Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.43K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Theft Detection Lock ni nini?
Ni teknolojia mpya ndani ya Android 15 inayotumia AI kutambua harakati za wizi, mfano:

Simu ikinyakuliwa ghafla.

Ikitolewa kwa kasi mfukoni/mkono.

Ikitoka eneo la Wi-Fi ulilozoeleka kwa njia ya kushangaza.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨JE UMESIKIA KUHUSU ANDROID 15?πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ₯Ά

Android 15 inakuja na Anti-Theft Detection
Hii ndiyo feature unayopaswa kuijua mapema” πŸ›‘οΈπŸ“±

ShukaπŸ§΅πŸ§΅πŸ‘‡
Usiache πŸ”„ ufike mbali
Kwa kifupi, Android 15 =
βœ… AI-smart theft detection
βœ… Lock bila internet
βœ… Blocked factory reset
βœ… Folder binafsi kwa usalama wako

Huu ni msasa wa kisasa kwa kila mtumiaji wa Android anayejali faragha na usalama.
Hata kama data imezimwa?
Ndio! Kupitia feature mpya inayoitwa:
Offline Device Lock πŸ“΄πŸ”’

Android 15 itafungia simu hata kama:

Wi-Fi imezimwa

Sim card imeondolewa

Airplane mode imewashwa

Security haitegemei internet tena!
Protection wakati wa Factory Reset (FRP Upgrade)
Kama mwizi atajaribu kufanya factory reset:
➑️ Simu itahitaji Google account ya mmiliki wa awali kabla ya kutumika.

Hii inazima kabisa mbinu ya "kusafisha" simu kwa kutumia recovery mode.
πŸ’‘ Tip: Baadhi ya hizi features zitaanza kutolewa kupitia Google Play Services updates kuanzia Android 10 kwenda juu – hata kabla Android 15 yenyewe kufika rasmi.

Lakini kwenye Android 15, hizi zitakuwa native na zenye nguvu zaidi.
Mara harakati hizo zikitambuliwa:
➑️ Simu inajifungia (auto-lock) papo hapo hata kama skrini ilikuwa wazi!

Lengo ni kuhakikisha mwizi hawezi kufungua, kutumia, wala kuuza simu yako kirahisi.
Smart & powerful! πŸ”πŸ€–
Private Space
Android 15 pia inakuja na sehemu ya Private Space, sawa na β€œSecure Folder” ya Samsung.

Unaweza kuweka apps zako binafsi – na kuzipa password tofauti. Perfect kwa apps za fedha, notes au picha nyeti.
Katika dunia ya sasa ambapo wizi wa simu ni changamoto kubwa, Google imejibu kwa innovation ya nguvu kupitia Android 15.

Introducing: Theft Detection Lock πŸ”
Feature ya AI-based motion detection inayolinda simu yako kisayansi!
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ REDMI NOTE 14 Series πŸ’₯

β–ͺ️Note 14 (6+128) - 480K
β–ͺ️Note 14 (8+256) - 550K
β–ͺ️Note 14 5G (8+256) - 700K
β–ͺ️Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
β–ͺ️Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
β–ͺ️Note 14 Pro+ 5G (8+256) - 1.1M
β–ͺ️Note 14 Pro+ 5G (12+512) - 1.25M

πŸ“Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ PIXEL MPYA (Non Active)πŸ’₯

β–ͺ️Pixel 9a (8+128) - 1.45M
β–ͺ️Pixel 9a (8+256) - 1.7M
β–ͺ️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
β–ͺ️Pixel 9 (12+256) - 2.15M
β–ͺ️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
β–ͺ️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
β–ͺ️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
β–ͺ️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

USED DUBAI (Original Display)πŸ‘‡
β–ͺ️Pixel 7 (8+128) - 630K
β–ͺ️Pixel 7a (8+128) - 630K
β–ͺ️Pixel 8 (8+128) - 950K
β–ͺ️Pixel 8a (8+128) - 950K
β–ͺ️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.15M

πŸ“Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Google Pixel 10 series zitakuwa za moto sana sokoni
Simu hizi zitakuwa na rangi nne ambazo ni;
β–ͺ️Ultra blue
β–ͺ️Limoncello
β–ͺ️Iris
β–ͺ️ Midnight (black)
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Ukitumwa na mama ukatafute kitu πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ..
πŸ“Œ Pro Tip: Unaweza kuandika kwa Kiswahili pia β€” AI inaelewa!
Hii technique ni perfect kwa:

Content creators 🎬

Wanaopenda horror au comedy 🧟

Maudhui ya Halloween

Mabingwa wa memes πŸ“²
Kisha unatumia AI tools kama ChatGPT + DALLΒ·E editor, kisha unaandika prompt kama hii:

> β€œMake this person look like a realistic skeleton, keeping the outfit and pose the same.”
γ€½οΈŽ Teknolojia

Na matokeo yake ni haya hapa...
πŸ”₯ Skeleton lakini bado mwenye swag πŸ’€πŸ§’