ใฝ๏ธ Teknolojia
๐จ NOTHING PHONE (Non Active)
โช๏ธCMF Phone1 (8+256) - 850K
โช๏ธPhone2a (8+256) - 1.2m
โช๏ธPhone2a Plus (12+256) - 1.35m
โช๏ธPhone 2 (12+256) - 1.58m
โช๏ธPhone 2 (12+512) - 1.75m
โช๏ธPhone 3a (12+256) - 1.25M
โช๏ธPhone 3a Pro (12+256) - 1.45M
๐Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani ๐
@Njiwa_Store
๐ 0745100757
wa.me/+255745100757

Kumbuka:
Google haipo kwa siri. Wewe ni bidhaa, si mteja tu. Taarifa zako ndizo bidhaa kuu. Chukua hatua kujilinda mapema.

4. Unaweza kudhibiti haya mambo. Hii hapa njia:
Fungua Settings โ Google โ Manage your Google Account

Nenda kwenye Data & Privacy
Chini ya โHistory Settingsโ, zimia:
Web & App Activity
Location History
YouTube History
Chini ya โHistory Settingsโ, zimia:
Web & App Activity
Location History
YouTube History
Kwani Google haijali privacy yako?
Inajali โ lakini lazima ujue jinsi ya kudhibiti settings zako. Watumiaji wengi hawachukui hatua yoyote hadi matatizo yatokee.

โ
3. Nenda hapa kuona kile wanajua juu yako
โ myactivity.google.com
Utaona kila unachotafuta, ulipoenda, na hata mazungumzo na Assistant. Inashtua kidogo!

Device Info & Voice Activity: Unaposema โHey Googleโ, kila kitu kinaweza kurekodiwa na kuhifadhiwa.
โ
6: Jihadhari na permissions za apps
Apps nyingi zinazotumia Google Account yako zinapata data nyingi sana โ location, contacts, messages, camera. Pitia Apps zinazoaccess account yako hapa:
โ
Futa zile usizozitumia.

Hivi ndivyo Google inavyokufuatilia:
Location History: Unaweza ukawa huna GPS ON, lakini bado Google inajua ulikuwa wapi.
Web & App Activity: Kila unachotafuta Google, kila video unayoangalia YouTube, hata ukifuta historia โ bado inahifadhiwa.

5: Delete activity yako ya zamani
โ Nenda myactivity.google.com
Bonyeza โDelete activity byโ
Chagua โAll timeโ โ Delete.
Pia weka automatic deletion kila baada ya miezi 3 au 18.

Kampuni ya Huawei ya kichina imeachia laptop mpya inaitwa Huawei Matebook Fold, ambapo kwa sasa inapatikana nchini China pekee. Laptop hii imekuja ikiwa na feature mbalimbali.

๐ก Huawei Matebook Fold Specs:
๐ป Kioo chake ni OLED display +7.3mm (0.3inch) ikiwa haijakunywa Wakati 14.99mm (0.6inch) inapokuwa imefungwa na kukunjwa.

๐๐๐ฎ๐๐ฒ๐ถ ๐ธ๐ถ๐ฏ๐ผ๐ธ๐ผ ๐๐ฎ๐บ๐ฒ๐น๐ฒ๐๐ฎ ๐น๐ฎ๐ฝ๐๐ผ๐ฝ ๐ถ๐ป๐ฎ๐๐ผ ๐ท๐ถ๐ธ๐๐ป๐ท๐ฎ ๐ป๐๐ฒ๐บ๐ฏ๐ฎ๐บ๐ฏ๐ฎ ๐ธ๐๐น๐ถ๐ธ๐ผ ๐๐ถ๐บ๐ ๐๐ฎ๐ธ๐ผ
Baada ya Kampuni ya Lenovo kuwa ya kwanza kutoa laptop Yenye uwezo wa kujikunja kunja (Foldable), Huawei nao wameleta Laptop yao
Threads ๐

@Huduma
โก Bado hawajasema kama kutakua na Uwezekano wa kuinstall Microsoft Windows na linux kwenye laptop zao.
Usisahau kutu follow @Bongotech255 kwa maujanja zaidi ๐
@Huawei @HuaweiMobile @huaweimobilekw @huaweitz

Ila Harmony Os kwa mara ya kwanza ilianza kutumika kwenye mfumo wa Android sasa unapatikana kwenye Windows.
๐ธ gharama yake ni dola $3,330
๐ฐ Tanzania gharama yake ni Tsh milioni 8.9M

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
Najua wengi tumeshazoea kuona Teknolojia hii kwenye simu kupitia Samsung Z flip , Fold na simu zinginezo ambazo zina muundo wa foldable, lakini Sasa Teknolojia hii inakuja kwenye laptop.

Kwa UFUPI:
โจ๏ธ Laptop hii haijaja na keyboard hivyo keyboard iko mule mule ndani ya kioo ukikikunja utaweza kuona keyboard na kuweza kutumia.
๐ก Huawei imetoa Toleo la Os kwenye Laptop zao baada ya kuomba Os ya Microsoft lakini wakakataliwa kutokana na vikwazo toka marekani.