Teknolojia
132 subscribers
3.76K photos
4.44K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Baada ya Apple, Samsung, Google na Xiaomi nao walifuata.
Simu kama iPhone 15, Galaxy S24, Pixel 8 – nyingi haziji tena na adapter (charging brick).

Wanakupa tu USB-C cable... lakini si kila mtu ana charger inayofaa.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨JE KWANINI BAADHI YA SIMU HAZIJI TENA NA CHARGE?

Mwaka 2020, Apple ilianza trend ya kuondoa charger kwenye box la iPhone.
Walisema ni kwa ajili ya kuokoa mazingira (environmental sustainability).

Lakini je, ni kweli au ni mbinu ya biashara? Tuangalie kitaalamu.
Suluhisho ni nini?

➀ Kununua charger ya kampuni hiyo (or at least certified)
➀ Kuangalia Watt rating ya charger (25W, 45W, etc) kabla ya kununua
➀ Kuwekeza kwenye quality charger moja badala ya nyingi feki
🌍 Je, ni kweli inaokoa mazingira?

Ndiyo – kwa kiasi fulani.

➀ Box dogo = usafirishaji mwingi kwa container moja
➀ Charger ziko nyingi tayari mtaani
➀ E-waste inapungua

Lakini pia hii inategemea mtumiaji ana nini tayari.
πŸ’Έ Changamoto kwa watumiaji wa kawaida (hasa Afrika):

➀ Unalazimika kununua charger mpya
➀ Chargers feki ni nyingi sokoni – zinaweza kuharibu simu
➀ Si kila mtu ana original fast charger nyumbani

Kwa hiyo, sio suluhisho kwa kila mmoja
πŸ“‰ Je, faida ni ipi kwa kampuni?

➀ Kupunguza gharama ya uzalishaji
➀ Kupunguza ukubwa wa box (gharama ya usafirishaji)
➀ Kukuuzia charger kama product nyingine

Yaaani, wanakutoa charger, halafu wanakuuzia tena.
βœ… Kwa kifupi:

Kuondolewa kwa charger si kosa kisheria – lakini sio rahisi kwa kila mtumiaji.
Ni vizuri kujua sababu zake, lakini pia ujue namna ya kujilinda usipoteze pesa.
πŸ“² Je, wewe unaonaje hii move ya kuondoa charger kwenye simu mpya?
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ USED DUBAI (Original Display)πŸ‘‡
β–ͺ️Pixel 7 (8+128) - 580K
β–ͺ️Pixel 7a (8+128) - 580K
β–ͺ️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.15M

PIXEL MPYA (Non Active)πŸ’₯
β–ͺ️Pixel 9a (8+128) - 1.45M
β–ͺ️Pixel 9a (8+256) - 1.7M
β–ͺ️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
β–ͺ️Pixel 9 (12+256) - 2.15M
β–ͺ️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
β–ͺ️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
β–ͺ️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
β–ͺ️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

πŸ“Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
πŸ’¨ Unaweza kuta gharama za kujenga nyumba ni ndogo mfano unakuta nyumba imepostiwa na kiwanja chake inauzwa 20m nyumbani kama hiyo hiyo inauzwa 100m.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨part 03: iOS 26 na Liquid Glass

Apple imeboresha interface nzima kwa mfumo wa Liquid Glass UI:
β€’ Icons zinazong’aa na kubadilika kutegemea background
β€’ Transparency ya kitaalamu kwenye apps na menus
β€’ Dynamic lighting inayoendana na muda wa siku (adaptive shading)
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Part 01: iOS 26 na feature Call screening.

Hii ni feature ambayo mtu kabla hajakupigia simu anaweka sababu gani amekupigia ili uweke maamuzi ya kupokea au kutokupokea. Au uamue tu kumjibu bila kupokea
Check videoπŸ”₯πŸ”₯
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Jana baada wa uzinduzi wa iOS 26 leo tutaenda na mtiririko wa features zilizopo kwenye apple devices kwa sasa.πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Part 02: iOS 26 FEATURE MPYA KWENYE MESSAGE.

Kwa upande mpya wa message iOS wameongeza feature mpya ambayo unaweza kuweka background yoyote na jambo kubwa ni kwamba ukiweka background hiyo kwenye conversation na mwenzako pia itaji save kwenye simu yake wote mtakuwa mna share kwa pamoja
πŸš«πŸ’¬ Mitandao ya simu, ambayo imezoea kutuma messages za matangazo na unnecessary messages ijipange.

🚨 Soon iOS itakuwa na sehemu maalum ya Spams. Special kwa messages ambazo hazina umuhimu na messages za promotions.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
πŸ“²πŸ†• Lock Screen mpya ya iPhone

Screen itakuwa animated kama cover ya wimbo ambao unacheza.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Part 04: iOS 26 na Apple Intelligence

iOS 26 inaleta nguvu mpya ya Apple Intelligence – AI ya ndani ya simu yenye uwezo wa:
β€’ Kutafsiri lugha live, bila intaneti
β€’ Kuchanganua picha, sauti, au maandishi na kutoa taarifa kwa ufanisi
β€’ Kuandika tena barua pepe au notes kwa lugha rahisi au rasmi
β€’ Kufupisha mazungumzo marefu kwenye Messages
β€’ Kujibu maswali kwa kutumia taarifa zako binafsi (kwa usalama wa hali ya juu)