)

Kipaumbele: Drop protection (inaweza kuhimili kudondoka kutoka ~1.6m).

Bado ina scratch resistance ya kawaida.
@Huduma

💨 INFINIX BRAND NEW

▪️Infinix Smart 8 (4+64) - 230K
▪️Infinix Smart 9 (6+64) - 250K
▪️Infinix Hot 50i (8+128) - 310K
▪️Infinix Hot 50 Pro+ (16+128) - 520K
▪️Infinix Note 50 (16+256) - 650K
▪️Infinix Note 50 Pro+ (12+512) - 1.2M

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 Mimi awe anafanania hivi 100% naisha
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Infinix wanahatari mnoo aisee, kupitia toleo lao jipya la NOTE 50 Pro+ 5.5G wamekuja na Features nyingi kali za AI na zote zinarahisisha matumizi ya kila siku ya mtumiaji wa simu hii.
🌙 5. Night Mode, HDR, AI – hizi zinabadili mchezo
• HDR huongeza contrast
• AI hubalance mwanga na rangi
• Night Mode huruhusu picha ang’avu bila flash
📷 4. Pixel Binning: 200MP inakuwa 12MP kwa makusudi!

Simu nyingi hutumia teknolojia ya Pixel Binning – kuchanganya pixels ili kupata mwanga bora.
7. Jinsi ya kuchagua simu yenye kamera bora (kwa kweli):

Angalia sensor size (Sony IMX, Samsung GN2...)

Chipset ya simu (Snapdragon 8 Gen 2, n.k.)

Mfano wa matokeo ya kamera (YouTube/Reviews)
🧠 3. Processing chip ina mchango mkubwa
Kamera haina akili — chip ya simu ndiyo inafanya kazi ya kusafisha picha.
⚠️ 6. Uchafu wa lenzi, mtikisiko, na autofocus duni = picha mbaya
• Hakikisha lenzi yako safi
• Acha simu ikafocus vizuri kabla ya kupiga
• Tumia mode sahihi (portrait, pro, n.k.)
Kuwa na 200MP siyo vibaya, lakini si kila 200MP ni picha bora. Ubora wa picha unategemea mambo mengi — sio namba pekee
🔎 Hivyo picha bora ni software + sensor + chip — si megapixel pekee.
📱 iPhone 12 12MP inaweza kuwapiga bao baadhi ya 108MP phones kwa sababu ya processor nzuri (A14 Bionic, n.k.)
🧪 Mfano: 16 pixels zinachanganywa kuwa moja → picha za 12MP zenye ubora zaidi kuliko 200MP raw.
︎ Teknolojia

💨 JBL SPEAKER (Original💯)

▪️JBL Go 3 - 145K
▪️JBL Go 4 - 190K
▪️JBL Flip6 - 300K
▪️JBL Flip7 - 380K
▪️JBL Charger5 - 450K
▪️JBL Charger6 - 550K
▪️JBL XTRME3 - 700K
▪️JBL XTRME4 - 840K
▪️JBL Boombox X3 Wi-Fi - 1.3M

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757