Teknolojia
132 subscribers
3.8K photos
4.49K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’ก Bila Mwezi dunia itakua na Mabadiliko makubwa kwenye uwelekeo wake (axial) , ambao hautakua thabiti. Mwezi umehifadhi thamani ya Dunia kupitia axial kati ya 22.1ยฐ na 24.5ยฐ.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’ก Uchafu uliotokana na mlipuko wa mwezi ungefika kwenye ardhi ya Dunia (uso wa dunia). Vipande vikubwa vikubwa vingeanguka Duniani, huku vingine vikiwa vidogo dogo vinaweza kuishia kutengeneza kama pete kuizunguka dunia.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จTunakufikia popote kwa uaminifu mkubwa sana
@Njiwa_Store
@NjiwaFLow
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ XIAOMI REDMI (Brand new) ๐Ÿ’ฅ

โ–ช๏ธRedmi A5 (3+64) - 250K
โ–ช๏ธRedmi A5 (4+128) - 280K
โ–ช๏ธRedmi 14C (4+128) - 300K
โ–ช๏ธRedmi 14C (8+256) - 350K
โ–ช๏ธNote 13 (6+128) - 450K
โ–ช๏ธNote 13 (8+256) - 530K
โ–ช๏ธNote 13 Pro 4G (8+256) - 680K
โ–ช๏ธNote 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
โ–ช๏ธNote 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
โ–ช๏ธRedmi Note 14 (6+128) - 480K
โ–ช๏ธRedmi Note 14 (8+256) - 580K
โ–ช๏ธRedmi Note 14 5G (8+256) - 700K
โ–ช๏ธRedmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
โ–ช๏ธRedmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
โ–ช๏ธRedmi Note 14 Pro+ 5G (8+256)
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ NOTHING PHONE (Non Active)

โ–ช๏ธCMF Phone1 (8+256) - 850K
โ–ช๏ธPhone2a (8+256) - 1.2m
โ–ช๏ธPhone2a Plus (12+256) - 1.35m
โ–ช๏ธPhone 2 (12+256) - 1.58m
โ–ช๏ธPhone 2 (12+512) - 1.75m
โ–ช๏ธPhone 3a (12+256) - 1.25M
โ–ช๏ธPhone 3a Pro (12+256) - 1.45M

๐Ÿ“Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani ๐Ÿšš
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
Kumbuka:
Google haipo kwa siri. Wewe ni bidhaa, si mteja tu. Taarifa zako ndizo bidhaa kuu. Chukua hatua kujilinda mapema.
4. Unaweza kudhibiti haya mambo. Hii hapa njia:

Fungua Settings โ†’ Google โ†’ Manage your Google Account
Nenda kwenye Data & Privacy

Chini ya โ€œHistory Settingsโ€, zimia:

Web & App Activity

Location History

YouTube History
Kwani Google haijali privacy yako?
Inajali โ€” lakini lazima ujue jinsi ya kudhibiti settings zako. Watumiaji wengi hawachukui hatua yoyote hadi matatizo yatokee.
โ€Œ

3. Nenda hapa kuona kile wanajua juu yako
โ†’ myactivity.google.com
Utaona kila unachotafuta, ulipoenda, na hata mazungumzo na Assistant. Inashtua kidogo!
Device Info & Voice Activity: Unaposema โ€œHey Googleโ€, kila kitu kinaweza kurekodiwa na kuhifadhiwa.
โ€Œ

6: Jihadhari na permissions za apps
Apps nyingi zinazotumia Google Account yako zinapata data nyingi sana โ€” location, contacts, messages, camera. Pitia Apps zinazoaccess account yako hapa:
โ†’

Futa zile usizozitumia.
Hivi ndivyo Google inavyokufuatilia:

Location History: Unaweza ukawa huna GPS ON, lakini bado Google inajua ulikuwa wapi.

Web & App Activity: Kila unachotafuta Google, kila video unayoangalia YouTube, hata ukifuta historia โ€“ bado inahifadhiwa.
โ€Œ

5: Delete activity yako ya zamani
โ†’ Nenda myactivity.google.com

Bonyeza โ€œDelete activity byโ€

Chagua โ€œAll timeโ€ โ†’ Delete.

Pia weka automatic deletion kila baada ya miezi 3 au 18.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Muonekano wa Nothing Phone 3

Unaupa ngapi ya 1-10
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Kampuni ya Huawei ya kichina imeachia laptop mpya inaitwa Huawei Matebook Fold, ambapo kwa sasa inapatikana nchini China pekee. Laptop hii imekuja ikiwa na feature mbalimbali.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’ก Huawei Matebook Fold Specs:

๐Ÿ’ป Kioo chake ni OLED display +7.3mm (0.3inch) ikiwa haijakunywa Wakati 14.99mm (0.6inch) inapokuwa imefungwa na kukunjwa.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐—›๐˜‚๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐—ถ ๐—ธ๐—ถ๐—ฏ๐—ผ๐—ธ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐—น๐—ฎ๐—ฝ๐˜๐—ผ๐—ฝ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ผ ๐—ท๐—ถ๐—ธ๐˜‚๐—ป๐—ท๐—ฎ ๐—ป๐˜†๐—ฒ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ผ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ

Baada ya Kampuni ya Lenovo kuwa ya kwanza kutoa laptop Yenye uwezo wa kujikunja kunja (Foldable), Huawei nao wameleta Laptop yao

Threads ๐Ÿ‘‡
@Huduma

โšก Bado hawajasema kama kutakua na Uwezekano wa kuinstall Microsoft Windows na linux kwenye laptop zao.

Usisahau kutu follow @Bongotech255 kwa maujanja zaidi ๐Ÿ‘†

@Huawei @HuaweiMobile @huaweimobilekw @huaweitz