Teknolojia
133 subscribers
3.79K photos
4.47K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Simu inaweza kuwa na FHD lakini 120Hz – ina scroll vizuri lakini sio sharp kama QHD.
Mwisho: Check Resolution Kabla ya Kununua Simu!
Usiridhike tu na “inapendeza”. Nenda Settings > Display > Resolution ujue unatumia nini.

Ukiwa mfuatiliaji wa tech, hii ni knowledge muhimu unapaswa kuwa nayo.
Refresh Rate ≠ Resolution

Watu huchanganya haya mawili.

Resolution: Sharpness ya picha

Refresh rate: Smoothness ya harakati (e.g. 60Hz, 90Hz, 120Hz)
Je, macho yako yanaweza kuona tofauti?
Ndiyo — lakini inategemea size ya screen.

Kwenye 6.7" QHD phone, utaona tofauti ya sharpness vs FHD.

Lakini kwa 5.5", tofauti ni ndogo sana.

➡️ Pointi ni: usilipe zaidi kwa kitu usichohitaji.
Bajeti ndogo au screen ndogo (inches ≤ 6.0) → HD bado inatosha.
Ni ipi inakufaa?

Kama unatumia simu kwa:

Social Media, WhatsApp, browsing → FHD inakutosha kabisa.
︎ Teknolojia

💨 USED DUBAI (Original Display)👇

▪️Pixel 6 (8+128) - 450K
▪️Pixel 7 (8+128) - 630K
▪️Pixel 7a (8+128) - 630K
▪️Pixel 7 Pro (12+128) - 850K
▪️Pixel 7 Pro (12+256) - 950K CPO
▪️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.15M

PIXEL MPYA (Non Active)💥
▪️Pixel 9a (8+128) - 1.45M
▪️Pixel 9a (8+256) - 1.7M
▪️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
▪️Pixel 9 (12+256) - 2.15M
▪️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
▪️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Deliv
Video editing, gaming, viewing content kwa macho makali → QHD itakuvutia.
︎ Teknolojia

💨Jamaa kapost picha ya mama ake wakiwa dinner
Shida sio dinner ni hilo tambo Vivo X200 Ultra🔥🔥.
@Huduma

💨 XIAOMI REDMI (Brand new) 💥

▪️Redmi A5 (3+64) - 250K
▪️Redmi A5 (4+128) - 280K
▪️Redmi 14C (4+128) - 300K
▪️Redmi 14C (8+256) - 350K
▪️Note 13 (6+128) - 450K
▪️Note 13 (8+256) - 530K
▪️Note 13 Pro 4G (8+256) - 680K
▪️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
▪️Note 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
▪️Redmi Note 14 (6+128) - 480K
▪️Redmi Note 14 (8+256) - 580K
▪️Redmi Note 14 5G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
▪️Redmi Note 14 Pro+ 5G (8+256)
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tuwe na utaratibu wa kuuliza jamani 😂😂🙌🙌
︎ Teknolojia

💨 TECNO CAMON 40 Series

▪️Camon 40 (16+256) - 650K
▪️Camon 40 Pro (16+256) - 750K
▪️Camon 40 Premier (21+512) - 1.15M

📍Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 Tunakufikia popote ulipo ndani ya Tanzania kwa uaminifu na usalama mkubwa mno.

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
6️⃣ Inaweza kuwa mlango wa huduma za kifedha
Kupitia STK, unaweza:

Kulipa bili

Kutuma pesa

Kununua vifurushi

Kufuatilia matumizi yako
... bila kuhitaji app ya mitandao kama M-Pesa app.

👇
4️⃣ Inafanya kazi hata bila internet
STK inategemea USSD (Unstructured Supplementary Service Data)

Mfano: Ukienda kwenye STK > Nunua bando > inachakata USSD code (kama 14901#)

👇
8️⃣ Kwenye baadhi ya simu, STK inaweza kuwa na jina tofauti
Inaweza kuitwa:

SIM Services

STK

App ya jina la mtandao (kama “Vodacom App”)
Lakini zote hutekeleza kazi ile ile.

👇
Suluhisho:
Tumia line kutoka kwa mitandao rasmi.
Usipokee SIM isiyo ya kwako au iliyofunguliwa mitaani.

👇