Teknolojia
132 subscribers
3.76K photos
4.44K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Bila hivyo – mtu anaweza kui-reset na kutumia bila restriction yoyote!
6. Je, mtu anaweza kudukua FRP?
Ndiyo, lakini ni ngumu sana.

FRP bypass tools zinahitaji skills za hali ya juu na muda mwingi.

⚠️ Wengi huishia kui-brick simu kabisa.
︎ Teknolojia

💨 JBL SPEAKER (Original💯)

▪️JBL Go 3 - 145K
▪️JBL Go 4 - 190K
▪️JBL Flip6 - 300K
▪️JBL Flip7 - 420K
▪️JBL Charger5 - 450K
▪️JBL Charger6 - 550K
▪️JBL XTRME3 - 700K
▪️JBL XTRME4 - 840K
▪️JBL Boombox X3 Wi-Fi - 1.3M

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨Galaxy Z Fold7 Specifications

• Snapdragon 8 Elite for Galaxy
• 8.2 inch 120hz inner display
• 6.5 inch FHD+ 120hz outer display
• Smallest bezels on a phone
• Smaller crease
• 200mp main camera
• 4400mah battery
• 12gb ram & 256/512/1TB storage
• 3.9mm thin unfolded
• One UI 8
@Huduma

💨Huawei wanatarajia kuzondua Huawei pura80 series tarehe 11 mwezi huu.
Hii ni baada ya huawei pura 70 Ultra kufanya vizuri katika soko tangu ilipozinduliwa mwaka jana
👇🔥
︎ Teknolojia

💨 PIXEL MPYA (Non Active)💥

▪️Pixel 9a (8+128) - 1.45M
▪️Pixel 9a (8+256) - 1.7M
▪️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
▪️Pixel 9 (12+256) - 2.15M
▪️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
▪️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

USED DUBAI (Original Display)👇
▪️Pixel 7 (8+128) - 630K
▪️Pixel 7a (8+128) - 630K
▪️Pixel 8 (8+128) - 950K
▪️Pixel 8a (8+128) - 950K
▪️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.15M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
︎ Teknolojia

💨 Walitaka wapite na WhatsApp yangu kama sio kutumia mbinu za Jasusi la Mbinguni wangepita nayo 😂😂
︎ Teknolojia

💨Infinix G30 Pro 5G simu hii itaanza kuuzwa uko India kuanzia 12/06

Hapa infinix wamekuja kivingine kabisa

Specification zake

▪️ 6.78 AMOLED LTPS 1.5K 144Hz screen, 4500nits peak brightness
▪️ Dimensity 8350U
▪️ 256GB UFS 4.0 storage
▪️ 5500mAh battery | 45W wired charging
▪️ 30W wireless
▪️ 108MP main + 8MP UW
▪️ 2 + 3 years
︎ Teknolojia

💨 OFFER SAMSUNG A SERIES

▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -450K
▪️A16 (8+256) - 580K
▪️A26 5G (6+128) - 680K
▪️A26 5G (8+256) - 780K
▪️A36 5G (6+128) - 900K
▪️A36 5G (8+256) - 1M
▪️A56 5G (8+128) - 1M
▪️A56 5G (8+256) - 1.15M

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
🇪🇺📱𝗔𝗽𝗽𝗹𝗲 𝘃𝘀 𝗘𝗨📱🇪🇺

EU inataka Apple ifungue AirDrop kwa watengenezaji wengine mfano watumiaji wa Android, Windows n.k, ikidai kuwa kuizuia kwa vifaa vya Apple tu ni ushindani usio wa haki

Apple imekata rufaa na inaweza kuiondoa AirDrop kwenye iPhones za EU
➡️ Hii ndiyo hufanya iwezekane kuitrace hata ikiwa mbali na simu yako!
1. Trackers ni nini?
Hizi ni devices ndogo unazoweka kwenye vitu kama funguo, begi, au hata kwenye kava la simu yako – zikusaidie kuvipata endapo vitapotea au kuibwa.

🎯 Zinafanya kazi kwa kutumia Bluetooth + network ya watumiaji wengine.
🛰️ Ukiibiwa au kusahau AirTag mahali popote, iPhone yoyote inayopita karibu huipokea location (kimya kimya) na kuituma kwako.

📍 Location huonekana kwenye Find My app – na ni wewe pekee unayeiona
8. Vikwazo ni vipi?
⚠️ AirTag haifanyi kazi vizuri kwenye Android
⚠️ Sio real-time GPS, lakini location hu-update mara tu tag ikikutana na device nyingine
⚠️ Usizitumie vibaya kufuatilia watu – ni kinyume cha sheria!
︎ Teknolojia

. AirTag – (Apple)
AirTag inatumia Find My Network ya mamilioni ya vifaa vya Apple duniani.
6. Unawezaje kuitumia kulinda simu au begi lako?
Weka tracker (AirTag, Tile Slim, au SmartTag) ndani ya begi au kwenye kava la simu
Ikiibwa au kusahaulika, unaweza kuipata location hata ikiwa mbali sana
Separation alerts zitakutahadharisha unapojisogeza mbali nayo
💡 Iwe Android au iOS — wote ni contributors wa “location crowd”.