Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.42K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Sehemu ya Spotlights itabadilika

#WWDC25
Mabadiliko mapya ya mfumo mpya wa watchOS 26 kwa watumiaji wa Apple Watch

#WWDC25
Jina la mfumo mpya wa macOS 26

#WWDC25
Mabadiliko mapya katika mfumo mpya wa macOS 26

#WWDC25
Kompyuta za Mac zitakuwa na app mpy ya Call katika mfumo wa macOS 26

App ya Call itakuwa inatumia simu yako kupokea na kupiga simu na kuona simu zako kwa urahisi zaidi

#WWDC25
Mabadiliko mapya katika mfumo mpya wa iPadOS 26

#WWDC25
Mabadiliko mapya katika mfumo wa visionOS 26

#WWDC25
Themes mpya za macOS 26

Watumiaji wataweza kubadili rangi za icons

Pia itakuwa na theme mpya ya kioo

#WWDC25
︎ Teknolojia

💨 JBL SPEAKER (Original💯)

▪️JBL Go 3 - 145K
▪️JBL Go 4 - 190K
▪️JBL Flip6 - 300K
▪️JBL Flip7 - 350K
▪️JBL Charger5 - 450K
▪️JBL Charger6 - 550K
▪️JBL XTRME3 - 700K
▪️JBL XTRME4 - 840K
▪️JBL Boombox X3 Wi-Fi - 1.3M

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
Baada ya Apple, Samsung, Google na Xiaomi nao walifuata.
Simu kama iPhone 15, Galaxy S24, Pixel 8 – nyingi haziji tena na adapter (charging brick).

Wanakupa tu USB-C cable... lakini si kila mtu ana charger inayofaa.
︎ Teknolojia

💨JE KWANINI BAADHI YA SIMU HAZIJI TENA NA CHARGE?

Mwaka 2020, Apple ilianza trend ya kuondoa charger kwenye box la iPhone.
Walisema ni kwa ajili ya kuokoa mazingira (environmental sustainability).

Lakini je, ni kweli au ni mbinu ya biashara? Tuangalie kitaalamu.
Suluhisho ni nini?

➤ Kununua charger ya kampuni hiyo (or at least certified)
➤ Kuangalia Watt rating ya charger (25W, 45W, etc) kabla ya kununua
➤ Kuwekeza kwenye quality charger moja badala ya nyingi feki
🌍 Je, ni kweli inaokoa mazingira?

Ndiyo – kwa kiasi fulani.

➤ Box dogo = usafirishaji mwingi kwa container moja
➤ Charger ziko nyingi tayari mtaani
➤ E-waste inapungua

Lakini pia hii inategemea mtumiaji ana nini tayari.
💸 Changamoto kwa watumiaji wa kawaida (hasa Afrika):

➤ Unalazimika kununua charger mpya
➤ Chargers feki ni nyingi sokoni – zinaweza kuharibu simu
➤ Si kila mtu ana original fast charger nyumbani

Kwa hiyo, sio suluhisho kwa kila mmoja