Teknolojia
132 subscribers
3.76K photos
4.44K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
@Huduma

💨 Happy birthday mjasiriamali mwenzangu 🎂
💨 Nikichokuja kugundua % kubwa ya mahusiano mengi ya Dar yanavunjikaga baada ya mmoja kusafiri kwenda mkoani kusalimia akirudi anarudi na akili mpya.
Google Store imeweka mwonekano ambao unafanana kabisa na Apple Store (ya online)
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ChatGPT ni mwerevu, lakini si mkamilifu! 😳 Je, unajua inaweza kukupa jibu la uongo bila kujua? Tazama hii ujue kwa nini usiamini kila kitu unachoambiwa na AI! ⚠️
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Fuatilia Location ya Simu LIVE Kwa Satellite Bila Gharama! 📱🛰️ 🇹🇿 🇹🇿 🇰🇪
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
NAMNA YA KUTENGENEZA CGI ADS NA CHARTGPT PAMOJA NA KLING AI👌 🇹🇿🇳🇬
︎ Teknolojia

. 📱 Motorola Edge 60 Ultra

Uzinduzi: Novemba 2025

Maelezo: Skrini ya 165Hz, betri ya 6000mAh, na Snapdragon 8 Gen 4.
︎ Teknolojia

. 📱 Poco F7

Uzinduzi: Juni 2025

Mwaka 2025 unaonekana kuwa wa mapinduzi katika teknolojia ya simu, kuanzia AI hadi foldables
︎ Teknolojia

. 🍎 Apple iPhone 17 Series

Uzinduzi: Septemba 2025

Maelezo: iPhone 17, 17 Plus, 17 Pro, na 17 Pro Max zenye A19 Pro chipset, kamera ya 48MP, na iOS 18.
︎ Teknolojia

. 📱 Nothing Phone 3

Uzinduzi: Julai 2025

Maelezo: Skrini ya 6.77" LTPO AMOLED, Snapdragon 8 Gen 3, na kamera ya 50MP.
︎ Teknolojia

. 📱 Sony Xperia 1 VII

Uzinduzi: Juni 2025

Maelezo: Flagship yenye Snapdragon 8 Elite, kamera ya 52MP, na skrini ya 6.5" HDR OLED.
︎ Teknolojia

. 📷 Google Pixel 10 Series

Uzinduzi: Oktoba 2025

Maelezo: Pixel 10 na 10 Pro zenye Tensor G5 chip na AI ya hali ya juu.
︎ Teknolojia

💨 Samsung A26 5G

Samsung yenye uwezo wa 5G sokoni inaanzia hii inakuja ikiwa na processor ya Exynos 1380 iliyotumika pia kwenye Samsung A35 5G na A54 5G unaweza ona uwezo wa hii simu.

(6GB RAM, 128GB ROM) - 680,000
(8GB RAM, 256GB ROM) - 780,000

📍Dar: KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

. 📱 OnePlus 13s

Uzinduzi: Juni 2025

Maelezo: Flagship ndogo lakini yenye nguvu.
︎ Teknolojia

. 📱 Xiaomi 16

Uzinduzi: Oktoba 2025

Maelezo: Skrini ya 6.3" 2K AMOLED, Snapdragon 8 Elite 2, na kamera ya 50MP.
︎ Teknolojia

. 📱 Vivo X300 Series

Uzinduzi: Desemba 2025

Maelezo: Skrini kubwa ya OLED, betri ya 6900mAh, na Snapdragon 8 Gen 4.
︎ Teknolojia

💨Baada ya ujio wa Vivo x200 ultra. Kampuni ya vivo wako mbioni kuzindua Vivo X200 Fe.

Vivo x200 Fe itazinduliwa 10 July

Vivo X200 Fe specification
Display: 6.31” | 1216x2640 px
🔹 Camera: 50MP | 2160p video
🔹 Performance: 12GB / 16GB RAM | Dimensity chipset
🔹 Battery: 6500mAh | 90W fast charging

Hii inakuja kama iphone 16 air na Samsung S25 edge