Teknolojia
132 subscribers
3.76K photos
4.45K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Yani watu wanaenjoy sound kali ya Wiwu thunder speaker alafu mtu anakuja kuharibu party.. Bila Sneaker Cleaning kuwepo karibu jamaa wasingemuelewa 🙌🙌🙌 Sneaker cleaning Tsh 20,000 Robysportwear Wiwu Speaker 365,000 Simukitaa Ukiwa navyo hivi kwa pamoja unatamba popote pale mjini kwa kujiamini 🔥🔥🔥
︎ Teknolojia

💨 REDMI NOTE 14 Series 💥

▪️Note 14 (6+128) - 480K
▪️Note 14 (8+256) - 550K
▪️Note 14 5G (8+256) - 700K
▪️Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
▪️Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
▪️Note 14 Pro+ 5G (8+256) - 1.1M
▪️Note 14 Pro+ 5G (12+512) - 1.25M

📍Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 Hivi humu ndani siwezi pata content creators kama wawili au watatu tukajichanga tununue CAMERA kali alafu tuwe tunaazimishana?
Watumiaji wa Mac wataweza kuandika kazi ambayo wanataka kompyuta ifanye na itafanya. Mfano kuandika email na app ya email inajifungua na kujituma yenyewe

#WWDC25
Sehemu ya Spotlights itabadilika

#WWDC25
Mabadiliko mapya ya mfumo mpya wa watchOS 26 kwa watumiaji wa Apple Watch

#WWDC25
Jina la mfumo mpya wa macOS 26

#WWDC25
Mabadiliko mapya katika mfumo mpya wa macOS 26

#WWDC25
Kompyuta za Mac zitakuwa na app mpy ya Call katika mfumo wa macOS 26

App ya Call itakuwa inatumia simu yako kupokea na kupiga simu na kuona simu zako kwa urahisi zaidi

#WWDC25
Mabadiliko mapya katika mfumo mpya wa iPadOS 26

#WWDC25
Mabadiliko mapya katika mfumo wa visionOS 26

#WWDC25
Themes mpya za macOS 26

Watumiaji wataweza kubadili rangi za icons

Pia itakuwa na theme mpya ya kioo

#WWDC25