Teknolojia
134 subscribers
3.86K photos
5.04K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
γ€½οΈŽ Teknolojia

Pixel 7a Pixel 7 Pixel 7 Pro
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Nchi yetu ni ya special sana

β–ͺ️System ni ya Mtanzania
β–ͺ️Ashakutana hadi na Waziri akapongezwa
β–ͺ️Huko nchi za wengine inapewa sifa kemkem
β–ͺ️Office zipo Kenya
β–ͺ️Tanzania haifanyi kazi
Inatumika kwenye baadhi ya midrange na budget phones.

Imeshakuwa outdated kwa viwango vya leo.

Ikianguka vibaya – kuna uwezekano mkubwa kuvunjika.
1. Gorilla Glass 3 (2013)

βœ… Kipaumbele: Kupinga mikwaruzo (scratch resistance).

⚠️ Udhaifu: Haitoi ulinzi mzuri sana dhidi ya kupasuka ikidondoka.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨HII NDIO TOFAUTI YA KIOO CHA GORILLA 3 VS 5 VS VICTUS KWENYE SIMU.

Simu yako inaweza kuonekana nzuri juu juu... lakini je, kioo chake kinaweza kustahimili kudondoka au kukwaruzwa?

Twende kazi πŸ§΅πŸ§΅πŸ‘‡
🧠 Kuna pia Victus+ na Victus 2 kwa simu za 2023/2024 – zimeboreshwa zaidi.
Inapatikana kwenye flagship phones (Samsung Galaxy S22, S23, Pixel 8, etc).

Hii sio kioo tu, ni ngao πŸ’ͺ

Kwa mtu anayejali uimara wa simu, Victus ni top-tier.
Usiangalie tu β€œina Gorilla Glass”, angalia ni toleo gani (3, 5, Victus, n.k.).
Flagship specs zina maana hata kwenye screen protection.
Iliundwa ili kusaidia simu zinazodondoka kutoka kwenye mfuko wa suruali hadi ardhini.

Inatumika sana kwenye midrange za kisasa kama baadhi ya Redmi, Realme, Samsung A series.

🧠 Ni balance nzuri ya cost vs protection.
3. Gorilla Glass Victus (2020)
πŸ”₯ Hii ni level ya juu!

βœ… Drop resistance hadi 2 meters.

βœ… Scratch resistance imeboreshwa kwa 4x zaidi ya Gorilla Glass 5.
⚠️ Kwa Nini Hii Tofauti Ni Muhimu?
Ukiangusha simu yenye GG3: high chance itavunjika.

GG5: inaweza kuhimili kidogo, lakini still ina risk.

Victus: chance ya survival ni kubwa sana.

Kwa hiyo, ukiambiwa "Simu ina Gorilla Glass Victus" – hiyo ni point kubwa ya kuuza.
2. Gorilla Glass 5 (2016)

βœ… Kipaumbele: Drop protection (inaweza kuhimili kudondoka kutoka ~1.6m).

βœ… Bado ina scratch resistance ya kawaida.
@Huduma

πŸ’¨ INFINIX BRAND NEW

β–ͺ️Infinix Smart 8 (4+64) - 230K
β–ͺ️Infinix Smart 9 (6+64) - 250K
β–ͺ️Infinix Hot 50i (8+128) - 310K
β–ͺ️Infinix Hot 50 Pro+ (16+128) - 520K
β–ͺ️Infinix Note 50 (16+256) - 650K
β–ͺ️Infinix Note 50 Pro+ (12+512) - 1.2M

πŸ“Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757