Teknolojia
133 subscribers
3.79K photos
4.46K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram


9. Private DNS Setting

> Google DNS, ISP DNS au custom DNS inaweza kukurekodi silently.

Badilisha hapa:
Settings > Network & Internet > Private DNS > Use Private DNS

> Weka: dns.adguard.com au dns.cloudflare.com
Remove Pre-installed Trackers (bloatware)
Simu nyingi hasa za China huja na bloatware ambazo:

Zinajificha

Haziwezi kufutwa moja kwa moja

Hufanya background data collection
10. App Behaviour Trackers

> Kuna apps zinazoweza kufuatilia tabia za apps nyingine.
Tumia hizi apps kuona tracking activity:

GlassWire – inaonyesha network access ya kila app

Exodus Privacy – inaonyesha trackers ndani ya app
BONUS: Install Browser yenye Anti-Tracking

> Chrome ni mfuatiliaji mkubwa.
Tumia:
Brave

Firefox Focus

DuckDuckGo Browser

> Zina block tracking scripts & fingerprinting.
︎ Teknolojia

💨 Una laki 5 hujui ununue simu gani? Hii ni 5 bora 👇

▪️Redmi Note 14 (8+256) - 580K
▪️Samsung A16 (8+256) - 580K
▪️Infinix Hot 50 Pro Plus (8+128) - 520K
▪️iPhone 11 64GB Used|NoMsg - 550K
▪️Redmi Note 13 (8+256) - 550K

📍KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
TrackerControl – inazuia trackers (root au non-root mode)
Zima hapa:
Settings > Apps > Special Access > Notification Access
@Huduma

💨Google pixel bado wanaendeleza utamaduni wa kuvujisha simu mpya kabla ya muda wa kuzinduliwa

Hizi ni picha zinazoonyesha google pixel 10 zikiwa kwenye kuandaa ad zake.

Hii imetokea sana kwenye pixel series nyingi
︎ Teknolojia

💨 XIAOMI REDMI (Brand new) 💥

▪️Redmi A5 (3+64) - 250K
▪️Redmi A5 (4+128) - 280K
▪️Redmi 14C (4+128) - 300K
▪️Redmi 14C (8+256) - 350K
▪️Note 13 (6+128) - 450K
▪️Note 13 (8+256) - 530K
▪️Note 13 Pro 4G (8+256) - 650K
▪️Note 13 Pro 5G (8+256) - 780K
▪️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
▪️Note 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
▪️Redmi Note 14 (6+128) - 480K
▪️Redmi Note 14 (8+256) - 580K
▪️Redmi Note 14 5G (8+256) - 750K
▪️Redmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 800K
▪️Redmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 900K
@Huduma

💨Aiseeee🥶🥶🔥
Red magic
💨Leo twende na hii wale wa ChatGPT andika hii

"Wearing shabby, dirty and torn clothes, skin covered in tattoos, messy hair...
Just sitting on the sidewalk with used cardboard, in front of a closed shophouse—dusty, narrow, muddy alley vibes.

Picha weka kwa comment
︎ Teknolojia

💨 USED DUBAI (Original Display)👇

▪️Pixel 6 (8+128) - 450K
▪️Pixel 7 (8+128) - 630K
▪️Pixel 7a (8+128) - 630K
▪️Pixel 7 Pro (12+128) - 850K
▪️Pixel 7 Pro (12+256) - 950K CPO
▪️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.15M

PIXEL MPYA (Non Active)💥
▪️Pixel 9a (8+128) - 1.45M
▪️Pixel 9a (8+256) - 1.7M
▪️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
▪️Pixel 9 (12+256) - 2.15M
▪️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
▪️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Deliv
💨 Ukienda kusoma comments za video za jana za wale Wabunge wa jana kule Instagram na Facebook ndio siku ambayo watu wamepunguza kujichekesha na kukoment vimoto.
3. WANAVYOPENYEZA ACCOUNT ZA BENKI

Wezi hujaribu passwords zilizohifadhiwa kwenye browser au app

Kama hujafunga apps zako (kama M-Pesa, NMB, CRDB app), wanaingia moja kwa moja

Wanaweza kuset up line yako kwenye simu nyingine kama hujaweka PIN ya line (SIM card lock)
JINSI YA KUJILINDA KABLA YA TUKIO

Tumia PIN ngumu na strong screen lock

Weka SIM card PIN (ya tofauti na lock ya simu)

Lock apps zako nyeti kwa App Lock

Usihifadhi passwords kwenye browsers bila encryption

Weka 2FA kwenye email na benki
NINI CHA KUFANYA SIMU IKIIBIWA?

Wasiliana na kampuni ya simu kufunga line

Ingia kwenye akaunti zako muhimu kutoka kwa kifaa kingine na ubadilishe passwords

Futa simu kwa mbali (remote wipe) kama umeiweka tayari