Teknolojia
133 subscribers
3.79K photos
4.47K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Jinsi ya kufanya chukua softcopy ya picha unayotaka ku repair kisha add kwenye application yako au website ya ChatGPT.

Kisha andika tu maneno simple

"Repair all damage parts"

Pi unaweza kuiamuru iweke colour.

Ishi kama pro🔥
@Huduma

💨Hivi unajua unaweza kurepair picha zako, au ndugu zako za zamani kupitia ChatGPT ndani ya dakika 2?

kutoka hivi. Hadi
👇. 👇
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Unajua jua linaweza kukupatia umeme? Tazama jinsi solar panels zinavyobadilisha mwanga wa jua kuwa umeme wa kutumia nyumbani! "
@Huduma

💨 Simu za siku hizi ni nzuri sana 🔥🔥
@Huduma

💨 OFFER SAMSUNG A SERIES

▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -450K
▪️A16 (8+256) - 580K
▪️A26 5G (6+128) - 680K
▪️A26 5G (8+256) - 780K
▪️A36 5G (6+128) - 900K
▪️A36 5G (8+256) - 1M
▪️A56 5G (8+128) - 1M
▪️A56 5G (8+256) - 1.15M

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
9. Motorola

~3 % ya share, shipments ~36.6 milioni 2023/24 .

Imerejea vizuri Latin America na Marekani.
︎ Teknolojia

. Realme

~4‑5% market share (48.8 milioni za simu 2023) .

Mtoto wa OPPO anayezidi kupanuka kwenye mid‑range.
SOURCE:
IDC: Smartphone Market Share Q1 2025

Business Insider: iPhone tops global sales

The Verge: Samsung vs Apple vs Xiaomi report

Counterpoint Research, Q1 2025 smartphone sales report

Canalys: Global Smartphone Market Q1 2025 Highlights
Samsung na Apple bado wanadhibiti soko.

Xiaomi, Transsion, na OPPO zinakata njia kwa kasi, hasa kwenye maeneo yenye uwezo mdogo na soko la kawaida.
︎ Teknolojia

. Huawei

Ingawa kuna sanctions, bado ina share ya ~2‑5 % global , na ime-rebound China Q4 2024 (18.1 %) .
︎ Teknolojia

. OPPO (ikiwa pamoja na OnePlus)

kwa market share ya ~8 % (103.6 milioni za simu 2023/24) .

Ina moto kwenye fast‑charging na foldables pia.
@Huduma

💨 MALI MPYA SOKONI 💥

REDMI 13X (8GB RAM, 256GB) - 420,000

📍Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

. vivo

Shipments 85.4 milioni 2023/24 (7‑8 % share) .

Imesonga hadi China Q4 2024 .