Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.58K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Wi-Fi juu ya mawingu? 😳✈️ Ndege ziko mbali na minara, lakini bado unapata internet! Hii hapa ndio siri ya teknolojia ya Wi-Fi angani 📡🔥
1. 📦 𝗦𝗻𝗮𝗽𝗱𝗿𝗮𝗴𝗼𝗻 (Qualcomm)
📍 Nchi: Marekani 🇺🇸
Inajulikana kwa performance ya hali ya juu, stable na GPU kali (Adreno).
Bora kwenye gaming, 5G, na AI processing.
🔥 Mara nyingi huonekana kwenye simu za mid-range hadi premium kama Tecno Phantom, Infinix GT 20 Pro, na Vivo X100.

⚠️ GPU yake (Mali) bado haijafikia kiwango cha Adreno ya Snapdragon kwenye gaming ya muda mrefu.
︎ Teknolojia

✔️ Chipset zenye nguvu na bei rafiki.
✔️ Dimensity 9300/9300+ zinapambana bega kwa bega na Snapdragon 8 Gen 3.
✔️ Zinapatikana kwenye simu nyingi za bei ya kati hadi premium kama Tecno Phantom V Flip, Infinix GT 20 Pro, Vivo X100.
📌 Performance nzuri, lakini si bora sana kwa gam
Mfano:
Snapdragon 8 Gen 3 → inapatikana kwenye simu kama Galaxy S24 Ultra, Xiaomi 14, na OnePlus 12.
🧠 Inatumia 4nm node – power efficient na very fast.
3. 📦 𝗘𝘅𝘆𝗻𝗼𝘀 (Samsung)
📍 Nchi: Korea Kusini 🇰🇷
🔁 Inatumiwa zaidi kwenye Samsung Galaxy (toleo la Europe & Asia).

📉 Imekuwa ikikosolewa kwa kuwa nyuma ya Snapdragon kwenye performance na heat management.
Lakini mwaka 2025, Exynos 2500 imeonyesha maboresho makubwa kwenye AI na power efficiency.

💡 Fun fact: Samsung inajaribu kuleta ushindani kwa kurudi kwenye simu zake zenye Exynos baada ya miaka ya kutumia Snapdragon tu.
2. 📦 𝗠𝗲𝗱𝗶𝗮𝗧𝗲𝗸 (Dimensity Series)
📍 Nchi: Taiwan 🇹🇼
Bei nafuu, lakini performance inakaribia Snapdragon.
📈 Dimensity 9300 & 9300+ zinatoa ushindani mkubwa mwaka huu.
🎯 Inatumiwa na simu nyingi za flagship kama Samsung S-series, OnePlus na Xiaomi Pro series.
︎ Teknolojia

✔️ Inatumiwa na baadhi ya Galaxy phones (hasa Ulaya & Asia).
✔️ Zamani ilishuka hadhi, lakini Exynos 2500 imeleta maboresho makubwa.
✔️ Ina nguvu kwenye AI & battery optimization.
📌 Haijafikia kiwango cha Snapdragon kwa speed ya juu au gaming.
︎ Teknolojia

✔️ Maarufu zaidi kwenye flagship smartphones.
✔️ Performance kali, hasa kwenye gaming & multitasking.
✔️ GPU ya Adreno ni imara mno kwenye graphics.
︎ Teknolojia

💨 XIAOMI REDMI (Brand new) 💥

▪️Redmi A5 (3+64) - 250K
▪️Redmi A5 (4+128) - 280K
▪️Redmi 14C (4+128) - 300K
▪️Redmi 14C (8+256) - 350K
▪️Note 13 (6+128) - 450K
▪️Note 13 (8+256) - 530K
▪️Note 13 Pro 4G (8+256) - 680K
▪️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
▪️Note 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
▪️Redmi Note 14 (6+128) - 480K
▪️Redmi Note 14 (8+256) - 580K
▪️Redmi Note 14 5G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
▪️Redmi Note 14 Pro+ 5G (8+256)
︎ Teknolojia

💨One plus 13s🔥🔥
︎ Teknolojia

💨 Haya mambo yanashangaza sana

Vitu tunavyoona vinaweza kusimamiwa na watu wa hapa hapa ndani kumbe kuna wengine wana upeo wa tofauti.
︎ Teknolojia

💨 XIAOMI REDMI (Brand new) 💥

▪️Redmi A5 (3+64) - 250K
▪️Redmi A5 (4+128) - 280K
▪️Redmi 14C (4+128) - 300K
▪️Redmi 14C (8+256) - 350K
▪️Note 13 (6+128) - 450K
▪️Note 13 (8+256) - 530K
▪️Note 13 Pro 4G (8+256) - 680K
▪️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
▪️Note 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
▪️Redmi Note 14 (6+128) - 480K
▪️Redmi Note 14 (8+256) - 580K
▪️Redmi Note 14 5G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
▪️Redmi Note 14 Pro+ 5G (8+256)