Teknolojia
133 subscribers
3.79K photos
4.47K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
πŸ†• Apple imetoa mifumo mipya ya iOS 26, iPadOS 26, na macOS Tahoe kwa developers wote

Imeweka mabadiliko makubwa zaidi ya 100, yakiwemo muundo mpya wa
- Liquid Glass,
- Menu bar mpya,
- Uboreshaji wa apps,
- Mwonekano mpya wa Spotlight kwenye Mac. 🍎
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ USED DUBAI (Original Display)πŸ‘‡

β–ͺ️Pixel 7 (8+128) - 550K
β–ͺ️Pixel 7a (8+128) - 550K
β–ͺ️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.15M

PIXEL MPYA (Non Active)πŸ’₯
β–ͺ️Pixel 9a (8+128) - 1.45M
β–ͺ️Pixel 9a (8+256) - 1.7M
β–ͺ️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
β–ͺ️Pixel 9 (12+256) - 2.1M
β–ͺ️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
β–ͺ️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
β–ͺ️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
β–ͺ️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

πŸ“Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
πŸ”‹ 5. Betri & Joto – Inatunza afya ya simu

Inacontroll betri vizuri kuliko Gen 2 – hata ukiitumia kwa gaming, joto halipandi sana.

Inaruhusu charging speeds hadi 120W kwa simu zinazounga mkono.
πŸš€ 3. Performance – Kasi ya ajabu

CPU: Octa-core yenye mpangilio wa nguvu mpya:

1 core ya Prime (ultra fast) – kwa kazi nzito

5 cores za Performance

2 cores za Efficiency (kuokoa chaji)
🌐 6. Connectivity ya nguvu

5G Modem: Snapdragon X75

Kasi ya internet hadi 10Gbps (ikiwa mtandao unaruhusu)

WiFi 7, Bluetooth 5.4 – teknolojia mpya kabisa
> ⚑ Hii ni chip yenye nguvu zaidi ya Snapdragon hadi sasa – ilizinduliwa mwishoni mwa 2023.
GPU – Adreno 750

Inacheza games za 3D kwa smooth kama kwenye PlayStation

Inasaidia ray tracing – teknolojia ya realistic lighting kwenye games
AI yake ni ya nguvu sana – inatumika hata kwa real-time translation, voice typing, smart reply, nk.
βš™οΈ 2. β€œGen 3” maana yake nini?

"Gen 3" ni kifupi cha Generation 3 – toleo la tatu la Snapdragon 8 series, ambayo ni kwa ajili ya flagship phones (simu za daraja la juu kama Galaxy S24, Xiaomi 14, OnePlus 12).
πŸ“Έ 4. Kamera & AI – Picha kali kuliko kawaida

Ina Cognitive ISP – AI inatambua vitu kama nyuso, anga, mwanga, nk. kabla hata picha haijapigwa.

Inasaidia 8K video recording, HDR, na night mode za ajabu.
@Huduma

πŸ’¨ Oppo Find X8 Ultra πŸ“Έ
🧠 1. Snapdragon ni nini?

Snapdragon ni jina la familia ya chipsets kutoka kampuni ya Qualcomm.

Chip hizi ndizo zinazowasha kila kitu kwenye simu – zinafanya kazi kama ubongo (CPU), akili ya picha (GPU), akili bandia (AI), na ku control network kama 5G, WiFi, GPS, nk.
TubePesa, Dollartub - kulipwa kwa kungalia Video? UKWELI NI HUU
Vinei TV
γ€½οΈŽ Teknolojia

TubePesa, Dollartub - kulipwa kwa kungalia Video? UKWELI NI HUU

πŸ’Ύ Size: 0.93 MB
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

MAMBO MAPYA KWENYE IOS 26 FULL REVIEW KWENYE YOUTUBE YA SIMUKITAA
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Amaizing Whatsap features ambazo watu wengi hawazijui
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Cooking podcast sessions in Dubai is very expensive lazima uwe na moyoπŸ˜‚πŸ˜‚
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Umewahi kujiuliza ni kwa nini simu yako haifunguki kwa kidole cha mtu mwingine? 🧐 Teknolojia ya fingerprint sensor hutambua mistari ya kipekee kwenye kidole chako – na inakumbuka hadi kwa usahihi wa ajabu! Fahamu jinsi capacitive, optical, na ultrasonic sensors zinavyofanya kazi kuilinda simu yako kila siku. πŸ”’πŸ“²