Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.57K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Part 02: iOS 26 FEATURE MPYA KWENYE MESSAGE.

Kwa upande mpya wa message iOS wameongeza feature mpya ambayo unaweza kuweka background yoyote na jambo kubwa ni kwamba ukiweka background hiyo kwenye conversation na mwenzako pia itaji save kwenye simu yake wote mtakuwa mna share kwa pamoja
🚫💬 Mitandao ya simu, ambayo imezoea kutuma messages za matangazo na unnecessary messages ijipange.

🚨 Soon iOS itakuwa na sehemu maalum ya Spams. Special kwa messages ambazo hazina umuhimu na messages za promotions.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
📲🆕 Lock Screen mpya ya iPhone

Screen itakuwa animated kama cover ya wimbo ambao unacheza.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨Part 04: iOS 26 na Apple Intelligence

iOS 26 inaleta nguvu mpya ya Apple Intelligence – AI ya ndani ya simu yenye uwezo wa:
• Kutafsiri lugha live, bila intaneti
• Kuchanganua picha, sauti, au maandishi na kutoa taarifa kwa ufanisi
• Kuandika tena barua pepe au notes kwa lugha rahisi au rasmi
• Kufupisha mazungumzo marefu kwenye Messages
• Kujibu maswali kwa kutumia taarifa zako binafsi (kwa usalama wa hali ya juu)
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
💧⚪️ Style mpya ya motion katika mifumo ya Apple itakuwa inatumia style ya Liquid Glass

Design yake na idea yake ni nzuri sana.
︎ Teknolojia

💨Muonekano wa Nothing 3 iliyoko mbioni kuzinduliwa baada ya Nothing 3a series
︎ Teknolojia

💨 XIAOMI REDMI (Brand new) 💥

▪️Redmi A5 (3+64) - 250K
▪️Redmi A5 (4+128) - 280K
▪️Redmi 14C (4+128) - 300K
▪️Redmi 14C (8+256) - 350K
▪️Note 13 (6+128) - 450K
▪️Note 13 (8+256) - 530K
▪️Note 13 Pro 4G (8+256) - 680K
▪️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
▪️Note 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
▪️Redmi Note 14 (6+128) - 480K
▪️Redmi Note 14 (8+256) - 580K
▪️Redmi Note 14 5G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
▪️Redmi Note 14 Pro+ 5G (8+256)
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨 iPhone zitakazopokea iOS 26 (Updated)

1. iPhone 16 Pro Max 🆕

2. iPhone 16 Pro 🆕

3. iPhone 16 Plus 🆕

4. iPhone 16 🆕

5. iPhone 15 Pro Max

6. iPhone 15 Pro

7. iPhone 15 Plus

8. iPhone 15

9. iPhone 14 Pro Max

10. iPhone 14 Pro

11. iPhone 14 Plus

12. iPhone 14

13. iPhone 13 Pro Max

14. iPhone 13 Pro

15. iPhone 13

16. iPhone 13 mini

17. iPhone SE (3rd generation)

18. iPhone 12 Pro Max

19. iPhone 12 Pro

20. iPhone 12

21. iPhone 12 mini

22. iPhone 11 Pro Max

23. iPhone 11 Pro
︎ Teknolojia

💨 OFFER SAMSUNG A SERIES

▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -450K
▪️A16 (8+256) - 580K
▪️A26 5G (6+128) - 680K
▪️A26 5G (8+256) - 780K
▪️A36 5G (6+128) - 900K
▪️A36 5G (8+256) - 1M
▪️A56 5G (8+128) - 1M
▪️A56 5G (8+256) - 1.15M

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
Android 15:
Inaongeza uwezo wa Bluetooth mesh na tracking kupitia vifaa vya jirani – lakini bado haijafika level ya Apple.
Android 15: Theft Detection Lock, simu inajifungia ikigundua imeporwa (AI-based motion detection).
Google naye hakubaki nyuma. Android 15 imekuja na Theft Detection Lock. Simu ikihisi inaporwa
mfano mtu anaitoa mfukoni ghafla na kukimbia inajifunga yenyewe bila kujali password
︎ Teknolojia

💨 JBL SPEAKER (Original💯)

▪️JBL Go 3 - 145K
▪️JBL Go 4 - 190K
▪️JBL Flip6 - 300K
▪️JBL Flip7 - 380K
▪️JBL Charger5 - 450K
▪️JBL Charger6 - 550K
▪️JBL XTRME3 - 700K
▪️JBL XTRME4 - 840K
▪️JBL Boombox X3 Wi-Fi - 1.3M

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
5:🔋 Battery & Performance

Apple inajulikana kwa kutumia chip zake za Apple Silicon kwa maximum performance na battery life. iOS 26 imeboresha zaidi utendaji wake na efficiency.
Android 15 nayo imeleta Battery Health Insights na adaptive charging, lakini kutokana na simu kuwa nyingi na tofauti (fragmentation), mafanikio yake yanategemea kampuni husika.
Android 15 nayo inatumia AI kuchambua alerts zako lakini bado haijaingia ndani kama Apple.
3. Notification Smart Filters 🧠

iOS 26 inaleta filters zinazotanguliza taarifa muhimu – mfano, ujumbe wa benki au wa mtu wa familia.
4. 🛰️ Offline Tracking

iOS 26:
Find My inafanya kazi hata ikiwa simu imezimwa kabisa. Hii ni hatua ya juu sana ya ulinzi.