Teknolojia
133 subscribers
3.8K photos
4.53K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
➑️ Hii ndiyo hufanya iwezekane kuitrace hata ikiwa mbali na simu yako!
1. Trackers ni nini?
Hizi ni devices ndogo unazoweka kwenye vitu kama funguo, begi, au hata kwenye kava la simu yako – zikusaidie kuvipata endapo vitapotea au kuibwa.

🎯 Zinafanya kazi kwa kutumia Bluetooth + network ya watumiaji wengine.
πŸ›°οΈ Ukiibiwa au kusahau AirTag mahali popote, iPhone yoyote inayopita karibu huipokea location (kimya kimya) na kuituma kwako.

πŸ“ Location huonekana kwenye Find My app – na ni wewe pekee unayeiona
8. Vikwazo ni vipi?
⚠️ AirTag haifanyi kazi vizuri kwenye Android
⚠️ Sio real-time GPS, lakini location hu-update mara tu tag ikikutana na device nyingine
⚠️ Usizitumie vibaya kufuatilia watu – ni kinyume cha sheria!
γ€½οΈŽ Teknolojia

. AirTag – (Apple)
AirTag inatumia Find My Network ya mamilioni ya vifaa vya Apple duniani.
6. Unawezaje kuitumia kulinda simu au begi lako?
βœ… Weka tracker (AirTag, Tile Slim, au SmartTag) ndani ya begi au kwenye kava la simu
βœ… Ikiibwa au kusahaulika, unaweza kuipata location hata ikiwa mbali sana
βœ… Separation alerts zitakutahadharisha unapojisogeza mbali nayo
πŸ’‘ Iwe Android au iOS β€” wote ni contributors wa β€œlocation crowd”.
7. Features nyingine muhimu
πŸ”Š Trackers zinaweza kulia (sound alert)

🧭 Zingine zina direction compass

πŸ“± Zingine hutoa notification ukiondoka bila kifaa chako

πŸ“‘ Na zote hufanya kazi hata bila GPS kwenye tag yenyewe
2. Bluetooth inatosha kweli?
➑️ Hapana! Bluetooth ina range ya takriban 10–100m tu kulingana na mazingira.

Swali ni: kama simu au begi lako lipo mbali kama mita 500 au 2,000 β€” unalitrazaje? πŸ€”
➑️ Jibu ni: Crowd-sourced tracking network πŸ’‘
γ€½οΈŽ Teknolojia

. SmartTag – (Samsung)
SmartTag inafanya kazi sawa lakini kwa kupitia SmartThings Find.

πŸ“± Simu yoyote ya Samsung Galaxy iliyo karibu na tag yako itaiscan kupitia background na location hutumwa kwenye account yako ya Samsung.
γ€½οΈŽ Teknolojia

. Tile – (Android & iPhone)
Tile inategemea app yake: Tile Network.
Simu yoyote yenye Tile app ikipita karibu na Tile yako β†’ location inaenda kwenye Tile servers β†’ na inakufikia wewe.
9. Kwa nini uweke tracker kwenye simu au begi lako?
βœ”οΈ Simu ikiibwa na kuzimwa – tracker bado inaweza kutuma location kupitia crowd
βœ”οΈ Unaweza kurudisha begi au laptop yako kirahisi
βœ”οΈ Ni "insurance" dhidi ya hasara ya kupoteza vifaa muhimu
Je, ungetaka kutumia ipi kati ya hizi: AirTag, SmartTag au Tile?
πŸ‘‡ Tuambie kwenye comments!
@Huduma

πŸ’¨ XIAOMI REDMI (Brand new) πŸ’₯

β–ͺ️Redmi A5 (3+64) - 250K
β–ͺ️Redmi A5 (4+128) - 280K
β–ͺ️Redmi 14C (4+128) - 300K
β–ͺ️Redmi 14C (8+256) - 350K
β–ͺ️Note 13 (6+128) - 450K
β–ͺ️Note 13 (8+256) - 530K
β–ͺ️Note 13 Pro 4G (8+256) - 680K
β–ͺ️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
β–ͺ️Note 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
β–ͺ️Redmi Note 14 (6+128) - 480K
β–ͺ️Redmi Note 14 (8+256) - 580K
β–ͺ️Redmi Note 14 5G (8+256) - 700K
β–ͺ️Redmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
β–ͺ️Redmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
β–ͺ️Redmi Note 14 Pro+ 5G (8+256)
@Huduma

πŸ’¨ Hizi Sony Xperia 10 iv unapata used za dubai clean kabisa kwa bei nzuri na specifications za ushindi

(6GB RAM, 128GB ROM) - 270,000

πŸ“Dar: KKKT Kariakoo
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
πŸ›°οΈ Starlink imeanza kufanya kazi Congo (DRC) πŸ‡¨πŸ‡© https://twitter.com/Starlink/status/1929936568355360848#m
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Huu mtandao una wajasiriamali wengi tena vijana wadogo waliomaliza vyuo na kukosa ajira ya yale waliyofundishwa chuoni na kuamua kujiongeza humu mtandaoni walau wajipatie kipato cha kupunguza umaskini.

Sasa mmefunga huu mtandao sababu ni "maudhui ya ngono" ni vyema mkapima kwa ujumla ni kina nani wanaopata madhara zaidi.

Na bado mchokozi kakushikia panga shingoni anakulazimisha umuite yeye mchokozi na ukimuita anakuchinja.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Mmeona hii Google Flow feature inavyofanya kazi

Naona hata zile animation video huko mbele zitapata upinzani mkali sana

Cheki video jamaa akifufuka