Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.42K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🔸 Brightness ya juu sana – ideal kwa vyumba vyenye mwanga
🔸 Rangi ni saturated na consistent
🔸 Hudumu muda mrefu
4. OLED (Organic LED) – 👑 King wa contrast

🎥 Teknolojia ya kisasa ambapo kila pixel inajiwasha yenyewe – haina backlight.
Best balance ya ubora na affordability
Haitoi blacks kama OLED 100%, lakini iko karibu sana
🔸 Inakaribia ubora wa OLED kwa contrast
🔸 Brightness ya hali ya juu
🔸 Imepunguza shida ya burn-in
Bora kwa sports, TV mchana, gaming
Blacks si perfect – kuna leakage ya light
Ideal kwa movie lovers, home cinema
Bei ni juu, kuna risk ndogo ya burn-in
👉 Kabla hujanunua, jiulize:

Unatumia TV saa ngapi kwa siku?

Ni matumizi ya familia au ya content creation?

Bajeti yako ni kiasi gani?
💡 Ni ipi ununue?

📍 Ukiangalia movie kwenye giza: OLED
📍 Kwa familia & michezo mchana: QLED / Mini-LED
📍 Budget ndogo: LED au LCD
🔹 Blacks ni perfect – hakuna light leakage kabisa
🔹 Rangi ni natural, contrast ni ya kipekee
🔹 Viewing angle ni kubwa – hata ukiangalia pembeni picha haipotei
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨Hii apa ni comparison ya zoom ya vivo X200 ultra vs Huawei pura 80 ultra.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Temporally post on JBL speakers ,,Hizi tunaleta dukani models zote stay tuned cc @blax_store175_ @blax_phonestore
2️⃣ Output Power (Wattage – 18W, 22.5W, 65W, etc)
• Output ya chini = kuchaji polepole
• Chagua powerbank yenye Fast Charging Support (angalau 18W au zaidi)
5️⃣ Brand & Certification
• Epuka powerbank feki – huonyesha 20,000mAh lakini ndani ni 5,000mAh.
• Chagua brands kama:
Anker, Baseus, Xiaomi, Oraimo, UGREEN, AUKEY, Remax.

🛡️ Angalia pia iwe na CE/FCC/RoHS certifications.
3️⃣ Input Port Types (USB-C, Micro USB, Lightning)
• USB-C ndiyo ya kisasa zaidi – na huwezesha fast input & output.
• Epuka powerbank zenye micro-USB tu, zimepitwa na wakati.
🔐 Bora kidogo lakini salama, kuliko bei rahisi yenye hatari.
💡 Kama unatumia simu yenye fast charging kama Infinix, Xiaomi, au Samsung — hii ni muhimu sana.
Hakikisha ina specs kama:
✓ Short Circuit Protection
✓ Overvoltage Protection
✓ Temperature Control