Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.42K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Mmeona Tecno spark Slim
Box lake unaweza fikiri ni box la protector
Windows 7 imeanza ku-trend kwa sababu ya mwonekano mpya wa Liquid Glass kwenye mifumo ya Apple
πŸ†• Mwonekano mpya wa Apple Music
(kwenye Dark + Light Mode)
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Toka niweke line nimetumia zaidi ya 1000GB 😁
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ INFINIX BRAND NEW

β–ͺ️Infinix Smart 8 (4+64) - 230K
β–ͺ️Infinix Smart 9 (6+64) - 250K
β–ͺ️Infinix Hot 50i (8+128) - 310K
β–ͺ️Infinix Hot 50 Pro+ (16+128) - 520K
β–ͺ️Infinix Note 50 Pro+ (12+512) - 1.2M

πŸ“Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
Call Screen ya simu za Android imebadilika katika mfumo mpya wa Android 16
Sehemu za bar ya kuongeza sauti, mwanga n.k imefanyiwa maboresho na sasa ina mwonekano mpya
Mwonekano wa mfumo mpya wa Materia 3 katika mfumo ya Android 16 https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1932888920766971910#m
πŸ†• Android 16 imetoka rasmi.

Sasa mfumo huu unapatikana katika simu za Pixel 6/6 Pro, 6a, 7/7 Pro, 7a, Fold, Tablet, 8/8 Pro, 8a, 9/9 Pro/Pro XL/Fold/9a. Soon kampuni za Samsung, Oppo, OnePlus - zitafuata.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Android 16 sasa ina mfumo salama na imara wa kudhibiti na kutunza data
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Android 16 ya Tablets imekuwa kama iPadOS26 kwa kuruhusu watu kufungua apps kama windows (kompyuta). Itakuwa rahisi kufanya kazi kwenye tablet kama kompyuta
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Mfumo huu sasa una sehemu ya Live Activities ambayo inaonyesha taarifa za apps kwa wakati
Teknolojia
Photo
Tanzania Tech
Zuia Meseji za Matangazo Android

Zuia Meseji au SMS za Matangazo kwenye simu yako ya Android Full video hapa https://youtu.be/aBzdjNGz_-o
Teknolojia
Photo
InFoTel - Telegram
How To Enable Telegram Message Reaction | Channel & Group

Telegram’s latest update adds reactions to directly share your feelings and feedback on messages. Double tap for a quick πŸ‘ or select the message for more reactions like πŸ˜πŸŽ‰πŸ˜±πŸ”₯πŸ‘Ž, all with unique animations.

Reactions are always on in 1-on-1 chats, while group and channel admins can decide whether to enable them, and which emoji are available.

Social Media Handles
=================================
Telegram Group: https://Telegram.me/InFoTel_Group
Telegram Channel: https://Telegram.me/Tginfotel
Facebook: https://www.facebook.com/Infotelbot
Website: www.infotelbot.com
=======================
Join to this channel to acces amazing perks:
https://www.youtube.com/channel/UCLY4kbZ2IQXbph4S54Z-JnA/join
=======================
Subscribe! It's free!!
=======================
#InFoTel #Telegram

Fast Talkin by Kevin MacLeod is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 license. https://creativecommons.org/licenses/by/4.0/

Source: http://incompetech.com/music/royalty-free/index.html?isrc=USUAN1100590

Artist: http://incompetech.com/
πŸ” Blue Tick si ya 'kuonekana tu'.
Inakusaidia ku:

Jenga brand ya kitaalamu

Kufanya kampeni bora za Click-to-WhatsApp

Kupata tools za automation

Kulinda jina la biashara yako mtandaoni
βœ… Faida 5 kuu za Verified Blue Tick:

Kuaminika haraka

Kulinda jina dhidi ya feki

Visibility bora kwenye Ads

Support ya Meta moja kwa moja

Features za WhatsApp Business Pro (automation, bot, analytics)
πŸ“ Hatua za Kuipata:

Hakiki biashara yako kwenye Meta Business Manager

Tumia WhatsApp Business API (kupitia huduma kama Twilio/360dialog)

Tuma maombi ya Official Business Account (OBA)

Subiri approval kutoka Meta