Teknolojia
134 subscribers
3.86K photos
5.04K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli ๐Ÿ‘‹
Download Telegram
โ€Œ

5: Delete activity yako ya zamani
โ†’ Nenda myactivity.google.com

Bonyeza โ€œDelete activity byโ€

Chagua โ€œAll timeโ€ โ†’ Delete.

Pia weka automatic deletion kila baada ya miezi 3 au 18.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Muonekano wa Nothing Phone 3

Unaupa ngapi ya 1-10
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Kampuni ya Huawei ya kichina imeachia laptop mpya inaitwa Huawei Matebook Fold, ambapo kwa sasa inapatikana nchini China pekee. Laptop hii imekuja ikiwa na feature mbalimbali.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’ก Huawei Matebook Fold Specs:

๐Ÿ’ป Kioo chake ni OLED display +7.3mm (0.3inch) ikiwa haijakunywa Wakati 14.99mm (0.6inch) inapokuwa imefungwa na kukunjwa.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐—›๐˜‚๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐—ถ ๐—ธ๐—ถ๐—ฏ๐—ผ๐—ธ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐—น๐—ฎ๐—ฝ๐˜๐—ผ๐—ฝ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ผ ๐—ท๐—ถ๐—ธ๐˜‚๐—ป๐—ท๐—ฎ ๐—ป๐˜†๐—ฒ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ผ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ

Baada ya Kampuni ya Lenovo kuwa ya kwanza kutoa laptop Yenye uwezo wa kujikunja kunja (Foldable), Huawei nao wameleta Laptop yao

Threads ๐Ÿ‘‡
@Huduma

โšก Bado hawajasema kama kutakua na Uwezekano wa kuinstall Microsoft Windows na linux kwenye laptop zao.

Usisahau kutu follow @Bongotech255 kwa maujanja zaidi ๐Ÿ‘†

@Huawei @HuaweiMobile @huaweimobilekw @huaweitz
@Huduma

Ila Harmony Os kwa mara ya kwanza ilianza kutumika kwenye mfumo wa Android sasa unapatikana kwenye Windows.

๐Ÿ’ธ gharama yake ni dola $3,330
๐Ÿ’ฐ Tanzania gharama yake ni Tsh milioni 8.9M
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Najua wengi tumeshazoea kuona Teknolojia hii kwenye simu kupitia Samsung Z flip , Fold na simu zinginezo ambazo zina muundo wa foldable, lakini Sasa Teknolojia hii inakuja kwenye laptop.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Kwa UFUPI:
โŒจ๏ธ Laptop hii haijaja na keyboard hivyo keyboard iko mule mule ndani ya kioo ukikikunja utaweza kuona keyboard na kuweza kutumia.

๐Ÿ’ก Huawei imetoa Toleo la Os kwenye Laptop zao baada ya kuomba Os ya Microsoft lakini wakakataliwa kutokana na vikwazo toka marekani.
@Huduma

โšก Laptop hii ina uzito mdogo sana 1.6kg sawa na chupa moja ya maji ya afya + 3.3k resolution inayotoa mwanga mpaka kufikia 1,600 units.

๐Ÿ—‚๏ธ Imekuja na Ram 32Gb + Storage ya 2TB

๐ŸชŸ Imekuja ikiwa na Os (Operating system) ya Huawei inayoitwa Harmony Os 5.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ PIXEL MPYA (Non Active)๐Ÿ’ฅ

โ–ช๏ธPixel 9a (8+128) - 1.45M
โ–ช๏ธPixel 9a (8+256) - 1.7M
โ–ช๏ธPixel 9 (12+128) - 1.75M
โ–ช๏ธPixel 9 (12+256) - 2.15M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

USED DUBAI (Original Display)๐Ÿ‘‡
โ–ช๏ธPixel 7 (8+128) - 630K
โ–ช๏ธPixel 7a (8+128) - 630K
โ–ช๏ธPixel 8 (8+128) - 950K
โ–ช๏ธPixel 8a (8+128) - 950K
โ–ช๏ธPixel 8 Pro (12+128) - 1.15M

๐Ÿ“Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani ๐Ÿšš
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
@Huduma

๐Ÿ’จ Hawa Huawei huwezi tabiri ni kitu gani kipya watatuletea sokoni

Hii ni Huawei Pura 80 Ultra inakuja na Camera mbili za kuzoom (periscope) inakiwa ndiyo simu ya kwanza duniani.
Inashauriwa kuweka simu kwenye uso tambarare ili mtetemo ufanye kazi vizuri.
6. TUMIA CLOTH (kitambaa laini)

Kitambaa cha microfiber (kama cha kufuta miwani) kinafaa sana.

Kipanguse juu ya speaker, ukitumia vidole viwili kufanya mduara wa kusafisha.

Safi na salama!
APP ZILIZOBORESHA HII NJIA:

1. Speaker Cleaner โ€“ Remove Water (Android/iOS)

2. Speaker Cleaner - Fix Muffled Speaker

3. Clear Wave - Water Eject

4. Fix My Speakers (iOS web-based)