Teknolojia
133 subscribers
3.79K photos
4.45K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Mfumo wa simu wa meseji na ripoti ya maendeleo ya mwanafunzi (msingi na sekondari)
Hii ni video inayokuonyesha applikesheni ya kutengeneza ripoti za matokeo ya wanafunzi na kutuma ripoti ya mwanafunzi kwa njia ya sms kwenda kwa mzazi. kwa maelezo zaidi whatsapp (0756 077262)
︎ Teknolojia

Pixel 7a Pixel 7 Pixel 7 Pro
︎ Teknolojia

💨 Nchi yetu ni ya special sana

▪️System ni ya Mtanzania
▪️Ashakutana hadi na Waziri akapongezwa
▪️Huko nchi za wengine inapewa sifa kemkem
▪️Office zipo Kenya
▪️Tanzania haifanyi kazi
Inatumika kwenye baadhi ya midrange na budget phones.

Imeshakuwa outdated kwa viwango vya leo.

Ikianguka vibaya – kuna uwezekano mkubwa kuvunjika.
1. Gorilla Glass 3 (2013)

Kipaumbele: Kupinga mikwaruzo (scratch resistance).

⚠️ Udhaifu: Haitoi ulinzi mzuri sana dhidi ya kupasuka ikidondoka.
︎ Teknolojia

💨HII NDIO TOFAUTI YA KIOO CHA GORILLA 3 VS 5 VS VICTUS KWENYE SIMU.

Simu yako inaweza kuonekana nzuri juu juu... lakini je, kioo chake kinaweza kustahimili kudondoka au kukwaruzwa?

Twende kazi 🧵🧵👇
🧠 Kuna pia Victus+ na Victus 2 kwa simu za 2023/2024 – zimeboreshwa zaidi.
Inapatikana kwenye flagship phones (Samsung Galaxy S22, S23, Pixel 8, etc).

Hii sio kioo tu, ni ngao 💪

Kwa mtu anayejali uimara wa simu, Victus ni top-tier.
Usiangalie tu “ina Gorilla Glass”, angalia ni toleo gani (3, 5, Victus, n.k.).
Flagship specs zina maana hata kwenye screen protection.
Iliundwa ili kusaidia simu zinazodondoka kutoka kwenye mfuko wa suruali hadi ardhini.

Inatumika sana kwenye midrange za kisasa kama baadhi ya Redmi, Realme, Samsung A series.

🧠 Ni balance nzuri ya cost vs protection.
3. Gorilla Glass Victus (2020)
🔥 Hii ni level ya juu!

Drop resistance hadi 2 meters.

Scratch resistance imeboreshwa kwa 4x zaidi ya Gorilla Glass 5.
⚠️ Kwa Nini Hii Tofauti Ni Muhimu?
Ukiangusha simu yenye GG3: high chance itavunjika.

GG5: inaweza kuhimili kidogo, lakini still ina risk.

Victus: chance ya survival ni kubwa sana.

Kwa hiyo, ukiambiwa "Simu ina Gorilla Glass Victus" – hiyo ni point kubwa ya kuuza.
2. Gorilla Glass 5 (2016)

Kipaumbele: Drop protection (inaweza kuhimili kudondoka kutoka ~1.6m).

Bado ina scratch resistance ya kawaida.