Teknolojia
133 subscribers
3.79K photos
4.46K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
@Huduma

๐‡๐ฎ๐ฐ๐š ๐š๐ง๐š๐ฃ๐ข๐ฎ๐ฅ๐ข๐ณ๐š ๐ง๐ข ๐ง๐š๐ง๐ข ๐š๐ง๐š๐ฒ๐ž๐ข๐ž๐ง๐๐ž๐ฌ๐ก๐š ๐ก๐ข๐ฒ๐จ ๐ ๐š๐ซ๐ข ๐ง๐š ๐ค๐ข๐ค๐ฎ๐›๐ฐ๐š ๐ณ๐š๐ข๐๐ข ๐š๐ง๐š๐ก๐ข๐ญ๐š๐ฃ๐ข ๐ค๐จ๐Ÿ๐ข๐š ๐ฒ๐š๐ค๐ž Sio gari Tena maana kofia hiyo alipewa na baba yake aliacha kiti cha nyuma inaitwa M44 Ikiwa na size ukubwa wa 9.
@Huduma

Ndipo akaliona gari lake linasafirishwa kupitia mferejo wa Suez canal na kuingia Nchini Tanzania kupitia kifaa cha apple Tag alichokificha kwenye gari lake. Sasa kila siku anaiona kwenye eneo Fulani Tanzania na inaendeshwa kila siku.
@Huduma

Baada ya ku posti makala yake kupitia mtandao wa Facebook aliweza kupata mahojiano na vituo vikubwa viwili vya redio na majarida mbalimbali ya habari ambayo yaliweza kuchapisha "Driver track stolen Car through Suez To Tanzania".

Angalia picha chini zaidi
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Taarifa zake ziliweza mpaka kuchapishwa kwenye magazeti mbalimbali nchini Uingereza ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Kuna mzungu mmoja anaitwa Jimmy Munday anasema miezi kadhaa iliyopita gari yake aina ya Range Rover iliweza kuibiwa akiwa amelipaki nje ya barabara yake nchini Uingereza.
2: Futa Data (Erase Remotely)
โ†’ Kama una data nyeti: photos, messages, accounts โ€“ tumia โ€œEraseโ€ feature.
โ†’ Hii huifuta simu nzima remotely.
NOTE: Simu lazima iwe online.
4: Deactivate SIM Card Haraka

โ†’ Piga customer care wa mtandao wako: Vodacom, Tigo, Airtel n.k.
Piga huduma kwa wateja wa mtandao wako:
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จFANYA MAMBO HAYA 5 UKIIBIWA SIMU

(Usisubiri hadi ukumbwe na janga โ€“ SAVE hii thread!)

1: Lock Simu Yako Remote
โ†’ Ingia kwenye Google Find My Device au Apple iCloud Find
โ†’ Chagua Lock Device
โ†’ Weza pia kuandika ujumbe utakaotokea kwenye screen.
BONUS: Mambo ya KUJIANDAA mapema โ€“ kabla hujaibiwa:

Hakikisha Find My Device au iCloud Find iko ON.

Save IMEI, passwords na recovery options sehemu salama.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

: Badilisha Password Zako Zote Muhimu
โ†’ Google, Facebook, Instagram, X, WhatsApp, Bank apps nk.
โ†’ Anza na email zako.
โ†’ Ukiwa ume-login sehemu nyingine, tembelea na ufungie access.
Usitumie PIN rahisi kama 1234 au tarehe yako ya kuzaliwa.

Weka biometric lock (fingerprint/face ID).

Epuka ku-save passwords kwa browser bila password ya device.
Vodacom: 100

Tigo: 100

Airtel: 100

โ†’ Waambie umeibiwa simu na SIM
โ†’ Waombe wafungie line โ€“ kuzuia mtu kutumia kwa M-Pesa, T-Pesa au OTP.
Google Dashboard
โ†’ IMEI huweza kusaidia Polisi kufuatilia simu na kuizuia isitumike Tanzania.
5: Report kwa Polisi + Toa IMEI
โ†’ Tafuta IMEI ya simu yako kupitia:

Box la simu

Risiti ya kununua
Wakorea wanazidi kupamba moto kupitia Kampuni ya simu Samsung inataka kufanya game changer mwaka huu 2025, ambayo wanataka kuleta mapinduzi baada ya Huawei kuleta simu inayoweza kujikunja mara tatu.