Kompyuta za Mac zitakuwa na app mpy ya Call katika mfumo wa macOS 26
App ya Call itakuwa inatumia simu yako kupokea na kupiga simu na kuona simu zako kwa urahisi zaidi
#WWDC25

Themes mpya za macOS 26
Watumiaji wataweza kubadili rangi za icons
Pia itakuwa na theme mpya ya kioo

〽︎ Teknolojia
💨 JBL SPEAKER (Original💯)
▪️JBL Go 3 - 145K
▪️JBL Go 4 - 190K
▪️JBL Flip6 - 300K
▪️JBL Flip7 - 350K
▪️JBL Charger5 - 450K
▪️JBL Charger6 - 550K
▪️JBL XTRME3 - 700K
▪️JBL XTRME4 - 840K
▪️JBL Boombox X3 Wi-Fi - 1.3M
📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757

Baada ya Apple, Samsung, Google na Xiaomi nao walifuata.
Simu kama iPhone 15, Galaxy S24, Pixel 8 – nyingi haziji tena na adapter (charging brick).
Wanakupa tu USB-C cable... lakini si kila mtu ana charger inayofaa.

💨JE KWANINI BAADHI YA SIMU HAZIJI TENA NA CHARGE?
Mwaka 2020, Apple ilianza trend ya kuondoa charger kwenye box la iPhone.
Walisema ni kwa ajili ya kuokoa mazingira (environmental sustainability).
Lakini je, ni kweli au ni mbinu ya biashara? Tuangalie kitaalamu.

Suluhisho ni nini?
➤ Kununua charger ya kampuni hiyo (or at least certified)
➤ Kuangalia Watt rating ya charger (25W, 45W, etc) kabla ya kununua
➤ Kuwekeza kwenye quality charger moja badala ya nyingi feki

🌍 Je, ni kweli inaokoa mazingira?
Ndiyo – kwa kiasi fulani.
➤ Box dogo = usafirishaji mwingi kwa container moja
➤ Charger ziko nyingi tayari mtaani
➤ E-waste inapungua
Lakini pia hii inategemea mtumiaji ana nini tayari.

💸 Changamoto kwa watumiaji wa kawaida (hasa Afrika):
➤ Unalazimika kununua charger mpya
➤ Chargers feki ni nyingi sokoni – zinaweza kuharibu simu
➤ Si kila mtu ana original fast charger nyumbani
Kwa hiyo, sio suluhisho kwa kila mmoja

📉 Je, faida ni ipi kwa kampuni?
➤ Kupunguza gharama ya uzalishaji
➤ Kupunguza ukubwa wa box (gharama ya usafirishaji)
➤ Kukuuzia charger kama product nyingine
Yaaani, wanakutoa charger, halafu wanakuuzia tena.

✅ Kwa kifupi:
Kuondolewa kwa charger si kosa kisheria – lakini sio rahisi kwa kila mtumiaji.
Ni vizuri kujua sababu zake, lakini pia ujue namna ya kujilinda usipoteze pesa.

💨 USED DUBAI (Original Display)👇
▪️Pixel 7 (8+128) - 580K
▪️Pixel 7a (8+128) - 580K
▪️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.15M
PIXEL MPYA (Non Active)💥
▪️Pixel 9a (8+128) - 1.45M
▪️Pixel 9a (8+256) - 1.7M
▪️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
▪️Pixel 9 (12+256) - 2.15M
▪️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
▪️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M
📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚

💨 Unaweza kuta gharama za kujenga nyumba ni ndogo mfano unakuta nyumba imepostiwa na kiwanja chake inauzwa 20m nyumbani kama hiyo hiyo inauzwa 100m.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
💨part 03: iOS 26 na Liquid Glass
Apple imeboresha interface nzima kwa mfumo wa Liquid Glass UI:
• Icons zinazong’aa na kubadilika kutegemea background
• Transparency ya kitaalamu kwenye apps na menus
• Dynamic lighting inayoendana na muda wa siku (adaptive shading)

Part 01: iOS 26 na feature Call screening.
Hii ni feature ambayo mtu kabla hajakupigia simu anaweka sababu gani amekupigia ili uweke maamuzi ya kupokea au kutokupokea. Au uamue tu kumjibu bila kupokea
Check video🔥🔥

💨Jana baada wa uzinduzi wa iOS 26 leo tutaenda na mtiririko wa features zilizopo kwenye apple devices kwa sasa.🔥🔥🔥

Part 02: iOS 26 FEATURE MPYA KWENYE MESSAGE.
Kwa upande mpya wa message iOS wameongeza feature mpya ambayo unaweza kuweka background yoyote na jambo kubwa ni kwamba ukiweka background hiyo kwenye conversation na mwenzako pia itaji save kwenye simu yake wote mtakuwa mna share kwa pamoja