Teknolojia
133 subscribers
3.79K photos
4.45K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Usiache hii feature ikiwa OFF. Hii trick moja inaweza kuzuia madhara makubwa kama kufunguliwa kwa benki, Gmail, au social media zako.
Ukweli Kuhusu Kuipata Simu
Kama simu ipo ON, GPS iko ON, na ina intaneti, unaweza kuiona location yake kupitia:

Android: Find My Device

iPhone: iCloud - Find My iPhone
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ OFFER SAMSUNG A SERIES

β–ͺ️A05 (4+64) - 250K
β–ͺ️A06 (4+64) - 300K
β–ͺ️A06 (4+128) - 330K
β–ͺ️A05s (4+128) - 350K
β–ͺ️A16 (4+128) -450K
β–ͺ️A16 (8+256) - 580K
β–ͺ️A26 5G (6+128) - 680K
β–ͺ️A26 5G (8+256) - 780K
β–ͺ️A36 5G (6+128) - 900K
β–ͺ️A36 5G (8+256) - 1M
β–ͺ️A56 5G (8+128) - 1M

πŸ“Dar: KKKT Kariakoo
πŸ“Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
@Huduma

πŸ’¨Kuna mahali nlisoma huenda bara la Africa ndiyo bara kubwa zaidi lakini kuna siri wameificha na kulifanya lionekane kuwa dogo.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Baada ya Njiwa Flow sasa Google nao wameamua kuflow na Google Flow.

Google Flow ni Ai inayounganisha Imaginen na Gemin kugenerate video.
Project hii wame launch jana

Cheki videoπŸ‘‡
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Tecno wameweka hili bango Kariakoo

Wiki iliyopita nilivyoenda Hospital kutibu jicho la kushoto ndio waliniendea maandishi kama haya nisome πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ†• Instagram imefanya maboresho katika sehemu ya (DM), ikiwa ni pamoja na kuweka uwezo wa kutafsiri ujumbe wa sauti kuwa maandishi (transcription).

Pia, imeongeza muda wa ujumbe wa sauti kutoka dakika 1 hadi dakika 5.
πŸ†• Browser mpya ya Opera Neon ina uwezo wa kufanya coding za kutengeneza Website (tovuti) na Games
πŸ†• Google imefanya mabadiliko ya Search Bar Widget yake kwa watumiaji wa Android

Sasa hivi sehemu hizo zinabadilika kuendana mfumo wa settings za rangi ya simu (Material 3)

Unaweza kupanga shortcuts

Pia Google imeweka mwonekano wa round ya duara nje ya widget ya Search Bar.
πŸ†• Watumiaji wa iPad sasa wanaweza kupata app ya WhatsApp

Imechukua zaidi ya miaka 15 kwa WhatsApp kuweka app yake kwenye iPad
πŸ’¨ Arusha haipiti siku kijana zaidi ya mmoja hajafariki kwa kifo cha kusababishwa either ajali au kupigwa.
@Huduma

πŸ’¨ NOTHING PHONE (Non Active)

β–ͺ️CMF Phone1 (8+256) - 850K
β–ͺ️Phone2a (8+256) - 1.2m
β–ͺ️Phone2a Plus (12+256) - 1.35m
β–ͺ️Phone 2 (12+256) - 1.58m
β–ͺ️Phone 2 (12+512) - 1.75m
β–ͺ️Phone 3a (12+256) - 1.25M
β–ͺ️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

πŸ“Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Umewahi jiuliza jinsi touch screen inavyojua unagusa wapi? πŸ€” Leo tunavunja fumbo hilo kwa njia rahisi ya kisayansi! βš‘πŸ“±
Simu inaweza kuwa na FHD lakini 120Hz – ina scroll vizuri lakini sio sharp kama QHD.
Mwisho: Check Resolution Kabla ya Kununua Simu!
Usiridhike tu na β€œinapendeza”. Nenda Settings > Display > Resolution ujue unatumia nini.

Ukiwa mfuatiliaji wa tech, hii ni knowledge muhimu unapaswa kuwa nayo.
Refresh Rate β‰  Resolution

Watu huchanganya haya mawili.

Resolution: Sharpness ya picha

Refresh rate: Smoothness ya harakati (e.g. 60Hz, 90Hz, 120Hz)