Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
@Huduma

๐Ÿ’จ Hizi Sony Xperia 10 iv unapata used za dubai clean kabisa kwa bei nzuri na specifications za ushindi

(6GB RAM, 128GB ROM) - 270,000

๐Ÿ“Dar: KKKT Kariakoo
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
๐Ÿ›ฐ๏ธ Starlink imeanza kufanya kazi Congo (DRC) ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ https://twitter.com/Starlink/status/1929936568355360848#m
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Huu mtandao una wajasiriamali wengi tena vijana wadogo waliomaliza vyuo na kukosa ajira ya yale waliyofundishwa chuoni na kuamua kujiongeza humu mtandaoni walau wajipatie kipato cha kupunguza umaskini.

Sasa mmefunga huu mtandao sababu ni "maudhui ya ngono" ni vyema mkapima kwa ujumla ni kina nani wanaopata madhara zaidi.

Na bado mchokozi kakushikia panga shingoni anakulazimisha umuite yeye mchokozi na ukimuita anakuchinja.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จMmeona hii Google Flow feature inavyofanya kazi

Naona hata zile animation video huko mbele zitapata upinzani mkali sana

Cheki video jamaa akifufuka
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ OFFER SAMSUNG A SERIES

โ–ช๏ธA05 (4+64) - 250K
โ–ช๏ธA06 (4+64) - 300K
โ–ช๏ธA06 (4+128) - 330K
โ–ช๏ธA05s (4+128) - 350K
โ–ช๏ธA16 (4+128) -450K
โ–ช๏ธA16 (8+256) - 580K
โ–ช๏ธA26 5G (6+128) - 680K
โ–ช๏ธA26 5G (8+256) - 780K
โ–ช๏ธA36 5G (6+128) - 900K
โ–ช๏ธA36 5G (8+256) - 1M
โ–ช๏ธA56 5G (8+128) - 1M
โ–ช๏ธA56 5G (8+256) - 1.15M

๐Ÿ“Dar: KKKT Kariakoo
๐Ÿ“Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จBaada ya simu za iOS kuweza kupokea adobe Photoshop beta mwanzoni kabisa mwa mwaka sasa wale wa android mmefikiwa.

Kwa sasa pia simu za android nazo zinauwezo wa kupokea Adobe Photoshop beta ambayo inafanya kazi kama kwenye computer.

Vigezo simu inapaswa kuwa na android 11 na 6GB RAM.

โ–ช๏ธSource: GSMArena
๐Ÿ†• Mfumo mpya wa mwaka huu wa VisionPro; utaanza kuwa na uwezo wa kukubali support ya kuunganisha controllers za PlayStation, Xbox na Spatial controllers
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿ†• Samsung imeanza kuonyesha trailer ya simu yake mpya ya Galaxy Fold7 Ultra.

Itakuwa ni nyembamba zaidi na kamera yake itakuwa ni kubwa.

Simu hii itatoka pamoja na simu ya Galaxy Z Fold 7 na Z Flip 7 mwanzo wa mwezi July.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Umeme unatoka kwa maji... lakini ukimwaga maji kwenye socket inaripuka!? ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ”ฅ Hii ni sayansi au uchawi? Angalia hadi mwisho ujue ukweli wa hii mystery! ๐Ÿคฏ
Theft Detection Lock ni nini?
Ni teknolojia mpya ndani ya Android 15 inayotumia AI kutambua harakati za wizi, mfano:

Simu ikinyakuliwa ghafla.

Ikitolewa kwa kasi mfukoni/mkono.

Ikitoka eneo la Wi-Fi ulilozoeleka kwa njia ya kushangaza.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จJE UMESIKIA KUHUSU ANDROID 15?๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿฅถ

Android 15 inakuja na Anti-Theft Detection
Hii ndiyo feature unayopaswa kuijua mapemaโ€ ๐Ÿ›ก๏ธ๐Ÿ“ฑ

Shuka๐Ÿงต๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
Usiache ๐Ÿ”„ ufike mbali
Kwa kifupi, Android 15 =
โœ… AI-smart theft detection
โœ… Lock bila internet
โœ… Blocked factory reset
โœ… Folder binafsi kwa usalama wako

Huu ni msasa wa kisasa kwa kila mtumiaji wa Android anayejali faragha na usalama.