Teknolojia
132 subscribers
3.8K photos
4.49K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐’๐š๐ฌ๐š ๐’๐š๐ฆ๐ฌ๐ฎ๐ง๐  ๐ฐ๐š๐จ ๐ฐ๐š๐ง๐š๐š๐ฆ๐ฎ๐š ๐ค๐ฎ๐ฅ๐ž๐ญ๐š ๐ฌ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฒ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ฎ๐ฐ๐ž๐ณ๐จ ๐ฐ๐š "๐ซ๐จ๐ฅ๐ฅ๐š๐›๐ฅ๐ž ๐ฉ๐ก๐จ๐ง๐ž" unaweza kuikunja kunja mara nyingi kama karatasi hii itakua simu ya kwanza ulimwenguni.
๐Ÿ’จLeo tujaribu hii wakuu apo ChatGPT

weka picha yako alafu weka hii prompt utanishukuru baadae

A young man wearing a red (weka timu yako) jersey, sat leisurely in an outdoor cafe in front of the (weka jina la timu yako) stadium. He smiled broadly as he raised his thumb, enjoying a cup of hot coffee on a small table. On the table were also sunglasses, smartphones, and a Manchester United scarf. The atmosphere was bright with blue sky and white clouds, people passing by in the background. Cinematic video style, relaxed, full of vigor, with the feel of happy football supporters.

Weka kwa comment tuone majibu
@Huduma

๐Ÿ’จ OFFER SAMSUNG A SERIES

โ–ช๏ธA05 (4+64) - 250K
โ–ช๏ธA06 (4+128) - 330K
โ–ช๏ธA05s (4+128) - 350K
โ–ช๏ธA16 (4+128) -450K
โ–ช๏ธA26 5G (6+128) - 680K
โ–ช๏ธA36 5G (6+128) - 900K
โ–ช๏ธA56 5G (8+128) - 1M

๐Ÿ“Dar: KKKT Kariakoo
๐Ÿ“Mwanza: Roundabout ya Samaki
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
Mwezi ikiwa utapotea na kuondoka, hakutakua na kupatwa tena walakini nyakati za usiku kungekua kunangaa zaidi. Kwani nyota hazitafichwa tena na mwangaza wa mwezi hivyo zitaweza kuonekana zaidi.
Kama ingetokea Mwezi ungepotea na kuhalibika basi kungesababisha Mabadiliko makubwa sana duniani kote, na hiki ndicho kimgetokea.
Mara kwa mara, ikweta ingekuwa baridi kali huku poles zingekuwa na joto kali. Sehemu tofauti za ulimwengu zingepitia nyakati za barafu kila baada ya miaka elfu chache.

Usisahau kutu follow kwa maujanja zaidi ๐Ÿ’ก
@Bongotech255
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’ก Uchafu uliotokana na mlipuko wa mwezi ungefika kwenye ardhi ya Dunia (uso wa dunia). Vipande vikubwa vikubwa vingeanguka Duniani, huku vingine vikiwa vidogo dogo vinaweza kuishia kutengeneza kama pete kuizunguka dunia.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’ก Ingawa mwezi umekwenda lakini urefu wa siku unabaki palepale, kiuwalisia Mwezi uchangia sehemu chache ya urefu wa siku kuongezeka hivyo kama dunia isingekuwepo bila Mwezi sekunde chache tu zingepotea katika sehemu fulani ya ulimwengu.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐—ก๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ž๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐˜๐—ผ๐—ธ๐—ฒ๐—ฎ ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐——๐˜‚๐—ป๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฒ๐—ฝ๐—ผ ๐—•๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐— ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ถ?

Umeshawahi kujiuliza nini kingetokea endapo dunia ingekuwepo bila Mwezi ??

Basi Threads hii ni yako kabisa
Repost
Follow
Likes

tujifunze tusioyajua kuhusu Dunia ๐ŸŒ
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’ก Bila Mwezi dunia itakua na Mabadiliko makubwa kwenye uwelekeo wake (axial) , ambao hautakua thabiti. Mwezi umehifadhi thamani ya Dunia kupitia axial kati ya 22.1ยฐ na 24.5ยฐ.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’ก Uchafu uliotokana na mlipuko wa mwezi ungefika kwenye ardhi ya Dunia (uso wa dunia). Vipande vikubwa vikubwa vingeanguka Duniani, huku vingine vikiwa vidogo dogo vinaweza kuishia kutengeneza kama pete kuizunguka dunia.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จTunakufikia popote kwa uaminifu mkubwa sana
@Njiwa_Store
@NjiwaFLow
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ XIAOMI REDMI (Brand new) ๐Ÿ’ฅ

โ–ช๏ธRedmi A5 (3+64) - 250K
โ–ช๏ธRedmi A5 (4+128) - 280K
โ–ช๏ธRedmi 14C (4+128) - 300K
โ–ช๏ธRedmi 14C (8+256) - 350K
โ–ช๏ธNote 13 (6+128) - 450K
โ–ช๏ธNote 13 (8+256) - 530K
โ–ช๏ธNote 13 Pro 4G (8+256) - 680K
โ–ช๏ธNote 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
โ–ช๏ธNote 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
โ–ช๏ธRedmi Note 14 (6+128) - 480K
โ–ช๏ธRedmi Note 14 (8+256) - 580K
โ–ช๏ธRedmi Note 14 5G (8+256) - 700K
โ–ช๏ธRedmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
โ–ช๏ธRedmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
โ–ช๏ธRedmi Note 14 Pro+ 5G (8+256)
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ NOTHING PHONE (Non Active)

โ–ช๏ธCMF Phone1 (8+256) - 850K
โ–ช๏ธPhone2a (8+256) - 1.2m
โ–ช๏ธPhone2a Plus (12+256) - 1.35m
โ–ช๏ธPhone 2 (12+256) - 1.58m
โ–ช๏ธPhone 2 (12+512) - 1.75m
โ–ช๏ธPhone 3a (12+256) - 1.25M
โ–ช๏ธPhone 3a Pro (12+256) - 1.45M

๐Ÿ“Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani ๐Ÿšš
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
Kumbuka:
Google haipo kwa siri. Wewe ni bidhaa, si mteja tu. Taarifa zako ndizo bidhaa kuu. Chukua hatua kujilinda mapema.
4. Unaweza kudhibiti haya mambo. Hii hapa njia:

Fungua Settings โ†’ Google โ†’ Manage your Google Account
Nenda kwenye Data & Privacy

Chini ya โ€œHistory Settingsโ€, zimia:

Web & App Activity

Location History

YouTube History