Teknolojia
132 subscribers
3.76K photos
4.44K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

💨REDMI 13x
(8+256)🔥
Price: 420,000/=

📍 Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 Hii Beta update ya iOS26 usiiweke kwenye iPhone yako kwasasa kama simu yako ndio unaitegemea zaidi iko na buds za kutosha subiria Official update.
︎ Teknolojia

💨 HIZI UNAPATA WARRANTY YA KIOO MWAKA 1

▪️Samsung A16 (4+128) -450K
▪️Samsung A26 5G (6+128) - 680K
▪️Samsung A26 5G (8+256) - 780K
▪️Samsung A36 5G (6+128) - 900K
▪️Samsung A36 5G (8+256) - 1M
▪️Samsung A56 5G (8+128) - 1M

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨Mmeona Tecno spark Slim
Box lake unaweza fikiri ni box la protector
Windows 7 imeanza ku-trend kwa sababu ya mwonekano mpya wa Liquid Glass kwenye mifumo ya Apple
🆕 Mwonekano mpya wa Apple Music
(kwenye Dark + Light Mode)
︎ Teknolojia

💨 Toka niweke line nimetumia zaidi ya 1000GB 😁
︎ Teknolojia

💨 INFINIX BRAND NEW

▪️Infinix Smart 8 (4+64) - 230K
▪️Infinix Smart 9 (6+64) - 250K
▪️Infinix Hot 50i (8+128) - 310K
▪️Infinix Hot 50 Pro+ (16+128) - 520K
▪️Infinix Note 50 Pro+ (12+512) - 1.2M

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
Call Screen ya simu za Android imebadilika katika mfumo mpya wa Android 16
Sehemu za bar ya kuongeza sauti, mwanga n.k imefanyiwa maboresho na sasa ina mwonekano mpya
Mwonekano wa mfumo mpya wa Materia 3 katika mfumo ya Android 16 https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1932888920766971910#m
🆕 Android 16 imetoka rasmi.

Sasa mfumo huu unapatikana katika simu za Pixel 6/6 Pro, 6a, 7/7 Pro, 7a, Fold, Tablet, 8/8 Pro, 8a, 9/9 Pro/Pro XL/Fold/9a. Soon kampuni za Samsung, Oppo, OnePlus - zitafuata.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Android 16 sasa ina mfumo salama na imara wa kudhibiti na kutunza data
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Android 16 ya Tablets imekuwa kama iPadOS26 kwa kuruhusu watu kufungua apps kama windows (kompyuta). Itakuwa rahisi kufanya kazi kwenye tablet kama kompyuta
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Mfumo huu sasa una sehemu ya Live Activities ambayo inaonyesha taarifa za apps kwa wakati
Teknolojia
Photo
Tanzania Tech
Zuia Meseji za Matangazo Android

Zuia Meseji au SMS za Matangazo kwenye simu yako ya Android Full video hapa https://youtu.be/aBzdjNGz_-o